Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Leta matusi mapya. Hayo tumeyazoea wala hayakeriKwa tamaa ya pesa ulikubali kutatuliwa marinda na kichaa wa chato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta matusi mapya. Hayo tumeyazoea wala hayakeriKwa tamaa ya pesa ulikubali kutatuliwa marinda na kichaa wa chato
Correction: Ni Megawati 2,115 na sio Megawati 2,100 kama ulivyoandika.LEO Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwa mgeni rasmi katika tukio la kujaza maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP). Hatua muhimu kwenda kuzalisha umeme.
JNHPP itakuwa na uwezo wa kufua umeme megawati 2,100 na kuuingiza gridi ya taifa kila siku. Hatua kubwa kuelekea nchi kujitosheleza katika nishati ya umeme.
Kukamilika kwa JNHPP bila shaka utakuwa mwanzo wa kupotea kwa hisia na maneno kuwa mradi huo ulikuwa unahujumiwa usifike mwisho. Muda ni tiba thabiti.
Pamoja na kipengele hicho chanya, upo ukweli ambao si Rais Samia Suluhu Hassan wala Waziri wa Nishati, January Makamba, wanaweza kuusema.
Kwamba JNHPP ni mradi ambao hawakuwa na namna zaidi ya kuukamilisha kwa sababu waliukuta umeshakaribia nusu na tayari ulishateketeza fedha nyingi za Watanzania.
Ukweli ni kuwa mradi wa JNHPP ulikuwa uamuzi wa hovyo kuwahi kutokea. Kwanza unakuja na athari kubwa ya kimazingira. Ushauri wa wataalamu ulipuuzwa. Mradi ukajengwa kwa kulazimisha.
Karibu miti milioni tatu imekatwa. Eneo la msitu la kilometa za mraba 1,500 limeharibiwa (deforestation).
Yaani, Serikali iliamua kujenga mradi wa umeme wa maji kwa kuharibu vyanzo vya maji.
Hivi sasa kuna mabadiliko ya tabia nchi. Mvua hazinyeshi. Mto Rufiji umekuwa mkavu. Je, sio athari za kuharibu msitu wa Selous.
Mtangulizi wa Rais Samia, Dk John Magufuli, alipoingia madarakani, alikuta mradi mkubwa wa gesi Mtwara. Nchi ilikuwa ina tabasamu kuelekea uchumi wa gesi.
Fedha zaidi ya Sh11 trilioni zilizotumika kujenga JNHPP, nusu yake tu ungewekezwa kwenye gesi Mtwara, sasa hivi nchi ingekuwa na umeme wa gesi, nishati ya kupikia ya gesi na kufanya mauzo ya gesi nje ya nchi. Tungeepuka janga la vita ya Ukraine na Urusi.
Umeme wa gesi ndio wa kisasa. Umeme wa maji sio wa uhakika. Ndio maana mara kwa mara nchi ikitetereka kidogo kupata mvua, umeme unakuwa shida.
Changamoto ya umeme wa maji na kukauka kwa mabwawa ya kuzalishia umeme ndio matokeo ya nchi kuingia mikataba ya hovyo ya IPTL na Richmond kwa sababu ya uhitaji wa umeme wa dharura.
Pamoja na kutambua hayo, bado Serikali ya Magufuli ikafanya uamuzi wa kujenga mradi wa umeme wa maji.
Maswali ni mengi mno, unawezaje kujenga mradi wa umeme wa maji katika nchi ambayo tayari ina gesi ya kutosha?
Kuutelekeza mradi wa gesi Mtwara, ilikuwa kumkomoa nani? Hii hulka ya Rais akiingia madarakani anatelekeza miradi ya mtangulizi wake inaumiza mno wananchi.
Ingekuwaje Rais Samia angeamua kutoendelea na JNHPP? Fedha za Watanzania zingetolewa maelezo gani? Yatolewe maelezo ya kutelekezwa gesi Mtwara na miradi mingine yote ambayo ipo njiani miaka saba sasa.
