Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Lugha hii ineonyesha upungufu wako kiakili.Kwa akili zako zilizo oza hapa kuna mtanange kati ya muslims vs christians, muslims leaders vs christians leaders. Umevuta bangi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lugha hii ineonyesha upungufu wako kiakili.Kwa akili zako zilizo oza hapa kuna mtanange kati ya muslims vs christians, muslims leaders vs christians leaders. Umevuta bangi ?
Ndio nimekuuliza wewe ni mnufaika wa ule uchafuzi ? Naona una praise madikteta ya hovyoNinajua huwezi kumkubali lakini JPM aliiweka nchi sawa sana. Wewe ni mmoja kati ya watu ambao wako biased kwa hiyo huwezi kuona ukweli ukoje iwapo ukweli huo hauko kwenye lines za imani yako! History will tell.
Kuingiza Uislam na Ukristo kwenye mada inayo muhusu mchonga ni kuoza akiliLugha hii ineonyesha upungufu wako kiakili.
Watu wajinga hata uwashushie katiba kutoka mbinguni haitawasaidia!
Elimu kwanza, wakishaelimika wataandika katiba yao wenyewe. Unadhani leo wanaiozungumza na kuielewa haswa habari ya katiba ni asilimia ngapi ya watanzania?
Marekani kura ya wananchi (popular vote) haimpeleki mgombea wa kiti cha uraisi madarakani.
Kwa ufahamu wangu hakuna nchi yenye katiba bora, ila kuna nchi zenye watu walioelimika haswa, mf. China katiba ya kibabe (tena pengine mwalimu alikuwa influenced huko) lakini mambo yanaenda kwa kasi mpaka wamagharibi wanaachama midomo. ELIMU ELIMU ELIMU nakuita mara tatu, shuka tanzania utukomboe!
Mtazamo wako mfupi, unadhani anayesimamia sheria za nchi ni dikteta. Wakati wa JPM tulikuwa tunasikia miradi mipya inajengwa, hatukuwahi kusikia uwzwaji au "ukodishwaji" wa raslimali za nchi. Middlemen wa ukodishaji wa raslimai wengine walikwenda kuiwakilisha serikali ya Tanzania Uganda ilihali hawana madaraka yoyote serikaliniNdio nimekuuliza wewe ni mnufaika wa ule uchafuzi ? Naona una praise madikteta ya hovyo
Acha kuruka ruka kama maharage wewe ni mnufaika wa ule uchafuzi wa zimwi ?Mtazamo wako mfupi, unadhani anayesimamia sheria za nchi ni dikteta. Wakati wa JPM tulikuwa tunasikia miradi mipya inajengwa, hatukuwahi kusikia uwzwaji au "ukodishwaji" wa raslimali za nchi. Middlemen wa ukodishaji wa raslimai wengine walikwenda kuiwakilisha serikali ya Tanzania Uganda ilihali hawana madaraka yoyote serikalini
Ndugu yangu unajitahidi sana kutetea huku ikidokoa hapa na pale.Kama hujui legacy ya Nyerere bora ukae kimya. Hiki ndio kile kizazi ambacho hata Nyerere mwenyewe mmemsikia kwenye tv.
Unafahamu vyuo vikuu vya serikali isipokuwaUDOM tu alijenga yeye. UDSM, SUA, Mzumbe, CBE, vyuo vingi vya ufundi Moshi Tech, Dar Tech, ArushaTech n.k
Unafahamu vyuo na taasisi za utafiti nchi nzima Maruku(Kagera), Lyamungo (Moshi), Ukirguru(mwanza) Uyole (Mbeya), Naliendele, Katrini, selian, n.k
Unafahamu shule zote za secondary za serikali zilizokuwepo kabla ya mkapa kuanza kujenga alijenga Nyerere over 200,
Unajua shule za msingi zilizokuwepo kabla ya mkapa alijemga Nyerere.
Unafahamu wakati wa nyerere Darasa moja lilokua watotohawazidi 45 na hakuna mtoto aliyekaa chini
Unajua wakati wa nyerere hakukuwa na ada, watoto walisoma bure na walikula shule na vitabu na madaftari walipewa bure kila mtoto.
Unatambia literacy level ilifikia 82% kutoka less tha 10% wakati tunapata uhuru
Some literature, vyuo vikuu vyetu vilikua vinaongoza Africa kwa ubora wa elimu
Mapungufu yameanza baada ya kuingia warith wake.
