Ukweli usemwe: Joseph Haule (Profesa Jay) anahitaji utulivu, hizi pilikapilika za muziki na siasa angeachana nazo

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
20241114_164458.jpg

Kwanza nna declare interest mimi ni shabiki mkubwa wa Professor Jay na kwenye list yangu ya MCs bora wa muda wote nimemuweka nafasi ya pili.

Napenda sana muziki wake hata siasa zake nilikuwa nazipenda.

Ila kuna kitu nakiona hakipo sawa baada ya yeye kurudi kwenye ugonjwa uliomuweka kitandani kwa muda mrefu mpaka kuchungulia kaburi, nilitegemea angetulia na apate shughuli za kumuingizia kipato zisizohitaji mikiki mikiki. Wazo lake la Foundation lilikuwa bora kabisa.

Soma Pia: Joseph Haule 'Prof. Jay: Nitagombea Ubunge Mikumi 2025

Nasikitika kumuona kwenye majukwaa ya muziki akifanya performance na pia kwenye majukwaa ya siasa akifanya mikutano.

Kwa yoyote anayemshauri au kumuunga mkono kurudi kwenye hizi shughuli basi hana nia njema na hampendi anataka kumtumia.

Prof pumzika tunaona unavyo struggle kuwasiliana na watu na kujichanganya bado haupo sawa.

Tunaokupenda tunaomba upumzike. Mungu amekutoa kwenye hali ambayo kuendelea kuishi ni kama muujiza. Pesa zipo huwezi kuwa nazo vile vile kila siku kubali ndio maisha na upumzike.

Natoa ushauri huu kwa kuwa nakukubali.
 
View attachment 3158050

Jua la utosi, ni muda wa kutengeneza mambo ya nyumba yake na muumba.
 
Umeamua kuropoka, ikiambiwa umtumie hata elfu tano utatuma? Acha apambanie familia yake
 
Mimi nadhani anavyofanya ni sahihi anavyojichanganya na muziki na siasa itapelekea uponyaji uendelee vizuri kuliko kukaa na kupumzika inaweza ikapelekea kupata msongo wa mawazo
 
View attachment 3158050

Kwanza nna declare interest mimi ni shabiki mkubwa wa Professor Jay na kwenye list yangu ya MCs bora wa muda wote nimemuweka nafasi ya pili.

Napenda sana muziki wake hata siasa zake nilikuwa nazipenda.

Ila kuna kitu nakiona hakipo sawa baada ya yeye kurudi kwenye ugonjwa uliomuweka kitandani kwa muda mrefu mpaka kuchungulia kaburi, nilitegemea angetulia na apate shughuli za kumuingizia kipato zisizohitaji mikiki mikiki. Wazo lake la Foundation lilikuwa bora kabisa.

Soma Pia: Joseph Haule 'Prof. Jay: Nitagombea Ubunge Mikumi 2025

Nasikitika kumuona kwenye majukwaa ya muziki akifanya performance na pia kwenye majukwaa ya siasa akifanya mikutano.

Kwa yoyote anayemshauri au kumuunga mkono kurudi kwenye hizi shughuli basi hana nia njema na hampendi anataka kumtumia.

Prof pumzika tunaona unavyo struggle kuwasiliana na watu na kujichanganya bado haupo sawa.

Tunaokupenda tunaomba upumzike. Mungu amekutoa kwenye hali ambayo kuendelea kuishi ni kama muujiza. Pesa zipo huwezi kuwa nazo vile vile kila siku kubali ndio maisha na upumzike.

Natoa ushauri huu kwa kuwa nakukubali.
Ushauri wako umepuuzwa
 
Nafikiri hiyo inamsaidia kurecover, kama itakuwa inazidi madaktari lazima watamwambia

Kama ina faida kwake kumrejesha kwenye uzima na utimamu, basi aendelee

To be honest Prof Jizze ni muujiza unaotembea na ushuhuda mkubwa wa ukuu wa Mungu

Hakuna aliyetaraji mwamba atarejea tena kilingeni walijua ndio tayari kasaga na rhumba
 
Wakina jk walipiga mieleka majukwaani yeye profesa afya imeshazorota amenyanyukia lkn Bado kabisa apumzike aliyemuwezesha kupata nafuu iliyopo ndio huyo huyo atakayempambania katika kula kwake huko majukwaani anaenda kujimaliza Kwa kifo Cha siku Moja tu
 
Back
Top Bottom