Mwisho tuhoji; miti milioni tatu iliyokatwa Msitu wa Selous kupisha mradi wa JNHPP, ilipelekwa wapi? Iliuzwa? Fedha ilikwenda wapi? Uchunguzi maalum unahitajika katika hili.
Kuna harufu kubwa ya ufisadi wa miti milioni tatu iliyokatwa Selous.
Ndimi Luqman MALOTO
View attachment 2454151View attachment 2454152
[emoji1361][emoji1361][emoji1361][emoji1361]Mradi wa JNHPP upo ktk POINT OF NO RETURN BACK! Acheni maneno mengi yasiyojenga nchi. Serikali za CCM tangu Uhuru viongozi wanaongozwa na Dira ya nchi.
Marais wetu wote waliongoza kwa Dira ya nchi. Mhe. Rais Samia alishasema hakuna mradi wa kimkakati ulioanzishwa na mtangulizi wake utakwama.
Tuwe na hoja za kujenga nchi siyo porojo za uchonganishi kila siku zinakera sana. Jiandae kushuhudia Mhe. Rais akibonyeza kitufe.[emoji120][emoji120][emoji120]
Hizo lita zinazopotea ni kwa muda mfupi tu ujao mkuu,we need something sustainable.Kwa hali ya sasa ya Climate Change terrorism by Geo-engineers,Hydropower generation sio sustainable kabisa,so sio busara ku-invest kwenye Hydropower.Mnaosema tungewekeza kwenye gas wala sipingani nanyi, ila kwa sasa busara ni kuanza na huo umeme wa maji. Hilo bwawa ukiacha kutuzalishia umeme pia litasaidia kuokoa lita nyingi za maji yanayomwagika tu baharini na kuyatumia katika shughuli nyingine za kiuchumi kama kilimo na ufugaji wa samaki. Pia, itatoa fursa ya hiyo gas ambayo tungeitumia kuzalishia umeme iende kwenye matumizi mengine ya yatakayochochea ukuaji wa uchumi. Swala la miti ni minor sana kwa hili, tufanye campaign hata tukitumia taasisi za Serikali kama shule miti mil 3 ni michache mno. Kongole kwa JPM na SAMIA kwa kufanikisha hili
Tutaona! Muda ni shahidi mzuri sana.....
Akili yako haina maarifaLEO Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwa mgeni rasmi katika tukio la kujaza maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP). Hatua muhimu kwenda kuzalisha umeme.
JNHPP itakuwa na uwezo wa kufua umeme megawati 2,100 na kuuingiza gridi ya taifa kila siku. Hatua kubwa kuelekea nchi kujitosheleza katika nishati ya umeme.
Kukamilika kwa JNHPP bila shaka utakuwa mwanzo wa kupotea kwa hisia na maneno kuwa mradi huo ulikuwa unahujumiwa usifike mwisho. Muda ni tiba thabiti.
Pamoja na kipengele hicho chanya, upo ukweli ambao si Rais Samia Suluhu Hassan wala Waziri wa Nishati, January Makamba, wanaweza kuusema.
Kwamba JNHPP ni mradi ambao hawakuwa na namna zaidi ya kuukamilisha kwa sababu waliukuta umeshakaribia nusu na tayari ulishateketeza fedha nyingi za Watanzania.
Ukweli ni kuwa mradi wa JNHPP ulikuwa uamuzi wa hovyo kuwahi kutokea. Kwanza unakuja na athari kubwa ya kimazingira. Ushauri wa wataalamu ulipuuzwa. Mradi ukajengwa kwa kulazimisha.
Karibu miti milioni tatu imekatwa. Eneo la msitu la kilometa za mraba 1,500 limeharibiwa (deforestation).
Yaani, Serikali iliamua kujenga mradi wa umeme wa maji kwa kuharibu vyanzo vya maji.
Hivi sasa kuna mabadiliko ya tabia nchi. Mvua hazinyeshi. Mto Rufiji umekuwa mkavu. Je, sio athari za kuharibu msitu wa Selous.
Mtangulizi wa Rais Samia, Dk John Magufuli, alipoingia madarakani, alikuta mradi mkubwa wa gesi Mtwara. Nchi ilikuwa ina tabasamu kuelekea uchumi wa gesi.
