Ukweli usemwe: Aliyeharibu nchi hii ni Mwalimu Nyerere kwa kushindwa kuwapa Watanzania Elimu

Ninajua huwezi kumkubali lakini JPM aliiweka nchi sawa sana. Wewe ni mmoja kati ya watu ambao wako biased kwa hiyo huwezi kuona ukweli ukoje iwapo ukweli huo hauko kwenye lines za imani yako! History will tell.
Ndio nimekuuliza wewe ni mnufaika wa ule uchafuzi ? Naona una praise madikteta ya hovyo
 
Kongole kwako ndugu kwa uliyoyaandika. Maana ni sahihi.
Tukirudi kwenye swala la katiba,naamini kama Mwalimu angekuwa na maono ya wapi Tanzania ya miaka 100 baada ya yeye iweje,angeanzia na katiba.

Katiba ndio "msahafu" wa nchi yoyote yenye nia ya dhati ya kuwaendeleza watu wao na nchi kwa ujumla.

Kama Mwalimu alikuwa na nia ya dhati ya kuona Tanzania iliyoendelea, alitakiwa kuhakikisha katiba anayoiacha inakuwa bora kwa maslahi ya nchi na wananchi.
Uwezo huo alikuwa nao.

Nyerere alijifahidi sana kuhakikisha Watanzania wanapata elimu,tena elimu iliyo bora,ndio maana zilizokuwa shule za "misioni", akazitaifisha ili ziwe za umma ili ziwanufaishe Watanzania wote bila kujali dini,kabila wala maeneo wanapotoka.
Tatizo ni waliomfuata hawakuangalia mfumo wa elimu wa kwenda nao kwa kipindi husika.
 
Kiukweli mwalim unamkosea sana sehem aliyofanya inatosha kuleta uhuru bila damu kumwagika na kuendeleza vilivyoachwa na bila kubinafsisha cho chote inatosha kwa kiasi flani.

Baada ya muda kaingiza nchi vitani na kashinda.
No siwezi kuungana na wewe

Ok kakosea sawa na waliondeleza baada yake ni bora yupi?
 
Ndio nimekuuliza wewe ni mnufaika wa ule uchafuzi ? Naona una praise madikteta ya hovyo
Mtazamo wako mfupi, unadhani anayesimamia sheria za nchi ni dikteta. Wakati wa JPM tulikuwa tunasikia miradi mipya inajengwa, hatukuwahi kusikia uwzwaji au "ukodishwaji" wa raslimali za nchi. Middlemen wa ukodishaji wa raslimai wengine walikwenda kuiwakilisha serikali ya Tanzania Uganda ilihali hawana madaraka yoyote serikalini
 
Acha kuruka ruka kama maharage wewe ni mnufaika wa ule uchafuzi wa zimwi ?
 
Ndugu yangu unajitahidi sana kutetea huku ikidokoa hapa na pale.

Umejitahidi sana kudokoa huku na huko lakini umeshindwa kuongeleazizi wa jambo lenyewe.

1. Ninaongelea kuondoa ujinga. Kwanza unatakiwa kila kijiji kuwepo na shule ya msingi. Jambo ambalo Mwalimu Nyerere kwa miaka yote 24 hakuweza kabisa. Zaidi ya vijiji havikuwa na shule za msingi.

2. Tunakuja kwenye shule za sekondari. Mpaka anaondoka kuna mikoa hakukua na shule hata moja ya sekondari. Mikoa mingine ilikuwa na shule zisizozidi mbili.

Nataka nikuambie wakati wa Nyerere kusoma ilikuwa ni bahati na siyo haki ya mwananchi.
 
