Eti anaogopa ataitwa dikteta.Umenena swai mama imagine kauli kama hizi 'Oh nikiwasema wananuna na kuhoji huna imani na vyombo vyako'.
Wacha wanune wapasuke fukuzia mbali huko wameshindwa kazi watimuliwe haraka sana unawabembeleza walevi wa madaraka kwa gharama ya watz milioni 60 kweli????!!!!!!
Kwa miongozo ya nchi hii ndivyo ilivyo.. Au kunamtu anataraji mabadiliko? Yeye ndo m/Kiti ashindwe kujiteua amaUchaguzi unaofata mambo ni yale yale, kiongozi yule yule.
Kiufupi hakutakuwa na maajabu.
Kazi iendelee
Kwetu sisi huku mkate una viwango, ukila unaona raha kweli kweliBora upande bei lakini uwe na ubora. Tabora bakery mikate inauzwa sh 1000, imeandikwa uzito 400g, lakini ukiupima ni 150g! Ukiuminya unaishia kwenye kiganja. Maafisa vipimo wapo, wamekataa maofisini wanasubiri kugonga mizani mihuri.
Nimekuelewa mkuu, hapo mwanzo nimesema kama unasimama nafasi ya Mwananchi wa kawaida nilikuwa na maana kubwa sana.... Tukiachana na hilo kuhusu Msumbiji kikubwa ni usimamizi mzuri usio na ubabaishaji mfano kwenye pembejeo serikali ya Msumbiji huwa inasimama kidete kuhakikisha si tu pembejeo zinapatikana kwa wakati bali pia zenye ubora, viuatilifu vyote ambavyo tunavipata kutoka Msumbiji huwa ni bora sana sana sana ukilinganisha na vya kwetu, SERIKALI YETU haina nia ya dhati ya kutusaidia, wanachohakikisha wao ni neema za matumbo yao tu!Mkuu 'GAZETI' tatizo letu wengi, nikiwemo mimi na wewe ni hili ulilolionyesha kwenye mada yako hii!
Yaani tunamtazama kiongozi kwa darubini hafifu mno, kama hii ya bei za vitu, basi, tunaishia hapo. Hizo bei zikiwa chini kwa hiyo kiongozi anakuwa bora?
Naomba sana unielewe, sisemi kamwe kwamba bei za vitu kwa wananchi siyo swala muhimu, ni muhimu sana, lakini ni sehemu ndogo sana katika kumfanya kiongozi awe ni kiongozi mzuri.
Samia hana sifa za kuwa kiongozi mzuri, siyo tu kwa sababu anaruhusu bei zipande juu. Samia hana sifa za uongozi bora kwa sababu hajui anataka nchi hii ielekee wapi; hana dira., na kama anayo ni dira potofu ya kudhani kwamba nchi itaendelea kwa kutegemea watu toka nje kuleta maendeleo hapa.
Sasa hilo la Msumbiji, ulikotembelea, umeuliza kwa nini bei zao zipo chini? Mada yako ingesaidia sana hoja zako kama ungeeleza kinagaubaga kinachofanywa na viongozi wa Msumbiji, na kisichofanywa na Tanzania. Ungefanya hivyo, ingesaidia sana mada yako kueleweka.
Si tulikubaliana kuwa anaupiga mwingi?Maumivu ya mfumuko wa bei huyasikii?
Maeneo mengine ni wizi wa mchana, na wenye dhamana ya kusimamia ubora na vipimo wamekuwa vyura.Kwetu sisi huku mkate una viwango, ukila unaona raha kweli kweli
Conflict of interest, ndio kinaumiza wananchi Tanzania. Biashara kubwa zote nchini wakubwa wamo.Nimekuelewa mkuu, hapo mwanzo nimesema kama unasimama nafasi ya Mwananchi wa kawaida nilikuwa na maana kubwa sana.... Tukiachana na hilo kuhusu Msumbiji kikubwa ni usimamizi mzuri usio na ubabaishaji mfano kwenye pembejeo serikali ya Msumbiji huwa inasimama kidete kuhakikisha si tu pembejeo zinapatikana kwa wakati bali pia zenye ubora, viuatilifu vyote ambavyo tunavipata kutoka Msumbiji huwa ni bora sana sana sana ukilinganisha na vya kwetu, SERIKALI YETU haina nia ya dhati ya kutusaidia, wanachohakikisha wao ni neema za matumbo yao tu!
