Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Ngoja tumpe muda kwanza maana kajitahidi kwa miaka hii ya teamsYANI anakwama sana kuhusu show jamaa atashuka umaarufu hajapiga show za maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tumpe muda kwanza maana kajitahidi kwa miaka hii ya teamsYANI anakwama sana kuhusu show jamaa atashuka umaarufu hajapiga show za maana
Wasanii bongo hawajui mziki ni biashara kubwa na uendeshaji wake ni wakibepariUjinga wa kusema msanii anamiliki kila kitu upo Africa na bongo ni moja ya hizo nchi in fact kwa mataifa makubwa Kama US huwa Kuna mgao wa hatari kuanzia waandika mashahiri,Mwanamziki mwenyewe Hadi producer.
Unamaanisha Chege Chigunda anauza dagaa?Hii kweli kabisa nilishangaa kumuona chege akipita mtaani kuzungusha kapu la dagaa ...nikajisemea hii laana kabisa...
shida ni kuwa wewe umekuta amesharekebisha.Unajua kusoma kweli?
Watu ubepari wanauchukulia poa 😀😀😀Nadhani hujafahamu mfumo waubepari unayofanya kazi.
Huo ndio ubepari Sasa...na hakunyonyi sababu aha roho mbaya ila sababu ndivyo inavyostahili.
Kwa nini hao wasanii walienda kwake na wasingejisikia huru kwenda kwenye label nyingin?
Kwani yeye hivyo vifaa vya studio aliokota,? Ujuzi je alisomea bure??
Chege huyu huyuHii kweli kabisa nilishangaa kumuona chege akipita mtaani kuzungusha kapu la dagaa ...nikajisemea hii laana kabisa...
Ulishawahi kufanya kazi ya kamisheni?Huoni kama hiyo 40percent ni kubwa sana maana hujawekeza hata mia zaidi ya sauti yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujamaa ulitulemaza mkuu na umasikini poa ni shida Sana.Watu ubepari wanauchukulia poa 😀😀😀
Kwenye ubepari hakuna huruma mbele ya maslahi
Kundi la 112 usa lilipotaka kujitoa badboys wakajikuta hadi jina kumbe sio milki yao ndio mwanzo wa kupoteana hadi leo sasa kwa jinsi wanavyoonekana kwenye kideo na boss wao diddy wanabang mtu wa kawaida unaweza kudhani anaweza kuwafanyia hivyo kweli 😀😀😀 kawachinjia baharini bila huruma mpaka kesho hajageuka nyuma
Watu wanaingia kazini na kufanya kazi kienyeji mjanja akiona loophole akiitumia mtu anaanza kulalamika 😀😀😀Ujamaa ulitulemaza mkuu na umasikini poa ni shida Sana.
Yani mahakama haijui hiko kitu inakupopoa as long as kipindi unasigne haukuwa chini ya 18 na hukuwa umelewa au chiziStatement ya akili Sana hiyo. Eti "sikujua kuwa sheria hairuhusu hii". Mahakama inakupiga nyundo tu.
Hili tatizo hata usa lipo yani Ashanti imebidi amimbe tena album yake nzima.Shida inaanziaga kwa wasanii wengi hawajielewi aswa issues za digital products zao na hawajui izo ni digital assets kwao na familia zao ambazo ni urithi kwa vizazi vyao na ndo wasanii wa sasa kama platnumz anapowapiga bao msanii anatakiwa kuwa na umiliki wa contents zake zote kama music wake na ulindwe na copyrights company watu wasijifaidishe wala kuutumia bila idhini yake sasa wasanii wengi wa zamani kama lady jay dee, profesa jay, ngwair, ferooz, wengi ukichunguza nyimbo zao nyingi sio mali zao tena ata malipo ya nyimbo zao hawapokei wao tena bali wapigaji ambao wameziweka kwenye digital platforms zao kama YouTube acc za watu wengine maana wasanii wa zamani walikuwa hawana ata youtube channels ivyo nyimbo zao nyingi zipo kwenye channel za watu wengine [emoji3][emoji3]iyo kitu na inazidi kujirudia hadi leo kuna music labels ni majambazi na matapeli kwa mfano WANENE ENTERTAINMENT, wanatabia ya kuwafanyia production ya music wasanii na kisha music videos zao wanaweka kwenye YouTube channels zao na digital platforms acc zao kwa mfano CHIN BEEZ ukichunguza nyimbo zake zote na music videos zake zote zipo kwenye YouTube channels za wanene kitu ambacho ni unyonyaji kwa wasanii na baadae kinawapelekea stress, depression na kula madawa, kitu diamond achowazidi wasanii wengi ni umiliki wa digital products zake kwa 100% ambapo zinasimamiwa copyrights co kutoka SA inayofuatilia haki zake zote na mtu hawezi kuzichezea ovyo ,
