Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Makolo yametafuta sababu 🤣🤣🤣Wana Upumbavu, Yanga wana uwanja? Uwanja hauna management? Hawana platform za kulalamika? Fools
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makolo yametafuta sababu 🤣🤣🤣Wana Upumbavu, Yanga wana uwanja? Uwanja hauna management? Hawana platform za kulalamika? Fools
Makolo yametafuta sababu 🤣🤣🤣
Lakini kanuni inataka timu mgeni iruhusiwe kuukagua uwanja na kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi.Derby za Simba na Yanga mara nyingi timu zinafanyia mazoezi kwenye viwanja vyao vya mitaani pale wanakutana kwenye mechi tu. Lini uliona timu za Simba na Yanga zinafanyia mazoezi ya mwisho katika uwanja utaotumika?
Tupe huo ushahidi wa hao Wanyama. Vinginevyo ni maneno ya Kiutopolo tu.This is how bad our minds are when it comes to simba na yanga
We forget kila kanuni, sheria na taratibu
Mbaya sana hii
Dhuluma za simba na yanga kuna siku zitabariki maafa makubwa zaidi
Lakini kanuni inataka timu mgeni iruhusiwe kuukagua uwanja na kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi.
Kama walikuwa hawafanyi siyo shida ila kuzuiliwa ndiyo shida.
Wameamua sasa hivi ndiyo waanze,hawakupaswa kuzuiwa!Kama kwa kipindi chote hawafanyi hivyo je kwanini iwe sasa? Kwani kwa kipindi chote hiko walikuwa hawaijui hiyo sheria?
Wewe kolo Yanga kaingiaje hapo? Anamiliki uwanja? Hata timu lako limesema meneja wa uwanja ndio aliyewazuia akisema hana maelekezo yoyote kutoka kwa kamishina wa mchezo. Unakurupuka kuitaja Yanga hujasoma ile taarifa kwa UMMAKWA HAPA YANGA TUMEPUYANGA NA TUMEHARIBU HII MECHI
Ukishajandaa kukimbia mechi unakuwa na maneno mengi kama haya yaliyojaa pumba tupu.Huna akili na idhihirisha wewe ni tikiti maji, empty wahed
Nyie ndo mnasababisha Yanga wote tuonekane wenye akili ni wachache
Na declare wazi kuwa mm ni mwana Jangwani
Kanuni ya TFF inasema timu mwenyeji ndie atakabidhiwa uwanja na kuhakikisha logístics zote za uwanjani ikiwemo uwepo wa ambulance wakati wa mazoezi na siku ya mechi, ulinzi wakati wa mazoezi kwa mgeni na siku ya mechi, ukatwaji wa tiketi nk nk
Na kanuni inaelekeza wazi timu mwenyeji anafursa ya kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi tena ktk muda ule ule ambao mechi husika itachezwa, hvyo timu mwenyeji lazima itoe ulinzi na ushirikiano ktk hili la fair treatment kwa timu ngeni
Kwa kitendo cha jana timu mwenyeji kupitia walinzi wake wa uwanjani kufanya unfair treatment kwa timu mgeni, maana yake KANUNI ZIMEKIUKWA
KWA HAPA YANGA TUMEPUYANGA NA TUMEHARIBU HII MECHI
SIMBA ANA HAKI YA KUSUSIA MECHI BASED ON UNFAIR TREATMENT
Ni kukimbia mechi tu hakuna chengine.Chengine?
NAOMBA UNIJIBU MASWALI HAYA;...lakini nimepenyezewa..
.hapa ndipo uzi wako ulipokosa mashiko..nenda tu kule kwenye masuala ya kina Diomond huku usije
Nadhani Tuishie Hapa ✊✊✊This is how bad our minds are when it comes to simba na yanga
We forget kila kanuni, sheria na taratibu
Mbaya sana hii
Dhuluma za simba na yanga kuna siku zitabariki maafa makubwa zaidi
Sawa lakini meneja wa uwanja anasema hakuwa na taarifa kuhusu hilo, je kama Simba walikuwa na hiyo program kwanini hawakutoa taarifa mapema kwa uongozi wa uwanja kama sasa hivi wameamua kuanza kufata taratibu za kufanya mazoezi ya mwisho katika uwanja utakaotumika katika mechi?Wameamua sasa hivi ndiyo waanze,hawakupaswa kuzuiwa!
Kanuni zinasemaje usilete uswahili toka UtopoloniDerby za Simba na Yanga mara nyingi timu zinafanyia mazoezi kwenye viwanja vyao vya mitaani pale wanakutana kwenye mechi tu. Lini uliona timu za Simba na Yanga zinafanyia mazoezi ya mwisho katika uwanja utaotumika?