Mwl alifeli pia kwa kukitukuza kiswahili na kukipromote kuwa lugha ya taifa .
Tunetengeneza taifa ambalo lipo isolated sana na dunia. Watu wanahitaji akina mkandara kutafsiriwa cnn english news.
Sasa ulitaka kingereza kiwe lugha ya taifa mkuu au sikukuelewa vizuri
 
Julius Nyerere and Oscar Kambona were both prominent figures in the history of Tanzania and played significant roles in its struggle for independence and subsequent governance. Their differences can be attributed to various factors, including ideological and political disagreements.

  1. Ideological Differences: Nyerere was a staunch advocate of African socialism and the concept of ujamaa, which promoted communal ownership of land and resources. He believed that this approach would lead to equitable development and reduce class disparities. On the other hand, Kambona had a more capitalist-oriented perspective and favored a more market-driven economy. This ideological difference in economic policies could have been a source of contention between the two.
  2. Political Roles: Nyerere became the first President of Tanzania after independence in 1961 and was a central figure in shaping the country's policies and direction. Kambona, initially a close ally of Nyerere, held various important government positions but later fell out of favor. Kambona served as Tanzania's first Minister of External Affairs and played a key role in diplomatic efforts during the early years of independence.
  3. Personality and Leadership Style: Nyerere was known for his strong leadership and often held uncompromising views on matters he deemed important. Kambona, though also a dedicated nationalist, may have had differences in leadership style and decision-making. These differences in approach and communication could have contributed to disagreements between the two.
  4. Policy Differences: Nyerere's policies often focused on rural development, education, and self-reliance. His ujamaa policy aimed to collectivize rural communities and establish cooperative farms. Kambona, on the other hand, had concerns about the feasibility and effectiveness of ujamaa and favored a more liberal economic approach.
  5. International Relations: Nyerere was known for his active involvement in regional and international affairs, including his role in supporting liberation movements in other African countries. Kambona's approach to international relations might have differed from Nyerere's, leading to divergent viewpoints on how Tanzania should engage with the global community.
It's important to note that historical accounts and perspectives on these differences may vary, and the exact nature of Nyerere and Kambona's disagreements might not be fully captured here. The complex interplay of political, ideological, and personal factors likely contributed to their differing stances on various issues.
 
Acha kuruka ruka kama maharage wewe ni mnufaika wa ule uchafuzi wa zimwi ?
Unahangaikia kuwa "mnufaiika" badala ya kuangalia dira ya nchi. Makamba, Mbarawa
na Nape ni wanufaika wakubwa wa utawala huu; je hiyo ndiyo dira ya nchi?
 
Ili jatiba ifanye kazi vizuri inahitaji watu wawe wameelimika, hio ndio imani yangu.
Katiba ya kifalme ya uingereza inampa mamlaka mengi na makubwa sana mfalme lakini hayatumii kwakuwa ana elimu na anaowaongoza wameelimika pia.
Katiba ya china inatamka wazi 'uhuru wa kujieleza' lakini serekali huwa inatumia vifungu 'kuidharau mamlaka/dola' na 'kutunza siri za serekali' kwenye mifumo yake ya kisheria kuwafunga gerezani wanaoipinga serekali.
Maendeleo yanaletwa na watu, sio katiba. Watu wavivu hata wakiandikiwa katiba na malaika hawatachomoka kwenye ufukara.
 
2. Tunakuja kwenye shule za sekondari. Mpaka anaondoka kuna mikoa hakukua na shule hata moja ya sekondari. Mikoa mingine ilikuwa na shule zisizozidi mbili.
Nyerere ameondoka 1985 kwa kumbukumbu yangu kila mkoa ulikuwa na sekondari ya serikali sidhani mkoa upi haukuwa na sekondari weka ushahidi
 

Umesema vyema.

Kukazia tu juu ya hayo yote, jamaa aliyeanzisha hii thread hata hajui historia ya nchi yetu hata chembe.

