Ukweli usemwe: Simba wamekimbia mechi, hakuna mtu wa Yanga aliwazuia kuingia uwanjani

Linapokuja suala la Simba na Yanga ndio unajua kuwa Tanzania tuna wagonjwa wengi wa akili......

MUNGU akikuondoshea ushabiki wa mipira hasa hii ya Simba na Yanga amekuepusha na mambo mengi sana....
 
Derby za Simba na Yanga mara nyingi timu zinafanyia mazoezi kwenye viwanja vyao vya mitaani pale wanakutana kwenye mechi tu. Lini uliona timu za Simba na Yanga zinafanyia mazoezi ya mwisho katika uwanja utaotumika?
Lakini kanuni inataka timu mgeni iruhusiwe kuukagua uwanja na kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi.

Kama walikuwa hawafanyi siyo shida ila kuzuiliwa ndiyo shida.
 
This is how bad our minds are when it comes to simba na yanga

We forget kila kanuni, sheria na taratibu

Mbaya sana hii

Dhuluma za simba na yanga kuna siku zitabariki maafa makubwa zaidi
Tupe huo ushahidi wa hao Wanyama. Vinginevyo ni maneno ya Kiutopolo tu.
 
Lakini kanuni inataka timu mgeni iruhusiwe kuukagua uwanja na kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi.

Kama walikuwa hawafanyi siyo shida ila kuzuiliwa ndiyo shida.

Kama kwa kipindi chote hawafanyi hivyo je kwanini iwe sasa? Kwani kwa kipindi chote hiko walikuwa hawaijui hiyo sheria?
 
Kama kwa kipindi chote hawafanyi hivyo je kwanini iwe sasa? Kwani kwa kipindi chote hiko walikuwa hawaijui hiyo sheria?
Wameamua sasa hivi ndiyo waanze,hawakupaswa kuzuiwa!
 
KWA HAPA YANGA TUMEPUYANGA NA TUMEHARIBU HII MECHI
Wewe kolo Yanga kaingiaje hapo? Anamiliki uwanja? Hata timu lako limesema meneja wa uwanja ndio aliyewazuia akisema hana maelekezo yoyote kutoka kwa kamishina wa mchezo. Unakurupuka kuitaja Yanga hujasoma ile taarifa kwa UMMA
 
Ukishajandaa kukimbia mechi unakuwa na maneno mengi kama haya yaliyojaa pumba tupu.

Soma kanuni pia soma barua ya Simba ujue nani alikuwa pale uwanjani mwenye mamlaka na uwanja.

Simba mmekimbia hii mechi mkiokiteza sababu za uongo na kweli.
 
...lakini nimepenyezewa..
.hapa ndipo uzi wako ulipokosa mashiko..nenda tu kule kwenye masuala ya kina Diomond huku usije
NAOMBA UNIJIBU MASWALI HAYA;
1. Kwanini mtunza funguo alisema hakuwa na taarifa?
2. Mageti ya uwanja yalifunguliwa?
3. Kama mageti yalifunguliwa, kuna yeyote alikaa mlangoni kuwazuia 51mba wasiingie uwanjani?
 
Makolo nimegundua Akili Hawana,wanahofuuu na Tanooo.Badala ya kuwekeza kwenye Ubora wa Timu yanakalia uloziii🤣🤣.

Mobutu alienda nawaganga 50 WC wakapigwa 7 vilevile,kunapahala uchawi haufui dafuuuu.
 
This is how bad our minds are when it comes to simba na yanga

We forget kila kanuni, sheria na taratibu

Mbaya sana hii

Dhuluma za simba na yanga kuna siku zitabariki maafa makubwa zaidi
Nadhani Tuishie Hapa ✊✊✊
 
Wameamua sasa hivi ndiyo waanze,hawakupaswa kuzuiwa!
Sawa lakini meneja wa uwanja anasema hakuwa na taarifa kuhusu hilo, je kama Simba walikuwa na hiyo program kwanini hawakutoa taarifa mapema kwa uongozi wa uwanja kama sasa hivi wameamua kuanza kufata taratibu za kufanya mazoezi ya mwisho katika uwanja utakaotumika katika mechi?
 
Derby za Simba na Yanga mara nyingi timu zinafanyia mazoezi kwenye viwanja vyao vya mitaani pale wanakutana kwenye mechi tu. Lini uliona timu za Simba na Yanga zinafanyia mazoezi ya mwisho katika uwanja utaotumika?
Kanuni zinasemaje usilete uswahili toka Utopoloni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…