Sijui kwa nini umeamua kumbagaza huyu mzee wakati ndio aliyepigania elimu kwa kiwango cha juu sana. Na ameandika maandiko mengi sana kuonyesha umuhimu wa kukuza elimu.
Kama hijamsoma nyerere uaipende kutoa lawama kwa usiolijua
Sasa ulitaka kingereza kiwe lugha ya taifa mkuu au sikukuelewa vizuriMwl alifeli pia kwa kukitukuza kiswahili na kukipromote kuwa lugha ya taifa .
Tunetengeneza taifa ambalo lipo isolated sana na dunia. Watu wanahitaji akina mkandara kutafsiriwa cnn english news.
Julius Nyerere and Oscar Kambona were both prominent figures in the history of Tanzania and played significant roles in its struggle for independence and subsequent governance. Their differences can be attributed to various factors, including ideological and political disagreements.Soma kuhusu Kambona baada ya Tanganyika kupata uhuru.
Alikuwa waziri wa elimu wa kwanza.
Kisha alimshauri Nyerere asiue vyama vya siasa kuwe na vyama vingi. Lakini Nyerere alikasilika na kumuita Oscar Kambona kuwa ni mhaini.
Aliwafunga ndungu wa Kambona. Kambona alikimbia nchi.
Unahangaikia kuwa "mnufaiika" badala ya kuangalia dira ya nchi. Makamba, MbarawaAcha kuruka ruka kama maharage wewe ni mnufaika wa ule uchafuzi wa zimwi ?
Ili jatiba ifanye kazi vizuri inahitaji watu wawe wameelimika, hio ndio imani yangu.Kongole kwako ndugu kwa uliyoyaandika. Maana ni sahihi.
Tukirudi kwenye swala la katiba,naamini kama Mwalimu angekuwa na maono ya wapi Tanzania ya miaka 100 baada ya yeye iweje,angeanzia na katiba.
Katiba ndio "msahafu" wa nchi yoyote yenye nia ya dhati ya kuwaendeleza watu wao na nchi kwa ujumla.
Kama Mwalimu alikuwa na nia ya dhati ya kuona Tanzania iliyoendelea, alitakiwa kuhakikisha katiba anayoiacha inakuwa bora kwa maslahi ya nchi na wananchi.
Uwezo huo alikuwa nao.
Nyerere alijifahidi sana kuhakikisha Watanzania wanapata elimu,tena elimu iliyo bora,ndio maana zilizokuwa shule za "misioni", akazitaifisha ili ziwe za umma ili ziwanufaishe Watanzania wote bila kujali dini,kabila wala maeneo wanapotoka.
Tatizo ni waliomfuata hawakuangalia mfumo wa elimu wa kwenda nao kwa kipindi husika.
Nyerere ameondoka 1985 kwa kumbukumbu yangu kila mkoa ulikuwa na sekondari ya serikali sidhani mkoa upi haukuwa na sekondari weka ushahidi2. Tunakuja kwenye shule za sekondari. Mpaka anaondoka kuna mikoa hakukua na shule hata moja ya sekondari. Mikoa mingine ilikuwa na shule zisizozidi mbili.
Nyerere unamuonea bure.
Nyerere amekuta nchi iko so disorganized, magonjwa, ujinga, umaskini wa kutupwa na ukabila
Nyerere alikua na mlima mrefu sana wa kupanda, kwanza kuhakikisha chembechembe za ukabila zinakufa na kuleta umoja, kupambana na ujinga, kuhakikisha watu wanajua hata kusoma na kuandika. Ulitaka awape elimu gani kama hata kusoma na kuandika hawajui? Ulitaka awape elimu ya uraia wakati hata kusoma hawajui?
Mwalimu kakuta pepopunda, surua, polio, kifua kikuu, kifaduro, kwashakoo na magonjwa mengine yametamalaki kwa watanzania, ulitaka awape alimu ya uraia huku akiwaacha wafe?
Mwalimu kakuta Watanzania ni mafukara wa kutupwa, hawana matumaini ya kesho, akaanzisha vijiji angalau wawe pamoja ili iwe rahisi kuwaletea maendeleo kwa sababu walikua so scattered and disorganized, akaanzisha mashamba ya ushirika ama sustainable farming, akahakikisha anapeleka watu shule wakasome waje wampokee ma kubadilisha nchi kina Chenge na wengine, matokeo yake, wamekua wezi.
