Ukweli Usemwe: Uongozi wa Rais Samia ni Changamoto

Magufuli ali-control sana inflation.
 
Wakati mnashangilia Putin kidume mlikuwa hamlijui hili?haya ndio madhara yake,mtamuonea bule huyo mama...nchi za western Europe unga wa ngano huruhusiwi kununuwa zaidi ya kg2..na madukamengi haupo kabisa na mafuta ya kura pia ni hivo..hii sio vita ya Burundi au Somalia.
 
Bashite ana shida/kosa gani?

Unaweza kutuwekea hapa na ukathibitisha?
 
Acha kuwa mchumi wa maneno, usiseme changamoto sema mwaka mmoja wa mama utawala wske umefeli mazima .
Na ndio unaona juhudi zote za matangazo ya mama mpaka kwenye “blauzi”za simba na yanga.
 
Wewe huna akili,mauaji ya vitu gani? Ajali zinasababishwa na Rais?

Lini ajali ziliacha kutokea? Kuna mtu anaongoza kwa mauji ya kupangwa kama awamu ile?
Unaweza kututhibitishia hapa mpango wa hayo mauaji ya awamu ile?

Unataka kutuambia "hayo ya kupanga" yalikuwa ni mauaji zaidi ya haya yanayosababishwa na a corrupt government?

Au kwa kuwa wengi wa hawa wanaokufa kwa sababu ya corruption ya serikali yanawaathiri zaidi masikini na wanyonge unaona hayastahili kuepushwa na kukemewa?
 
Anaesema Putin kidume ni MaCCM na CCM yenu, hata kura ya tanzania UN imemtetea muuaji mwenzao Putin.

Koma kuja kusema uongo humu.

Samia na serikali yake wamefeli kabla ya kianza.. mama hafai, mama hatoshi.

#katibampya ni lazima na ni sasa.
 
Nenda mahakamani ntakuja kuthibisha.

Vipi wewe unaweza kuthibisha mauaji ya corrupt government ni yapi hayo yanayowaathiri maskini na wanyonge?
 
Kwamba hao waliokutwa kwenye viroba, waliopigwa risasi hadharani, "waliopewa" kesi hovyo ni Watanzania zaidi ya hawa wanaokufa kwa ajali zinazosababishwa na inefficiency ya serikali kusimamia sheria!!?

Kwamba ni Watanzania zaidi ya hawa wanaokufa kwa sababu ya ubovu wa umeme, kutokuwepo na nidhamu katika ofisi za umma, wanaokufa na kuharibikiwa na maisha kwa sababu ya madawa ya kulevya, wanaokufa kwa sababu ya miundombinu mibovu inayosababishwa na ruhusa ya watu kula kwa urefu wa kamba zao!!?

You must have mental issues to affirm such a corrupt stance.
 
Mafisadi papa yamerudi mjini yanafidia hasara waliyopata kwa miaka mitano iliyopita ya hasara kwao.
 
Nenda mahakamani ntakuja kuthibisha.

Vipi wewe unaweza kuthibisha mauaji ya corrupt government ni yapi hayo yanayowaathiri maskini na wanyonge?
• Ameachia drug lords wote, mateja wanazidi kuongezeka

• Hakuna usimamizi mzuri kwenye ofisi za umma, huduma zimeshuka sana na watu wengi wanakufa kwa kukosa huduma

• Amefukuza machinga, familia nyingi sasa hivi hazina vyanzo vya mapato, njaa imekithiri

• Viongozi sasa hivi wanakula kwa urefu wa kamba zao, consequently we have the least reliable umeme kuliko lipindi chochote kile in the past six years, miradi ya kimkakati yote inapumulia mashine, hakuna ubora kwenye huduma za serikali

• Hakuna usimamizi mzuri kwenye huduma za kijamii, watu sasa hivi wanajipangia tu bei wanavyotaka as a result, kabla hata ya mgogoro wa Urusi na Ukreini, tuna mfumuko wa bei mkubwa kuwahi kutokea for the past five years

• Kwasababu ya usimamizi mbaya na kuongezeka kwa rushwa, ajali zimeongezeka zaidi. Hata ving'ora vya buses nyingi sasa hivi havifanyi kazi.

• Just to mention a few.
 
Hilo taahira achana nalo mkuu!.

Ni kwasababu ya udini ndio maana unaona linataka hata Samia atawale miaka 30

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
1.Nitajie idadi ya mateja walioongezeka na drug Lords walioachiwa.

2.Naomba mfano wa watu wawili tuu waliokufa kwa kukosa huduma,naomba uonyeshe kushuka kwa huduma kwamba figures na graghs na pia usimamizi ni mbaya how? Mzuri ukoje/ ulikuaje kulinganisha na Sasa.

3.Machinga wamefukuzwa kutoka wapi na wamekwenda wapi? Tupe Takwimu za kuthibisha Hali ya njaa mwaka mmja uliopita na Sasa.

4.In fact ni jambo jema viongozi kula kwa urefu wa kamba zao maana wakizidi wataiba za wengine,taja mradi hata mmja wa kimkakati unaopumulia mashine na utoe ulinganifu,nipe kipimo cha ubora wa huduma za serikali Kati ya Sasa na awali Ili uaminike.

5.Mfumuko wa bei huwa unapimwa kwa Takwimu sio maneno ya kijinga kama yako,weka Takwimu.Serikali haipangi bei ya bidhaa sokoni na Kwa hivyo itaacha soko liamue,ukiona bidhaa zinatoka manake ni kwamba pesa ya kununua ipo.

6.Rushwa imepungua Sana na Wala rushwa wanafikishwa mahakamani unlike previous years walipokuwa wanacompromise na corrupt and dictatorial government.Awamunya Tano waliwaruhusu hadi polisi kula rushwa kitu ambacho Mama kakataa na kawakaba kwa marekebisho ya sheria..

Ajali hazijaanza leo,leta Takwimu za mwaka Jana na Mwaka huu Ili tulinganishe..

Umeandika upuuzi mwiingi sana with full feelings without evidences.Hii ndio chuki sasa, unfortunately Samia yuko hadi 2030 akijaaliwa uhai.

Na kwa kukusaidia tuu Takwimu Zote za uchumi zinambeba regardless of hizi porojo za kufunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…