Fedha zaidi ya Sh11 trilioni zilizotumika kujenga JNHPP, nusu yake tu ungewekezwa kwenye gesi Mtwara, sasa hivi nchi ingekuwa na umeme wa gesi, nishati ya kupikia ya gesi na kufanya mauzo ya gesi nje ya nchi. Tungeepuka janga la vita ya Ukraine na Urusi.
Umeme wa gesi ndio wa kisasa. Umeme wa maji sio wa uhakika. Ndio maana mara kwa mara nchi ikitetereka kidogo kupata mvua, umeme unakuwa shida.
Changamoto ya umeme wa maji na kukauka kwa mabwawa ya kuzalishia umeme ndio matokeo ya nchi kuingia mikataba ya hovyo ya IPTL na Richmond kwa sababu ya uhitaji wa umeme wa dharura.
Pamoja na kutambua hayo, bado Serikali ya Magufuli ikafanya uamuzi wa kujenga mradi wa umeme wa maji.
Maswali ni mengi mno, unawezaje kujenga mradi wa umeme wa maji katika nchi ambayo tayari ina gesi ya kutosha?
Kuutelekeza mradi wa gesi Mtwara, ilikuwa kumkomoa nani? Hii hulka ya Rais akiingia madarakani anatelekeza miradi ya mtangulizi wake inaumiza mno wananchi.
Ingekuwaje Rais Samia angeamua kutoendelea na JNHPP? Fedha za Watanzania zingetolewa maelezo gani? Yatolewe maelezo ya kutelekezwa gesi Mtwara na miradi mingine yote ambayo ipo njiani miaka saba sasa.
Mwisho tuhoji; miti milioni tatu iliyokatwa Msitu wa Selous kupisha mradi wa JNHPP, ilipelekwa wapi? Iliuzwa? Fedha ilikwenda wapi? Uchunguzi maalum unahitajika katika hili.
Kuna harufu kubwa ya ufisadi wa miti milioni tatu iliyokatwa Selous.
Ndimi Luqman MALOTO
View attachment 2454151View attachment 2454152
Unazungumzia Aswan Dam la Misri? Hiyo miti ya kukata Aswan ingetoka wapi? Unajua kuwa mpaka hivi leo faida ya huu mradi bado watu wanajiuliza? Majengo na makazi mengi ya kihistoria yalipotezwa katika huu ujenzi? Ingawa mradi umeondoa athari za mafuriko lakini vile vile umezuia rutuba zilizokuwa zinaletwa na mto Nile ( hili nalo tutaliona katika Rufiji Delta). Unajua pia kuwa asilimia 85 ya maji yanayojaza mto Nile yanatoka Blue Nile ambao unaanzia Ethiopia ambako nao wamejenga Dam yao?Misri lile bwawa lao la kufua umeme katika mto Nile walijenga juu ya miti?. Ghana na Zimbabwe yale mabwawa makubwa walijenga kwenye hewa bila kukata miti?
Ulaya miradi mikubwa ya nyuklia wanajenga hewani? Acha kushikiwa akili we dogo
Jinyonge sasa, bwawa limeshajengwaUnazungumzia Aswan Dam la Misri? Hiyo miti ya kukata Aswan ingetoka wapi? Unajua kuwa mpaka hivi leo faida ya huu mradi bado watu wanajiuliza? Majengo na makazi mengi ya kihistoria yalipotezwa katika huu ujenzi? Ingawa mradi umeondoa athari za mafuriko lakini vile vile umezuia rutuba zilizokuwa zinaletwa na mto Nile ( hili nalo tutaliona katika Rufiji Delta). Unajua pia kuwa asilimia 85 ya maji yanayojaza mto Nile yanatoka Blue Nile ambao unaanzia Ethiopia ambako nao wamejenga Dam yao?
Akosombo Dam limeongeza matetemeko, limepunguza rutuba down stream na hivyo kulazimisha matumizi ya mbolea ambayo imeathiri udongo, mvua imepungua na joto limeongezeka katika eneo la bwawa na magonjwa kama bilharzia na malaria yameongezeka?
