joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
This is how bad our minds are when it comes to simba na yanga
We forget kila kanuni, sheria na taratibu
Mbaya sana hii
Dhuluma za simba na yanga kuna siku zitabariki maafa makubwa zaidi
Mechi haijachezwa bado wewe nawe umejuaje idadi ya hayo magoli?Ile ilikuwa planned. Hii mechi Simba alishaichungulia akaona goli 6 nyingi sana. Akaona ni heri lawama kuliko fedhea.
Sijawahi kuonaDerby za Simba na Yanga mara nyingi timu zinafanyia mazoezi kwenye viwanja vyao vya mitaani pale wanakutana kwenye mechi tu. Lini uliona timu za Simba na Yanga zinafanyia mazoezi ya mwisho katika uwanja utaotumika?
Kila uzi wa hizi timu za Kko upo sasa unafuata nini kama unawaona watu wampira hawana maana,yaani hupendi nguruwe mchuzi wake unautaka kama sio unafiki ni nini.CCM Ndio inapenda vijana Wa Tanganyika waweke nguvu zao huko kwenye simba Na YANGA".
Great thinker
Mechi uwa zinachunguliwa.Mechi haijachezwa bado wewe nawe umejuaje idadi ya hayo magoli?
Funguka zaidi.Mechi uwa zinachunguliwa.
Ungeruhusu waingie 8 chaaap, shenzπ π π Viongozi wenu wamewaokoeni ilikuwa ni mechi ya maafa.
Hasira zako mpelekee Mangungu.