Mungu mbariki sana Rais wetu Mama Samia Hassan SuluhuUnaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.
Ni majuzi tu nilisafiri kwenda Mozambique.
Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno.
Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya ile ya Msumbiji.
Dizeli, Petrol na Mbolea Msumbiji ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania, wanatuzidi wapi?
Nikirudi kwa mama, Mwaka mmoja wa kuwa madarakani kila kitu kimebadilika gharama za Maisha zimepanda mno, uonevu kwa wakulima wa Korosho umerudi upya.
Bei ya magari, TV, Computer n.k zimekuwa juu kabisa.
Kama hali itaendelea hivi uchaguzi unaofuata.
kwa utafiti wangu mm asilimia kubwa ya wa tz hawamkubali huyu mama watu wanamlalamikia huku mitaani hali ya maisha imekuwa ngumu kila ki2 kimepanda wafanyabiashara wanapandisha bei vi2 kiholela,cjui hi nchi anaipeleka wap shida moja ukiwa juu humkumbuki wachini wamezidi ubinafsi,ningependa siku moja hi nchi tuwape japo upnzani miaka mitano alafu tuwaangalie tukiona wanazingua tuwatoe au ikiwezekana ccm watafute mtu mwngine wamumweke awe raisAsilimia zote ni zipi na unajiridhisha vipi na kujua ni zote na hujaacha kuzielewa nyingine ambazo huzijui?
Dah umenifurahisha.Sie tuliishapewa majukumu yetu na Mwenyezi Mungu Baba tokea zamani.
Haya ya nyongeza ona yanavyotupiga.
Kuna ambao wanatarajia mabadilikoKwa miongozo ya nchi hii ndivyo ilivyo.. Au kunamtu anataraji mabadiliko? Yeye ndo m/Kiti ashindwe kujiteua ama
Still Kuna waimba mapambio wanapiga kelele za kinafiki, eti kaupiga mwingi. Kwa unafiki huu hata Mwenyezi Mungu tuna muudhi.Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.
Ni majuzi tu nilisafiri kwenda Mozambique.
Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno.
Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya ile ya Msumbiji.
Dizeli, Petrol na Mbolea Msumbiji ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania, wanatuzidi wapi?
Nikirudi kwa mama, Mwaka mmoja wa kuwa madarakani kila kitu kimebadilika gharama za Maisha zimepanda mno, uonevu kwa wakulima wa Korosho umerudi upya.
Bei ya magari, TV, Computer n.k zimekuwa juu kabisa.
Kama hali itaendelea hivi uchaguzi unaofuata.
Still Kuna waimba mapambio wanapiga kelele za kinafiki, eti kaupiga mwingi. Kwa unafiki huu hata Mwenyezi Mungu tuna muudhi.
TozoooUnaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.
Ni majuzi tu nilisafiri kwenda Mozambique.
Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno.
Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya ile ya Msumbiji.
Dizeli, Petrol na Mbolea Msumbiji ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania, wanatuzidi wapi?
Nikirudi kwa mama, Mwaka mmoja wa kuwa madarakani kila kitu kimebadilika gharama za Maisha zimepanda mno, uonevu kwa wakulima wa Korosho umerudi upya.
Bei ya magari, TV, Computer n.k zimekuwa juu kabisa.
Kama hali itaendelea hivi uchaguzi unaofuata.
laiti ungejua!! Pole sanakama kweli alifanya hayo, hakufanya kazi vizuri, maana alikusahau ww