Kariba Dam nayo ina matatizo kama hayo. Na mbaya zaidi kulikuwa na dalili kuwa msingi wake unaathirika na hivyo kuwepo uwezekano wa ku collapse. Na kuhusu ule umeme wa uhakika? Zimbabwe na Zambia Sasa hivi wana shida kubwa ya umeme!
Na ndio bila shaka miti ilikatwa wakati wa ujenzi wa baadhi ya mabwawa haya lakini wakati ule athari za ukataji miti ulikuwa hazijulikani kama huu wakati. Sasa hivi hatuwezi kujitetea kuwa hatukujua kuhusu athari za mabwawa makubwa. Tuliambiwa tukaleta ubishi.
Miradi ipi ya nyuklia Ulaya unayojua yamejengwa porini? Au yaliyolazimu miti mingi ikatwe kwa ajili ya ujenzi wa barabara?
Huu mradi utatuletea matatizo makubwa huko mbeleni. Huu mradi ni albatross yetu. Na hautajaa katika misimu miwili.
Amandla...
Majibu ya mpumbavu. Mimi ni mtu mzima na muda wa kuondoka hauko mbali. Mtakaolipia hili bwawa kifedha na kimazingira ni nyie, sio sisi.Jinyonge sasa, bwawa limeshajengwa
Nachelea kusema unafikiria na matako, Wewe ni aina ya viongozi ambao watapenda kuona Tanzania haipigi hatua milele katika ramani ya duniaLEO Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwa mgeni rasmi katika tukio la kujaza maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP). Hatua muhimu kwenda kuzalisha umeme.
JNHPP itakuwa na uwezo wa kufua umeme megawati 2,100 na kuuingiza gridi ya taifa kila siku. Hatua kubwa kuelekea nchi kujitosheleza katika nishati ya umeme.
Kukamilika kwa JNHPP bila shaka utakuwa mwanzo wa kupotea kwa hisia na maneno kuwa mradi huo ulikuwa unahujumiwa usifike mwisho. Muda ni tiba thabiti.
Pamoja na kipengele hicho chanya, upo ukweli ambao si Rais Samia Suluhu Hassan wala Waziri wa Nishati, January Makamba, wanaweza kuusema.
Kwamba JNHPP ni mradi ambao hawakuwa na namna zaidi ya kuukamilisha kwa sababu waliukuta umeshakaribia nusu na tayari ulishateketeza fedha nyingi za Watanzania.
Ukweli ni kuwa mradi wa JNHPP ulikuwa uamuzi wa hovyo kuwahi kutokea. Kwanza unakuja na athari kubwa ya kimazingira. Ushauri wa wataalamu ulipuuzwa. Mradi ukajengwa kwa kulazimisha.
Karibu miti milioni tatu imekatwa. Eneo la msitu la kilometa za mraba 1,500 limeharibiwa (deforestation).
Yaani, Serikali iliamua kujenga mradi wa umeme wa maji kwa kuharibu vyanzo vya maji.
Hivi sasa kuna mabadiliko ya tabia nchi. Mvua hazinyeshi. Mto Rufiji umekuwa mkavu. Je, sio athari za kuharibu msitu wa Selous.
Mtangulizi wa Rais Samia, Dk John Magufuli, alipoingia madarakani, alikuta mradi mkubwa wa gesi Mtwara. Nchi ilikuwa ina tabasamu kuelekea uchumi wa gesi.
Fedha zaidi ya Sh11 trilioni zilizotumika kujenga JNHPP, nusu yake tu ungewekezwa kwenye gesi Mtwara, sasa hivi nchi ingekuwa na umeme wa gesi, nishati ya kupikia ya gesi na kufanya mauzo ya gesi nje ya nchi. Tungeepuka janga la vita ya Ukraine na Urusi.
Umeme wa gesi ndio wa kisasa. Umeme wa maji sio wa uhakika. Ndio maana mara kwa mara nchi ikitetereka kidogo kupata mvua, umeme unakuwa shida.
