sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Huu ndio ukweli ambao utamuweka kila mtanzania huru.
Hakuna kiongozi yoyote wa Yanga aliyezuia Simba kuingia uwanjani.
Simba walifika nje ya uwanja wakiwa na mabasi yao mawili moja lina wachezaji na technical bench.
Na bus lingiine likiwa na wazee pamoja na wanyama kama mbuzi, kondoo na kuku.
Anaetoa idhini na kufungua uwanja ni meneja wa uwanja ambae Simba waliwasiliana nae na hatujui walijibiwa nini na walizungumza kitu gani. Lakini hakukuwa na kiongozi yoyote wa Yanga alikuwa na funguo za geti la uwanja wa taifa. Sasa timu inazuiliwa vipi kuingia na Yanga?
Chengine kulikuwa na visingizio vingi sana kabla ya hii mechi. Simba walikuwa wanakataa kila refa lakini yalikua ni maandalizi kwa mashabiki wao kisaikilojia maana walijua hii game inapigwa Ramadhan ingekuwa na goli sio chini ya 6.
Ukweli ni kwamba hakuna kiongozi au mtu yoyote wa Yanga aliyezuia Simba kuingia uwanjani kama kuna wahuni wa mtaani walifanya ilo tukio Yanga haiusiki nao hawatambuliki pale jangwani.
Lakini nimepenyezewa kuwa Simba waliandaa watu wao wajifanye ni Yanga wafanye vurugu ili wapate sababu za kukimbia mechi.
Haiwezi kutokea makomandoo wa Yanga wazuie gari ya Simba alafu makomandoo wa Simba wawe watulivu na wanyonge hii haijawai kutokea kama ambavyo haijawai kutokea Simba wakafanyia mazoezi uwanja wa mechi siku moja kabla ya mchezo.
Ukweli ni kwamba hesabu za ushindi kwenye hii mechi zilikataa upande wa Simba na solution ya kuepuka kipigo kitakatifu ni kuwakimbia Yanga ambao dhamira yao ni kuifunga Simba mpaka 2030.