Ukweli usemwe: P Funk ndio mtu mnyonyaji zaidi kuwahi tokea kwenye historia ya Bongofleva


tutawasifu kwa hilo,ila hawana haki ya kulaumu wengine kwa unyonyaji,maana nao wanajilipa juhudi walizowekeza.

WCB inafanya biashara,haitakiwi popote biashara hiyo itangazwe kama ni hisani,ili kuondoa kelele hizi.

unamchukua zuchu,unamsign pale anapata jina,unamkata 60% halafu useme"zuchu amesaidiwa sana na lebel[emoji23][emoji23]"huo ni utapeli.
 
Hivi gharama kurecord bongo sahv ni kiasi,mfano labda uende kwa yule dogo anaye copy copy miziki anafanya production sjui s2kzy

Ova
 
Inawezekana hizi kelele zinatokana na kutokuwa na uwazi kwenye mapato yanayoingia. Mfano management inamuambia msanii Kuna shilingi 100 imeingia kutokana na hii show, Ni kweli inakuwa 100!? Wasanii wanapewa nafasi ya kujua mapato halisi!? Au Ni ile ya kuambiwa, jiandae una show Kigali bila kujua details nyingine zozote!?
 
Hapo inategemea na makubaliano(mkataba) kama producer hatakiwi kuendelea kufaidika na kazi aliyofanya anatakiwa kucharge pesa ndefu zaidi..

Angalia mfano Swizz beatz.. ananyimbo nyingine anamiliki yeye sababu ya beat tu..

Wasanii wetu wote mpaka procers directors n.k.. wanatakiwa kuwa na wanasheria kabla ya kufanya kazi zao za Sanaa tofauti na hapo watanyonywa vibaya mno..

Mfano mzuri Ay na Mwana FA mwanasheria aliwafanya wakachukua haki yao tigo almost 2 billion..

Sasa wewe fanya Sanaa kufurahisha washkaji
 
😀 😀 😀 😀 nimesaidiwa wakati helaa za show wanachukuaaa
 
Si Jakaya aliwanunulia vifaa clouds wakavinywa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mdo maana Vinega hawawakubali Clouds na Ruge. Ukaribu wa Ruge na CCM uliharibu mambo mengi sana ya sanaa na uimbaji+ manufaa ya wasanii.
Dili la Sugu Ruge yumo wasanii wakaomba studio Ruge akaikamata nafkri ndo ikawa THT yaani yule jamaa alikuwa mdhulumati.
 
Respect kwa jamaa hawa pfunk master Jay nk wao ndy walipigania huu mziki bila kuwasahau kim&the Boyz maana ndy walikuwa wanandaa matamasha enzi hizo
Muziki wenyewe ulikuwa haukubaliwi
So ku mdearespect mtu kama majani siyo,bora wangemjibu kwa fact

Ova
 
Aisee uko vizuri kwa kumbukumbu. Kuna nyimbo ya Saida Karoli pia ilitumika ktk movie moja ya black American nafkir ni Jumping The Bloom kama sikosei.
 
Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Hili tatizo hata usa lipo yani Ashanti imebidi amimbe tena album yake nzima.
Lil Wayne pia ndio karusha tena video kwenye account yake ya YouTube upya maana haki ilikua kwa cash money.
Yani ukizubaa unapopolewa tena sana unabaki mtupu kazi ya utumwa
Ye aka kanye west ndo hataki morden slavery
 
Acha uongo wewe!
 
Mike Tee alikuwa mtoto wa kishua
 
Nakuelewa, ila unajua Zuchu tunayemuona leo imegharimu kiasi gani kumjenga hivi alivyo? Hata kama angekuwa ni Mo, GSM au tajiri yeyote bado pesa pekee isingemfanya Zuhura kuwa Zuchu. Wenzetu wana ramani zinazoweza kufanya kipaji kuonekana exceptional hata kama kuna same talents huko nje. Hii at least Ruge aliweza lakini WCB kuna mileage wameenda zaidi. Huo uwekezaji sio msaada na Sallam ameshasema mara nyingi hawasaidii msanii bali it's a business.

Khalifan ni Legend lakini kiungwana hawa wenzake kuna hatua wamepiga ni vizuri angejifunza na kufanya utafiti vizuri ili kwa level zake atoe maoni yaliyoshiba. Yeye mwenyewe alilalamikiwa sana lakini those days wasanii walikuwa hawana options.
 
Mdau hiki kizazi kipya cha huu mziki kimejaa mashabiki mihemko tu
 
Hakulamba kitu. Ila hata kina Mwana Fa wenyewe ni kama walichukua nusu ya hiyo hela, nusu nyingine aliichukua wakili wao (Msando) kwa kuwa wao walikuwa wameikatia tamaa kesi na yeye ndio akawekeza akiamini kuwa wanatoboa na kweli wakatoboa.
Tigo walishinda rufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…