Hivi hawa wasanii wa WCB huwa wanakuwa managed na nani? Kwa sababu kama wanakuwa managed na hao hao kina Tale, Fela na Salaam then kuna tatizo la conflict of interest. Haiwezekani mtu anayemiliki au kuongoza lebo awe pia meneja wa msanii. Meneja anatakiwa asiwe part ya label ili aweze kulinda maslahi ya msanii. Hii itasaidia wasanii kutosaini mikataba ya ajabu ajabu. Angalizo: Nimewatumia WCB kama mfano tu. Hii inazihusu label zote.Mkuu hili ninaongea nikiwa na uhakika wa 100% ni kuwa pale WCB ukiachana na Mavoko na Konde boy, nyimbo za wasanii wengine wooote waliobaki zinamilikiwa na WCB hao ndio COPYRIGHT HOLDERS, wasanii wamebakiwa na PERFOMANCE RIGHTS ONLY yaani leo Vanny akitoka pale basi hawezi kupata hata 100 endapo wimbo wake utauzwa, nasema HATAPATA HATA MIA WIMBO WAKE UKIUZWA unless otherwise waingie makubaliano mengine leo hii kuhusu hicho kipengele.
Awe na mwanasheria tuu wa kusoma mikatabaMusic publishing ni ishu tata sana. Sio huku kwetu tu bali hata huko kwa walioendelea. Kuna mifano kadhaa ya wanamuziki wakubwa ambao walitangaza kufilisika (bankruptcy) licha ya "kuuza" mamilioni ya kopi za rekodi. Mfano Toni Braxton, TLC n.k. Lakini huo ni mjadala wa siku nyingine.
Typical music production (unless kila kitu mpaka kuimba amefanya mtu mmoja) huwa inahusisha producers, composers, melody makers, session musicians na engineers. Hawa huwa wanakuwa na haki zinazoitwa mechanical rights za huo wimbo. Ukiangalia hapo sijamtaja mtu mmoja, MUIMBAJI/WAIMBAJI. Hawa wanakuwa na haki za uimbaji (singing right) kwenye huo wimbo.
Tafsiri ya rights zilizotajwa hapo juu ni kwamba kwa namna fulani KILA mtu aliyeshiriki kutengeneza huo wimbo (unless kwa sababu fulani amekubali kufanya bure) anatakiwa kulipwa. Analipwaje ndio mjadala ninaouona kwenye huu uzi. Suala la mshiriki kwenye production atalipwaje huwa liko kimkataba, inaweza kuwa malipo ya mara moja au percentage fulani ya publishing (wenzetu wanaitaga points). Kuna watu wamesema kwamba P Funk amepora haki ya watu aliofanya nao kazi ya production. Tutajuaje kama P alishamalizana nao kimalipo na wakaachia rights zao za publishing? Je, hizo haki zao zimesajiliwa kisheria? Hii ishu nitaijadili kidogo huko mbele.
Again, typical music production huwa inasimamiwa Producer. Kwenye music production kumekuwa na tatizo la watu kuchanganya producer na beat maker au session musician. Kwa kawaida huwa inategemewa producer awe pia musician ili awe na uwezo wa kuendesha zoezi zima la production. Lakini SIO lazima yeye apige vyombo au kufanya programming kwenye huo wimbo unaotengenezwa. Kuna mtu kasema "P Funk hajui hata kupiga kinanda", kwanza sio kweli, P Funk anaweza kupiga kinanda, pili ili awe ame-produce wimbo fulani sio lazima personally afanye beat making, yeye anahakikisha kila mhusika ana-play role yake na standard ya production inakuwa per exellent. Producers wengi wakubwa huko duniani huwa hawapigi vyombo wao wenyewe bali hutumia session musician au beat makers mfano Quincy Jones, Dr Dre, P Diddy, Irv Gotti etc.