Changamoto ya umeme wa maji na kukauka kwa mabwawa ya kuzalishia umeme ndio matokeo ya nchi kuingia mikataba ya hovyo ya IPTL na Richmond kwa sababu ya uhitaji wa umeme wa dharura.
Pamoja na kutambua hayo, bado Serikali ya Magufuli ikafanya uamuzi wa kujenga mradi wa umeme wa maji.
Maswali ni mengi mno, unawezaje kujenga mradi wa umeme wa maji katika nchi ambayo tayari ina gesi ya kutosha?
Kuutelekeza mradi wa gesi Mtwara, ilikuwa kumkomoa nani? Hii hulka ya Rais akiingia madarakani anatelekeza miradi ya mtangulizi wake inaumiza mno wananchi.
Ingekuwaje Rais Samia angeamua kutoendelea na JNHPP? Fedha za Watanzania zingetolewa maelezo gani? Yatolewe maelezo ya kutelekezwa gesi Mtwara na miradi mingine yote ambayo ipo njiani miaka saba sasa.
Mwisho tuhoji; miti milioni tatu iliyokatwa Msitu wa Selous kupisha mradi wa JNHPP, ilipelekwa wapi? Iliuzwa? Fedha ilikwenda wapi? Uchunguzi maalum unahitajika katika hili.
Kuna harufu kubwa ya ufisadi wa miti milioni tatu iliyokatwa Selous.
Ndimi Luqman MALOTO
View attachment 2454151View attachment 2454152
Milion 4 tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unasubiri uambiwe na wazungu kwa nini mvua hazinyeshi?. Pole sana kizazi hiki. Hata babu zetu ambao hawakua na elimu ya kisasa wasingesubiri wazungu wawaambie.
Walikuwa na njia zao za asili za kujua vyanzo vya maji viliko na kuvihifadhi. Huyo tuliyemzika Chato mwaka jana alipkuwa anakata miti zaidi ya Milioni 4 kupisha ujenzi wa bwawa la JNHEPP mlikuwa mnamshangilia.
Sasa hivi mvua hakuna mnataka wazungu ndiyo wawasemee, poor ypu
Hiyo hesabu ya 11 Trilioni umeitolea wapi? Inaonekana aliyekulipa amekulipa mpaka za ziada.LEO Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwa mgeni rasmi katika tukio la kujaza maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP). Hatua muhimu kwenda kuzalisha umeme.
JNHPP itakuwa na uwezo wa kufua umeme megawati 2,100 na kuuingiza gridi ya taifa kila siku. Hatua kubwa kuelekea nchi kujitosheleza katika nishati ya umeme.
Kukamilika kwa JNHPP bila shaka utakuwa mwanzo wa kupotea kwa hisia na maneno kuwa mradi huo ulikuwa unahujumiwa usifike mwisho. Muda ni tiba thabiti.
Pamoja na kipengele hicho chanya, upo ukweli ambao si Rais Samia Suluhu Hassan wala Waziri wa Nishati, January Makamba, wanaweza kuusema.
Kwamba JNHPP ni mradi ambao hawakuwa na namna zaidi ya kuukamilisha kwa sababu waliukuta umeshakaribia nusu na tayari ulishateketeza fedha nyingi za Watanzania.
Ukweli ni kuwa mradi wa JNHPP ulikuwa uamuzi wa hovyo kuwahi kutokea. Kwanza unakuja na athari kubwa ya kimazingira. Ushauri wa wataalamu ulipuuzwa. Mradi ukajengwa kwa kulazimisha.
Karibu miti milioni tatu imekatwa. Eneo la msitu la kilometa za mraba 1,500 limeharibiwa (deforestation).
Yaani, Serikali iliamua kujenga mradi wa umeme wa maji kwa kuharibu vyanzo vya maji.
Hivi sasa kuna mabadiliko ya tabia nchi. Mvua hazinyeshi. Mto Rufiji umekuwa mkavu. Je, sio athari za kuharibu msitu wa Selous.
