Ukweli Usemwe: Mtu ambaye anaiba uchaguzi anaweza kuwa na maono/ mpango wa maendeleo wa muda mrefu?

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
Kuna vitu vinashangaza sana ktk hii dunia.

Kuna watu wanasikika wakisema Nchi haina maono na haina mipango ya maendeleo ya muda mrefu.

Nchi iliyojaa wala rushwa, wabadhilifu, wasioheshimu viapo vyao, wakanyaga katiba ya nchi na wafujaji wa mali za umma wanawezaje kuwa pioneers wa maendeleo?

How on the Earth Mtu anayeiba uchaguzi wa serikali za mitaa tu anaweza kuwa na maoni ya kuipeleka nchi mbele??

Mtu anayewaza uchaguzi tu mara baada ya kuchaguliwa ktk nyazifa mbali mbali?

Ukweli usemwe hatufiku popote chinu ya utawala wa ccm.

Ccm imefli hata kuwaletea maji na barabara wananchi wake kwa miaka 60 ya uhuru.
 
Hata mipango ya muda mfupi Hana ...labda Kwa familia yake!
Watu wenye akili huwa hawaibi Uongozi Kwa Hila ,ila wanaweza kumwaga damu Kwa maslahi ya Umma!
 
Hapo mkuu mbona unatuchanganya
 
Kuna vitu vinashangaza sana ktk hii dunia.

Kuna watu wanasikika wakisema Nchi haina maono na haina mipango ya maendeleo ya muda mrefu.

Nchi iliyojaa wala rushwa, wabadhilifu, wasioheshimu viapo vyao, wakanyaga katiba ya nchi na wafujaji wa mali za umma wanawezaje kuwa pioneers wa maendeleo?

How on the Earth Mtu anayeiba uchaguzi wa serikali za mitaa tu anaweza kuwa na maoni ya kuipeleka nchi mbele??

Mtu anayewaza uchaguzi tu mara baada ya kuchaguliwa ktk nyazifa mbali mbali?

Ukweli usemwe hatufiku popote chinu ya utawala wa ccm.

Ccm imefli hata kuwaletea maji na barabara wananchi wake kwa miaka 60 ya uhuru.
Ni ukweli mtupu,ccm hawana jipya,lakini tukifikiri kuitoa ccm ndio kutaifanya nchi Bora kwa asilimia kubwa,ni kijidanganya,ila hatua kubwa ni kuitoa ccm,tujenge mifumo,ambayo mtu hawezi chezea,maana hata kama Una mifumo Bora,lakini kama wasimamizi ni Wabovu,hutapiga hatua,
Pale Kenya,walifikiri kila kitu kutakuwa Bora KANU ikitokea,wapi,Rushwa,ukabira upo pale pale,mahakimu wezi,wabunge wezi,mawaziri wezi,ni mfumo fulani hivi wa wezi,hata ukiwa wewe ni muhadirifu,harafu upo na wezi mia,watatumia sheria hizo hizo nzuri kukutoa,kwa ufupi,ni Bora makaburu wangepewa hii nchi kwa muda wa miaka 30,waijenge vzr
 
Mbunge mwenye kutoa hoja naye aliibiwa kura, ni mpango upi anaousemea dhidi ya wizi ulimuweka
 
Gwajiboi huwa ni mtu anayeongea mambo mengi ya kufikirika tu
 
Mbunge mwenye kutoa hoja naye aliibiwa kura, ni mpango upi anaousemea dhidi ya wizi ulimuweka
Mtu hawezi hata mpango wa muda mfupi wa kuendesha uchaguzi halali🤣🤣
 
Ni ukweli mtupu,ccm hawana jipya,lakini tukifikiri kuitoa ccm ndio kutaifanya nchi Bora kwa asilimia kubwa,ni kijidanganya,ila hatua kubwa ni kuitoa ccm,tujenge mifumo,ambayo mtu hawezi chezea,maana hata kama Una mifumo Bora,lakini kama wasimamizi ni Wabovu,hutapiga hatua,
Pale Kenya,walifikiri kila kitu kutakuwa Bora KANU ikitokea,wapi,Rushwa,ukabira upo pale pale,mahakimu wezi,wabunge wezi,mawaziri wezi,ni mfumo fulani hivi wa wezi,hata ukiwa wewe ni muhadirifu,harafu upo na wezi mia,watatumia sheria hizo hizo nzuri kukutoa,kwa ufupi,ni Bora makaburu wangepewa hii nchi kwa muda wa miaka 30,waijenge vzr
Bila kuitoa ccm mifumo imara haitajengwa kamwe.
 
Hapo mkuu mbona unatuchanganya
Ndio mashujaa na wapenda maendeleo Kwa manufaa ya Umma ,lakini walafi wa madaraka huiba kura ,au kuua Ili watawale ,na matendo yao huyofautiana sana na màshuja!
Mfano Jerry Ràwling na Mabutu!
 
Kabisa hawafai na wala hawana tumaini lolote kwa Raia wake.
 
Back
Top Bottom