Sasa tuje kwenye ishu tata ya hatimiliki aka publishing. Tofauti na watu wengi wanavyoamini, publishing rights sio automatic. Ni lazima ziwe zimesajiliwa kisheria (registered) ili zilindwe, kama umefanya kazi yoyote ya ubunifu bila kuisajili wakatokea wajanja wakasajili imekula kwako. Jamaa watapiga hela huku wewe ukipiga miayo. Huku kwetu nina uhakika kuanzia wasanii, wapiga vyombo na wengineo walikuwa hawalijui hilo ndio maana watu wengi wakiwemo wasanii wanaamini kwamba akienda studio akalipia kurekodi wimbo automatically unakuwa mali yake. Kitu ambacho sio kweli.
Sijajua mikataba ambayo wasanii wa hapa kwetu (wakiwemo wa WCB) huwa wanaingia na lebo huwa ina-address suala la publishing au hapana. Ambacho nina uhakika nacho ni kwamba wasanii wengi (hasa wa zamani) hawako aware kuhusu ishu ya publishing, na ndio mzozo wa Prof Jay na P Funk ulipoanzia.
Actually ishu ya Prof Jay na P Funk kuhusu beat ya nikusaidiaje haikuanzia kwenye beat hiyo kutumika kwenye movie. Baada ya Prof Jay kurekodi wimbo huo na kuhit, Chameleone akamfuata P akitaka atumie hiyo beat, P akamchaji Chameleone USD 2,000. Prof aliposikia akaja juu na kulalamika kwamba beat yake imeuzwa bila idhini yake. Lakini kiukweli Prof hakuwa ma haki yoyote kwa kuwa Chameleone alitumia beat tu, sio wimbo wote. Wimbo wa Chameleone ukaja kutumika kwenye movie ya Queen of Kitwe iliyotengenezwa na Disney na Chameleone akavuta mpunga. P akakomaa na Disney na kwa kuwa sheria ilikuwa upande wake alalipwa. Again Prof hakuwa na haki kwani wimbo uliotumika ni wa Chameleone na sio wa kwake.
Hitimisho ni kwamba music business is very shady, inatakiwa msanii ajifunze SANA sheria za hatimiliki na ahakikishe haki zake ziko documented na zimesajiliwa kisheria ili zilindwe.
Kiongozi I have very deep infos kuhusu hii game ya bongo music industry hii ni kwa dababu nimefanya kazi kwa karibu na hii industry for the good 2yrs. Kila wakati huwa natamani kuandika gazeti humu nielimishe watu huwa kila nikianza naishoa kati halafu naamua kufuta maana kinachofanyika kwenye industry ni UBAKAJI na kuviziana kwamba atakaemuwahi mwenzake basi ameshinda milele. Sometimes huwa naogopa maana taarifa nilizipata nikiwa nafanya kazi kwenye taasisi ya umma na kwa namna nilivyoji-expose humu ni rahisi sana kuwa traceable ila nitaleta gazeti juu ya game ya muziki na film inavyoendeshwa hapa mjini.Hivi hawa wasanii wa WCB huwa wanakuwa managed na nani? Kwa sababu kama wanakuwa managed na hao hao kina Tale, Fela na Salaam then kuna tatizo la conflict of interest. Haiwezekani mtu anayemiliki au kuongoza lebo awe pia meneja wa msanii. Meneja anatakiwa asiwe part ya label ili aweze kulinda maslahi ya msanii. Hii itasaidia wasanii kutosaini mikataba ya ajabu ajabu. Angalizo: Nimewatumia WCB kama mfano tu. Hii inazihusu label zote.
Ukweli mchungu ni kuwa mbali na kuwa na mwanasheria wa kupitia mikatabaAwe na mwanasheria tuu wa kusoma mikataba
Shida ni pale kwenye mikataba unapoamua kushuka signato. Maana hawakuwa na hela ya kununua beat so yeye anakuwa anajitolea bit zote wewe unaleta mashaairi. Ofcoz masta itabaki kwa p funk ni business ambayo hata USA wasanii yamewakuta haya ndio maana hata maiko Jackson aliwaambia vijana wahalikishe wanamili masta zao ili wasife njaa Maana hapo ndio kwenye hela. So nadhani hata rayvanny pia masta anazo diamond. So hata Sasa yanatokea muhimu wasanii walate elimu ya kutosha kuhusu mastaaaaa hizo. Pfunk alitumia mwanya Enzi hizo but now still Kuna wasanii hawamiliki mziki waoWakuu kuna wakati ukweli lazima usemwe. Mambo ya kusema mtu aheshimiwe kwa kuwa alikuwa anatengeneza beats nzuri hizo ni heshima za uoga.