Nyerere alipigana kuanzisha viwanda, mashamba ya vijiji, na mambo mengine mengi bila kuuza ardhi hata kipande kimoja kwa waarabu wala wazungu.
That man died poor, had nothing kwa kuwapigania Watanzania
Na alivyokua mwema yule bwana, alipotoka madarakani aliangalia nyuma, akaona failures zake na success zake, akakiri kwamba kweli kuna mahala alifeli, na sababu kubwa za failure za mwalimu zilikua nje ya uwezo wake, kumbuka oil crisis and financial crisis za 70s and 80's.
Yule jamaa alipoona he can continue failing, akajipumzikia yeye mwenyewe bila kulazimishwa na mtu yeyote. Angeweza kufia madarakani.
Tukubaliane kwamba CCM ndio ya kulaumiwa, ila kumpa Nyerere zigo la lawama ni kumuonea. Yule bwana aliachia hii nchi miaka zaidi ya 35 iliyopita, hao wengine waliofuata walifanya nini?
kwani we ni raia wa nchi gani?
Ni njia gani itatumika kuiondoa CCM madarakani na kufanikiwa ?
Kulikuwa na haja gani ya Nyerere na genge lake kudai uhuru wakati walikuwa hawajui wanadai huo uhuru kufanya nini?Nyerere unamuonea bure.
Nyerere amekuta nchi iko so disorganized, magonjwa, ujinga, umaskini wa kutupwa na ukabila
Nyerere alikua na mlima mrefu sana wa kupanda, kwanza kuhakikisha chembechembe za ukabila zinakufa na kuleta umoja, kupambana na ujinga, kuhakikisha watu wanajua hata kusoma na kuandika. Ulitaka awape elimu gani kama hata kusoma na kuandika hawajui? Ulitaka awape elimu ya uraia wakati hata kusoma hawajui?
Mwalimu kakuta pepopunda, surua, polio, kifua kikuu, kifaduro, kwashakoo na magonjwa mengine yametamalaki kwa watanzania, ulitaka awape alimu ya uraia huku akiwaacha wafe?
Mwalimu kakuta Watanzania ni mafukara wa kutupwa, hawana matumaini ya kesho, akaanzisha vijiji angalau wawe pamoja ili iwe rahisi kuwaletea maendeleo kwa sababu walikua so scattered and disorganized, akaanzisha mashamba ya ushirika ama sustainable farming, akahakikisha anapeleka watu shule wakasome waje wampokee ma kubadilisha nchi kina Chenge na wengine, matokeo yake, wamekua wezi.
Nyerere alipigana kuanzisha viwanda, mashamba ya vijiji, na mambo mengine mengi bila kuuza ardhi hata kipande kimoja kwa waarabu wala wazungu.
That man died poor, had nothing kwa kuwapigania Watanzania
Na alivyokua mwema yule bwana, alipotoka madarakani aliangalia nyuma, akaona failures zake na success zake, akakiri kwamba kweli kuna mahala alifeli, na sababu kubwa za failure za mwalimu zilikua nje ya uwezo wake, kumbuka oil crisis and financial crisis za 70s and 80's.
Yule jamaa alipoona he can continue failing, akajipumzikia yeye mwenyewe bila kulazimishwa na mtu yeyote. Angeweza kufia madarakani.
Tukubaliane kwamba CCM ndio ya kulaumiwa, ila kumpa Nyerere zigo la lawama ni kumuonea. Yule bwana aliachia hii nchi miaka zaidi ya 35 iliyopita, hao wengine waliofuata walifanya nini?
Nyerere alikaa madarakani miaka 24, na kati ya hiyo 24, mmoja ulikuwa ni chini ya Malkia, na mwingine miwili kabla ya Muungano, kwa hiyo effective term yake ilikuwa ni miaka 21 tu.
Wewe ni mmoja ya watu waliokuwa wakifanya vibaya sana darasani. Yaani according to your poor understanding of international issues, "a country is isolated owing to her prioritization of local vernacular" 😂 😂 😂Mwl alifeli pia kwa kukitukuza kiswahili na kukipromote kuwa lugha ya taifa .
Tunetengeneza taifa ambalo lipo isolated sana na dunia. Watu wanahitaji akina mkandara kutafsiriwa cnn english news.
🖕Hilo ndilo jibu la swali. Hii ndio elimu ya Nyerere unao jivunia ulipewa huko kijijini kwenu taka taka kabisa