Ukweli usemwe: Simba wamekimbia mechi, hakuna mtu wa Yanga aliwazuia kuingia uwanjani

Ukweli usemwe: Simba wamekimbia mechi, hakuna mtu wa Yanga aliwazuia kuingia uwanjani

This is how bad our minds are when it comes to simba na yanga

We forget kila kanuni, sheria na taratibu

Mbaya sana hii

Dhuluma za simba na yanga kuna siku zitabariki maafa makubwa zaidi
Screenshot_20250308_081214_Instagram.jpg

Paragraph la pili limejieleza.
 
Derby za Simba na Yanga mara nyingi timu zinafanyia mazoezi kwenye viwanja vyao vya mitaani pale wanakutana kwenye mechi tu. Lini uliona timu za Simba na Yanga zinafanyia mazoezi ya mwisho katika uwanja utaotumika?
Sijawahi kuona
 
Miaka yote ya mechi za watani,mwenyeji anakabidhiwa uwanja,mgeni anaingia uwanja siku ya mechi akitokea mahali alipoweka kambi.Ndio maana hata meneja hakuwa na taarifa za wao kuja uwanjani. Hata Yanga hii nafasi ya kutumia huu uwanja kabla ya mechi round ya kwanza hakupewa, je hizo kanuni hazikuwepo, maana aliingia uwanjani akitokea Avic Town na mechi alicheza.
 
CCM Ndio inapenda vijana Wa Tanganyika waweke nguvu zao huko kwenye simba Na YANGA".

Great thinker
Kila uzi wa hizi timu za Kko upo sasa unafuata nini kama unawaona watu wampira hawana maana,yaani hupendi nguruwe mchuzi wake unautaka kama sio unafiki ni nini.

Kuna watu humu JF na wajua wao mda mwingi wanawatumua kwenye majukwa ya Siasa,wapo wamejikita huko International.

Ila ww kila uzi wa Yanga na Kolo FC upo na comments yako ya kukopi na kupesti, hebu acha unafiki tabia za kinafiki mara nyingi ni za watoto wakike, unajifanya kuchukua mpira ila threads zote upo.
 
Mimi niombe kujua tu kuwa haonwaliozuiwa walizuiwa muda gani, yaan ilikua saa ngapi??
 
Back
Top Bottom