P Funk ambaye kiukweli zaidi ya kufanya production ya muziki na kupokea malipo hana jingine kubwa alilolifanyia bongofleva.
Kwa wasiofahamu wasanii wote waliokuwa chini ya bongo records hawana nyimbo au album wanazomiliki vyote anamiliki P Funk.
Ngwea amekufa maskini huku muziki wake unamilikiwa na P Funk mpaka leo anakula hela ya Ngwea.
Ukiona wimbo wa Juma Nature au Feruzi kwenye YouTube, Boomplay au digital platform yoyote usidhani ukisapoti unamsaidia msanii hiyo ni pesa ya Majani. Leo hii ikitokea bahati mbaya Juma Nature hatupo nae watoto wake watarithi nothing utajiri wake wa nyimbo ni mali ya watoto wa Majani kina Paula.
Huyu P Funk aliyekuwa anawapiga ngumi na mitama watoto wa kimaskini wakienda kuomba msaada wa kurekodi nyimbo zao.
Kumbuka pale bongo records kwenye utengenezaji wa beats waliusika watu wengi zeze ilitengenezwa na bizimani ila achukui hata sh 10, beat ya mikasi alitengeneza prof ludigo ila achukui hata sh 10 kina Marlon linje walikuwa wanapiga vinanda na vyombo vingine kwenye kutengeneza instrumental za wasanii haki zao za ubunifu anachukua nani kama sio mnyonyaji p Funk?
P Funk tunamuheshimu kwa kutengeneza beats ila zaidi ya production kaufanyia nini huu muziki?
P Funk uwa wakiitwa wasanii walipwe yeye anaenda kuchukua malipo kama nani? Kina Daz Baba wamekuwa vituko mtaani hela zao kwa nini unakula wewe PFunk?
Hii thread haiusiani na tukio lolote bali ukweli usiozungumzwa.
Kuna mtu anakula hela ya eazy e na Tupac mpk ss kwa mambo hayo hayo. Unajua mpk Leo Dr. Dree hamiliki the cronicP Funk anakula mpaka hela za marehemu Ngwea. Yeye p Funk anajinadi kama anapaza sauti juu ya haki za wasanii vipi mbona yeye anawanyonya mpaka leo?
Haki za ubunifu kwenye midundo mbona anawatapeli wenzie?
Tukemee unyonyaji wa P Funk
Wasanii wetu wengi hawajui sheria ya Intellectual Property..Wakuu kuna wakati ukweli lazima usemwe. Mambo ya kusema mtu aheshimiwe kwa kuwa alikuwa anatengeneza beats nzuri hizo ni heshima za uoga.
P Funk ambaye kiukweli zaidi ya kufanya production ya muziki na kupokea malipo hana jingine kubwa alilolifanyia bongofleva.
Kwa wasiofahamu wasanii wote waliokuwa chini ya bongo records hawana nyimbo au album wanazomiliki vyote anamiliki P Funk.
Ngwea amekufa maskini huku muziki wake unamilikiwa na P Funk mpaka leo anakula hela ya Ngwea.
Ukiona wimbo wa Juma Nature au Feruzi kwenye YouTube, Boomplay au digital platform yoyote usidhani ukisapoti unamsaidia msanii hiyo ni pesa ya Majani. Leo hii ikitokea bahati mbaya Juma Nature hatupo nae watoto wake watarithi nothing utajiri wake wa nyimbo ni mali ya watoto wa Majani kina Paula.
Huyu P Funk aliyekuwa anawapiga ngumi na mitama watoto wa kimaskini wakienda kuomba msaada wa kurekodi nyimbo zao.
Kumbuka pale bongo records kwenye utengenezaji wa beats waliusika watu wengi zeze ilitengenezwa na bizimani ila achukui hata sh 10, beat ya mikasi alitengeneza prof ludigo ila achukui hata sh 10 kina Marlon linje walikuwa wanapiga vinanda na vyombo vingine kwenye kutengeneza instrumental za wasanii haki zao za ubunifu anachukua nani kama sio mnyonyaji p Funk?
P Funk tunamuheshimu kwa kutengeneza beats ila zaidi ya production kaufanyia nini huu muziki?
P Funk uwa wakiitwa wasanii walipwe yeye anaenda kuchukua malipo kama nani? Kina Daz Baba wamekuwa vituko mtaani hela zao kwa nini unakula wewe PFunk?
Hii thread haiusiani na tukio lolote bali ukweli usiozungumzwa.