Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Hakubakisha kituHapa Padre kausema.ukweli wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakubakisha kituHapa Padre kausema.ukweli wote
Alilarua kweli kweliHakubakisha kitu
HAWEZI ZAIDI YA KUWAZA WIZI WAKEKuna vitu vinashangaza sana ktk hii dunia.
Kuna watu wanasikika wakisema Nchi haina maono na haina mipango ya maendeleo ya muda mrefu.
Nchi iliyojaa wala rushwa, wabadhilifu, wasioheshimu viapo vyao, wakanyaga katiba ya nchi na wafujaji wa mali za umma wanawezaje kuwa pioneers wa maendeleo?
How on the Earth Mtu anayeiba uchaguzi wa serikali za mitaa tu anaweza kuwa na maoni ya kuipeleka nchi mbele??
Mtu anayewaza uchaguzi tu mara baada ya kuchaguliwa ktk nyazifa mbali mbali?
Ukweli usemwe hatufiku popote chinu ya utawala wa ccm.
Ccm imefli hata kuwaletea maji na barabara wananchi wake kwa miaka 60 ya uhuru.
No hope leadersHAWEZI ZAIDI YA KUWAZA WIZI WAKE
duuh laana tupuThis is Afrika (TIA) kwa sauti ya kikaburu,!
Rushwa ndio kilakitu, tunapenda kupokea na hatuoni shida kutoa. Rushwa kwetu ni rafiki wa milele.
Rushwa kuanzia ofisi kuu hadi kwa mjumbe wa makumi, rushwa kwenye chaguzi mpaka za shule ya chekechea,
Rushwa mpaka kwenye ngazi ya familia, rushwa kuanzia utoto hadi uzee. Rushwa tunazaliwa nayo hadi tunakufa nayo.
Rushwa tunaipenda × 3.