Ukweli usemwe: P Funk ndio mtu mnyonyaji zaidi kuwahi tokea kwenye historia ya Bongofleva

So yeye anaweza kukusanya watu wakufanya Production tu??? Kama Dj khaled anawaita mnatia verse mnakula mpunga wimbo wakee...
Afadhali dj Khaled mtu anapigwa mpunga wa maana pfunk studio kwake ana gym yeye anapiga gym choma embassy zakutosha,choma kaya bia zakutosha yeye anamalizia mixing pale studio kwake kunakuwa na mamluki wa kutosha njaa yako umaskini wako hela yakiboya bado anakuoshea hata hadharani
 
Nakumbuka sio movie, ni ngoma sijui nikusaidiaje ile biti akauziwa tena chameleone akaimbuia bomboclat.. Jay kuulizia p kaishakula hela, chameleone akataka kumpa tena hela Prof akaamua wapige kolabo, ngoma nimeisahau jina.
Nooo nooo nooo ni movie imefanyika Hollywood, awali jamaa Wenye movie walidhania kuwa mwenye haki ya beat ni chamilion , chamilion alitaka kupiga mpunga ndio p funky akasanukia mchongo akaenda usa kufuata haki yake
 
Pamoja na yote uloyoeleza P Funk_Majani ana mchango mkubwa kwenye game kuliko Sallama (Sallam),P ni bulldozer,ni miongoni mwa waandaaji wa muziki walioibeba Bongo fleva kwenye mabega yao mpk hapa ilipofika ame_inspire vijana wengi kuingia kwenye game,kwa kuimba,kuchana na kuwa na record label,tuheshimu wahenga
 
Nooo nooo nooo ni movie imefanyika Hollywood, awali jamaa Wenye movie walidhania kuwa mwenye haki ya beat ni chamilion , chamilion alitaka kupiga mpunga ndio p funky akasanukia mchongo akaenda usa kufuata haki yake
Umenikumbusha hii ishu, ni kweli P ndie alienda USA kufata pesa ambayo ilikua apewe Chamillion.... Nakumbuka aliporudi Watu walihoji sana kama alimpa chochote Jay na P mwenyewe alipotea kwa muda mrefu kabla ya kuibuka tena.
 
[emoji848][emoji28][emoji28][emoji28][emoji419]
 
Inategemea sio lazima asikilize nyimbo ya msanii kama siku hizi ndio hawafanyi hivyo kabisaaa now days pro ana nyonga beat Kwa feeling zake Kisha anampatia msanii ambaye ana mudu kupita humo
 
Kuna kitu kinaitwa mkataba unakifaamu? Kama hao wasanii waliona unayonyaji kwanini wali saini?
 
P Funk anakula mpaka hela za marehemu Ngwea. Yeye p Funk anajinadi kama anapaza sauti juu ya haki za wasanii vipi mbona yeye anawanyonya mpaka leo?

Haki za ubunifu kwenye midundo mbona anawatapeli wenzie?

Tukemee unyonyaji wa P Funk
Hujajibu hoja
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kazi kweli kweli
 
Mbona Mimi nilikuwa msanii wa diamond na napata pesa yangu always
 
Walilipwa kiasi Gani!?
 
Nimebaki nacheka tu hapa Ndugu Mdau. Comment zako zinanifurahisha Sana. Eti "hakuwazuii Toyota kumuuzia jirani yako, gari Kama lako". Sipati picha jamaa anaenda Toyota kupiga mkwara jirani yake asiuziwe gari Kama yake yeye.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Na hao wasanii wangetoa nyimbo zao bila biti waone kama zitauza.
 
Ina maana hao akina bizman walikua hawajui kama wananyonywa?
 
Hii comment Iko na madini yote

Case closed, Uzi ufungwe
 
Naam naam [emoji419][emoji16]🥱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…