Ukweli Usemwe: Mtu ambaye anaiba uchaguzi anaweza kuwa na maono/ mpango wa maendeleo wa muda mrefu?

This is Afrika (TIA) kwa sauti ya kikaburu,!
Rushwa ndio kilakitu, tunapenda kupokea na hatuoni shida kutoa. Rushwa kwetu ni rafiki wa milele.
Rushwa kuanzia ofisi kuu hadi kwa mjumbe wa makumi, rushwa kwenye chaguzi mpaka za shule ya chekechea,
Rushwa mpaka kwenye ngazi ya familia, rushwa kuanzia utoto hadi uzee. Rushwa tunazaliwa nayo hadi tunakufa nayo.
Rushwa tunaipenda × 3.
 
HAWEZI ZAIDI YA KUWAZA WIZI WAKE
 
duuh laana tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…