Tanzania haikua koloni la Waingereza bali ilikuwa eneo chini ya directorate ya Waingereza na only Kenya ndio ilikuwa koloni la Waingereza na ndio mahala Wazungu walitaka kusettle na Tanganyika(Tanzania) ilikuwa kama sehemu yao ya kulimia mazao yaani shamba na maendeleo kidogo yalifanywa na Germany mkapa walipopoteza vita. Hivyo hakukua na maendeleo yeyote ya maana Waingereza walikuta Tanganyika na wao pia hawakufanya maondeleo yeyote kwakua Tanganyika (Tanzania) halikua koloni lao.

Mpaka 1961 tunapata uhuru, Tanzania ilikuwa na watu not less than 10 million:
1. 89% walikuwa hawajui kusoma na kuandika
2. Nchi nzima kulikuwa na madokta 12 tu
3. Nchi nzima kulikuwa na mainjinia 2 tu
Na sector nyingi za uchumi zilikuwa either changa ama hazipo kabisa.

Miaka hiyo, Tanganyika (Tanzania) walijitahidi na kuwasiliana na ANC (African Netaional Congress) ya Africa Kusini kuomba msaada wa wahudumu wa afya, ambapo ANC walijitahidi na kuwatorosha Manesi 36 kupitia Botswana kipindi hicho Bechunaland ambapo ndege ilitoka Tanganyika (Tanzania) na kwenda kuwachukua.

Moja ya maeneo Nyerere alikosea ni kuelekeza mapato ya nchi kwenye kupigania uhuru wa kusini mwa Africa:
1. Kujenga kambi za kijeshi za wapigania uhuru
2. Kununua silaha na other logistical support
3. Kutumia hela nyingi kuimarisha ulinzi na usalama wa nchi baada ya kujenga bifu na nchi za magharibi hususani juu ya harakati za ukombozi.


Ni mengi niishie hapo kwa sasa. At least baadhi ya hizo nchi wanatambua na kuweka bayana kuwa, tungelikuwa na uchumi mkubwa sana leo hii kama tusingefanya hayo yote ~ Cyril Ramaphosa


View: https://twitter.com/KipepeComrade/status/1295164182053126144?s=20
 
kwani we ni raia wa nchi gani?

Mbongo halisi ila siwezi mpa mtu mwingine lawama za failures zangu. Yani miaka 35 yote bado mnamlaumu Nyerere kama huo sio ujinga grade A1 I don't know what is.
 
Ni njia gani itatumika kuiondoa CCM madarakani na kufanikiwa ?

Hilo sio kosa la Nyerere, ni kazi yenu kuitoa CCM sio mtu aliyeondoka 35yrs ago na kufariki over 20yrs ago. Hizo ni cheap excuses
 
Kulikuwa na haja gani ya Nyerere na genge lake kudai uhuru wakati walikuwa hawajui wanadai huo uhuru kufanya nini?
Ni bora mara mia kutawaliwa na mkoloni kuliko watawala tuliokuwa nao baada ya uhuru
 
Nyerere alikaa madarakani miaka 24, na kati ya hiyo 24, mmoja ulikuwa ni chini ya Malkia, na mwingine miwili kabla ya Muungano, kwa hiyo effective term yake ilikuwa ni miaka 21 tu.

Exactly. Hawa wanaotafuta cheap excuses itakua wanawalaumu babu zao as well kwa umaskini wao. Playing victimhood/blamegame will take you anywhere.
 
Mwl alifeli pia kwa kukitukuza kiswahili na kukipromote kuwa lugha ya taifa .
Tunetengeneza taifa ambalo lipo isolated sana na dunia. Watu wanahitaji akina mkandara kutafsiriwa cnn english news.
Wewe ni mmoja ya watu waliokuwa wakifanya vibaya sana darasani. Yaani according to your poor understanding of international issues, "a country is isolated owing to her prioritization of local vernacular" πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Tunatakiwa kukazia pakubwa sana kwwenye kiswahili kama lugha ya kufundishia na kufundisha vizuri lugha nyingine za kigeni za muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…