Mtangulizi wa Rais Samia, Dk John Magufuli, alipoingia madarakani, alikuta mradi mkubwa wa gesi Mtwara. Nchi ilikuwa ina tabasamu kuelekea uchumi wa gesi.
Fedha zaidi ya Sh11 trilioni zilizotumika kujenga JNHPP, nusu yake tu ungewekezwa kwenye gesi Mtwara, sasa hivi nchi ingekuwa na umeme wa gesi, nishati ya kupikia ya gesi na kufanya mauzo ya gesi nje ya nchi. Tungeepuka janga la vita ya Ukraine na Urusi.
Umeme wa gesi ndio wa kisasa. Umeme wa maji sio wa uhakika. Ndio maana mara kwa mara nchi ikitetereka kidogo kupata mvua, umeme unakuwa shida.
Changamoto ya umeme wa maji na kukauka kwa mabwawa ya kuzalishia umeme ndio matokeo ya nchi kuingia mikataba ya hovyo ya IPTL na Richmond kwa sababu ya uhitaji wa umeme wa dharura.
Pamoja na kutambua hayo, bado Serikali ya Magufuli ikafanya uamuzi wa kujenga mradi wa umeme wa maji.
Maswali ni mengi mno, unawezaje kujenga mradi wa umeme wa maji katika nchi ambayo tayari ina gesi ya kutosha?
Kuutelekeza mradi wa gesi Mtwara, ilikuwa kumkomoa nani? Hii hulka ya Rais akiingia madarakani anatelekeza miradi ya mtangulizi wake inaumiza mno wananchi.
Ingekuwaje Rais Samia angeamua kutoendelea na JNHPP? Fedha za Watanzania zingetolewa maelezo gani? Yatolewe maelezo ya kutelekezwa gesi Mtwara na miradi mingine yote ambayo ipo njiani miaka saba sasa.
Mwisho tuhoji; miti milioni tatu iliyokatwa Msitu wa Selous kupisha mradi wa JNHPP, ilipelekwa wapi? Iliuzwa? Fedha ilikwenda wapi? Uchunguzi maalum unahitajika katika hili.
Kuna harufu kubwa ya ufisadi wa miti milioni tatu iliyokatwa Selous.
Ndimi Luqman MALOTO
View attachment 2454151View attachment 2454152
Sehemu ilipokatwa miti kutakuwa ziwa lenye urefu wa kilomita 100. Ziwa victoria lina ukubwa wa kilomita za mraba 68,000 na eneo lote ni maji na hakuna miti lakini maeneo yanayozunguka ziwa Victoria mvua huwa inanyesha ya kutosha.Sisi hatukuwa na ulazima wa kukata miti wakati tayari tulikuwa na umeme wa gas, na bomba la gasi tayari lilikuwa hapa Dar. Mpango wa gas ilikuwa ni kuzalisha 5,000mg, kwanini tusingewekeza 3t kwenye gas kufikia hizo 2,115mg, badala yake tukaweka 11t kwenye mg chache kwa uharibifu wa mazingira?
Maji yanatoka wapi ,na hii changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi ?Kwa ukubwa wa Hilo bwawa Leo ndio nimeamini waliosema miti minginimekatwa sio mchezo.
Km 100,kubwa kwa ujazo wa Maji kuliko Ziwa Rukwa View attachment 2454200
Kama issue ni miti kanda ya ziwa kusingenyesha mvuq kabisa maana ziwa Victoria lenye kilomita za mraba 68,000 hakuna miti ni maji lakini mvua zinanyesha kwa wingi.Mafisadi ya gesi yanapinga sana huu mradi.
Mnatudanganya na ishu ya miti wakati hata hiyo gesi haitatunufaisha kwa namna yeyote.
Bwawa la kuhifadhi maji lina mrefu wa kilomita 100 ni kama kutokea Dar hadi Chalinze na litakuwa ziwa kubwa kuzidi ziwa Rukwa. Maji yake yakijaa yatazalisha umeme mwaka mzima bila hata mvua kunyesha kwa mwaka mzima.Maji yanatoka wapi ,na hii changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi ?