Ukweli usemwe: Nandy ni msanii namba moja wa kike ambaye tumebarikiwa kwa sasa

Ruby ni word class level but sadly hajitambui
Ruby na Baraka The Prince ni wasanii wazuri lakini hawawezi kabisa kuwa chini ya mtu.

Wao wanaweza kujiongoza wenyewe tu.
 
Tunahitaji mtu anayeweza kuumiza kichwa akatunga mashairi, akaweka vocal na issue ikaburst buuuuh.....,wimbo wa kivuruge Nandy alitengewa mezani akaweka vocal Tuu,..na ndo wimbo Bora Zaid alioimba Nandy ....
Beyonce',Rihanna wanaandikiwa pia..sio kitu kibaya
 
Binafsi Vanessa namuona msanii wa kawaida ila anabebwa na uzoefu wa kukaa nje,kusafiri sana na sapoti aliyonayo mbali na hapo ni msanii wa kawaida....Nandy yuko vyema kuliko yeye
Kwa sasa Nandy yuko ktk ubora, ila hajawa hiyo level unayosemea weyee.
Ruby ni hatareeeh sana, ila sijui ana matatizo gan.
But mkaree wao Vanessa yuko on the top.
 
Kunywa Pepsi big nitalipa..Nandy asidanganye kuhusu Promo maana vyombo vyote vinapiga mziki wake.
 
Sio Kweli watu wanasikiliiza hata miziki ya Kikorea au lugha wasizozifahamu sababu ya vionjo mbali mbali sio maneno tu.., ukipangilia vionjo hata ukiimba A, B , C , D bado itapendenza, ni kupotoka kudhani kwamba watu wanasikiliza /( siwezi kusema wananunua sababu wabongo ni watu wa kutafuta free....,), sababu ya maneno ya ngono..., bali ni kwamba nyimbo karibia zote zina hayo maneno..., na kwa kufanya hivyo wanapunguza soko lao..., sidhani kama kijana angezema duh huu wimbo siuzikilizi sababu hakuna shairi linaloongelea ngono...
 
Kwenye coke studio Ruby alifanya live performance Yemi Alade na Nyanshinski, aliwafunika vibaya sana.
Ruby is another level

QUOTE="Mkaruka, post: 38037175, member: 123346"]
Ruby na Baraka The Prince ni wasanii wazuri lakini hawawezi kabisa kuwa chini ya mtu.

Wao wanaweza kujiongoza wenyewe tu.
[/QUOTE]
 
Wimbo mzuri sana sema kwa zama hizi sio rahisi kueleweka
 
Binafsi Vanessa namuona msanii wa kawaida ila anabebwa na uzoefu wa kukaa nje,kusafiri sana na sapoti aliyonayo mbali na hapo ni msanii wa kawaida....Nandy yuko vyema kuliko yeye
Wee mkuu taratibu mambo yako, tena ukae kwa kutulia, iv nandy anamzidi nn vee? Support ipi unayoizungumzia?

Unapozungumzia suala la wasanii wa kike hapa Bongo kwa wanawake kwa wakati huu jide na vee waweke pembeni, afu wajadili wanaobakia.

Hata nandy na wenzake wote wanalijua hilo.
 
Zuchu ameexpose udhaifu mkubwa wa Nandy , ngoja tuone kufikia mwez wa sita kuna mtu ataresign mziki 😀
Hebu tueleza underground amemzidi nini Nandy? hivi kuna underground hajawai toa hit song?
 
Hebu imba wimbo ambao hauna maudhui ya mapenzi uone soko lake litakuwaje.Au fuatilia nyimbo za aina hiyo utauona ukweli.Wasanii wanaimba kile watu wengi wanapenda kusikia,mapenzi=vijana.
Na wasanii wetu hili wanalijua ndio maana awe na biti nzuri,anajua kuimba hajui,lkn kitakachoimbwa ni mapenzi.
 
Mkuu nimekushangaa kubisha kuwa huyo msanii kuimba mahadhi ya taarab. Huyo msanii alivutiwa sana na Mbosso lakini akajikuta anaimba kama mama yake... hata hili wakataa?
 
Mkuu nimekushangaa kubisha kuwa huyo msanii kuimba mahadhi ya taarab. Huyo msanii alivutiwa sana na Mbosso lakini akajikuta anaimba kama mama yake... hata hili wakataa?
Cheche,Nobody,Sukari hizi ni taarabu?

Hebu kamuangalie kwenye mashindano ya Tecno nimekuwekea na link,alafu uone alikuwa anaimba nyimbo gani.
 
Mnakosea Sana mnaposhindanisha Nandy & Zuchu Kwa Ruby , hvi Ruby ana hitsong gani wazee , kuimba huko koke studio ??? Mara et kawafunika yemi alade kwel? Yaan mnamsifia mtu Kwa vocal against magnificent hit songs za Zuchu au Nandy ???? Swala la vocals nenda bongo star search kuna vijana Wana vocal huyo Ruby akasome ,...... .... Vocal ni kipengele kidog Sana kutuaminisha wanazengo , YouTube imejaa cover songs za wasanii kibao na hzo cover zina vocal hatar mpak unasema angeimba huyu ingekuwa poa, lakn wapo wap hao waimba cover ????!

Ruby ni msanii ambaye anataka umtungie wimbo (mana kutunga Tia maji Tia maji) , aingize vocal , umpromote , umuite apige show , what the fu-ck ...

Ruby level zake ni akina Rachel, Kylin , Sister P, Datas au Hawa nitarejea ..... Huyo Ruby mtafutieni Kiki nyingine bhana , ........

Hakuna promota anayeweza kumwaga pesa zake kwa Ruby aisee labda awe kichaaa....

Msanii pekee mwenye uwezo mkubwa Kias kwamba ningekuwa namiliki label nisingemuacha ni Maua Sama....pale kuna kipaji bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…