Ukweli usemwe: Lissu yupo kwenye mission ya kuiua CHADEMA

Sasa akiua Chadema si ndiyo furaha yenu huko CCM? Mnaanza kumuogopa kabla hajawa Mwenyekiti.
 
Duh。。。!。Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
P
 
Mtu wa CCM awapangie au awashauri Chadema nini cha kufanya ili wakinusuru Chama chao ???! 😂😂😅 !

Haya maajabu unaweza ukayakuta Tanzania Bara pekee katika Afrika !
Au nasema uongo ndugu zanguni ???!

Mmeshaambiwa Lissu na Mbowe hawawezi kugombana Kamwe Mbona hamtaki kuwaelewa ??!!

Naona hao jamaa wanatisha kweri kweri 😳🧐 !
 
Vitu kama hivi ili viaminike ni lazima viseme utafiti huo umefanywa lini na na taasisi ipi. Aidha, ni njia gani imetumika kupata haya majibu.

Nje ya hapo ni upuusi mtupu.

Amandla...
Mkuu kuwa na subira kuanzia saa 5 utapata uthibitisho kama data ni za kweli au uongo. Si mlisema tunazusha chadema kupo shwari?
 
Haahaa kutaka kugombea uwenyekiti? Au kufichua Ile tuhuma ya rushwa na askofu kuombewa gari kwa Samia? Chadema wakimwacha lissu watapoteza vingi, wafuasi na mashabiki wao, Hawa machawa wa kutukuza uongozi uliopo hawana jipya
 
Kwa Ile Ngoma ya rushwa. Mwamba Yuko sawa 100%.Kwa taarifa yako lissu anaaminika nje na ndan ya chadema kuliko
 
Hakupo shwari ndio maana press conference anaifanyia mlimani city ilihali kuna ofisi za chama.
...kwani Kila press anayoifanya inahusu chama moja kwa moja? Mfano anataka kutangaza kutia Nia lazima aende ofisi za chama?
 
CHADEMA ni chama kikubwa any day inaweza kuchukua nchi lakini kwa viongozi kama Lissu hata deep state haiwezi ruhusu.
Ndiyo sababu inao viongozi kama Lissu! Unakuwaje mjinga hata usilione hili?

Sema tu ni upofu wa maslahi unayo yapata kwa kuweka kampeni kama hizi ambazo sasa zimekwisha stukiwa na hazimtishi yeyote.
Kula tu hiyo pesa ya Abdul, lakini usitegemee matokeo chanya kwa kazi hafifu kama hii.
 
Angekuwa na shule angalau kidogo siku ile kajikuta anaandamana mwenye angejiuzuru!!
Duh!

Mkuu 'Makojo', huoni hili lina hitaji maelezo kidogo ili lieleweke vyema!
Mimi nina tafsiri yangu, na huenda siyo uliyo ilenga wewe.

Mi nadhani maana iliyo jificha nyuma ya maneno yako haya ni nzito zaidi na CHADEMA wanatakiwa kuijuwa vizuri kabisa.
 
Haahaa, wakati huo chuma lissu kazungukwa na mapolis nyumba yote asitoke
LaSalaleh!
LOooh! hata siku moja sikuwahi kuyawaza hayaaa...EEEeeeenHHeEEEE!

Hata kwa kweli sijui kama tafsiri yenyewe ndiyo hiyo. Lakini kama ndiyo yenyewe; basi itafunua mengi ambayo yamekuwa magumu kuyaelewa hadi sasa kuhusiana na mtindo wa uongozi anao utumia sasa Mwenyekiti wa chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…