ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,055
Kabisa. Wacha tusonge mbeleYuko in right direction nchi iliharibiwa sana na mwendazake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa. Wacha tusonge mbeleYuko in right direction nchi iliharibiwa sana na mwendazake
Sawawakati wa yule muuaji kulikuwa hamna afadhali yoyote,Bora ya Samia Mara elfuuu,
Kila jambo lina faida na hasara, hapa ndio tunaona hasara ya umoja usiokuwa na reasoning!Hapa ndo huwa tunaonesha ni kiasi gani hatuna focus juu ya serikali,
Tunakubali kuhalalisha kuwa CCM itaendelea kuongoza milele,tutoke usingizini
Acha uwendawazimu mkuu.Sikiliza bro,usiongee bila kuweka mifano ili kulinganisha,unaposema kitu hiki kule ni nafuu kuliko kwetu,weka hizo bei na pia wrka thamani za sarafu za hiyo nchi kwa kulinganisha na tanzania,vinginevyo utakuwa unaongea porojo tu
Sisi ni wa.............Sie tuliishapewa majukumu yetu na Mwenyezi Mungu Baba tokea zamani.
Haya ya nyongeza ona yanavyotupiga.
Thamani ya pesa sio kipimo cha unafuu wa bei..Sikiliza bro,usiongee bila kuweka mifano ili kulinganisha,unaposema kitu hiki kule ni nafuu kuliko kwetu,weka hizo bei na pia wrka thamani za sarafu za hiyo nchi kwa kulinganisha na tanzania,vinginevyo utakuwa unaongea porojo tu
Nani kailaani ? Na kwanini ?Nchi imelaaniwa hii
Haya yako ya mwisho ndio ombi langu tena.Tanzania itaendelea kuwa mbovu kama CCM akibaki madarakani - Afu kuna watu wanajidanganya eti tusubiri uchaguzi ,utafnya nn kwenye uchaguzi upige kura usipige sirikali itashinda tu.
Katika nchi yenye wajinga wengu Africa ni Tz ,hata kuandaamana kupata haki ya msingi watu hawawezi ,ni uoga mwanzo mwisho
mimi naombea maisha yaendeleee kuwa worse ili tukome vizuri .alaaaa
Alivuruga uchumi wa Nchi, na mauaji yalishamili huku yeye akifurahia na kina bashiteKwa maghfuli hali ilikuwaje?
Wafuasi wa marehemu magufuli wanakuambia Samia ndio kapandisha Bei ya petroli na mafuta ya kupikia na bidhaa zingine,,Kabla ya vita vya Ukraine petrol ilikuwa ikiuzwa litre 1 meticais 67, juzi kati imepanda mpaka 77 meticais kwa majimbo ya kusini na kufika mpaka 83 meticais kwa majimbo ya kaskazini....
Nawashangaa nyie wafuasi wa dikteta, yaani mnaona Bora utawala wa muuaji mwenye roho mbaya,kuliko utawala wa mtu muungwana,Sawa
HayaNawashangaa nyie wafuasi wa dikteta,,yaani mnaona Bora utawala wa muuaji mwenye roho mbaya,kuliko utawala wa mtu muungwana...
Mkuu,hivi kila mara watu wakisema katiba ya sasa ina mapungufu huwa unasikiliza kwa makini?Ya sasa ina walakini.Inatakiwa mpya na imara.Kwa nini unang'ang'ania tu kwamba ya sasa ipo poa?Kuanzia Nyerere mwenyewe,hadi leo hii watu wengi tunakuambia hii katiba ni mbovu.
Mkuu,hivi kila mara watu wakisema katiba ya sasa ina mapungufu huwa unasikiliza kwa makini?Ya sasa ina walakini.Inatakiwa mpya na imara.Kwa nini unang'ang'ania tu kwamba ya sasa ipo poa?Kuanzia Nyerere mwenyewe,hadi leo hii watu wengi tunakuambia hii katiba ni mbovu.
Kwa akili ya madaraka?Kuna mengi.Uwajibikaji kama jamii,haki,usawa,uchumi,uongozi,mgawanyo katika nyanja za uongozi,matumizi ya rasilimali,mahusiano ya kimataifa,misimamo ya nchi nk.Ukiishia kwenye madaraka tu,Kwamba Sisi ni maskini because ya katiba?
Nyie mnataka mpya sio because ya kwamba uchumi utapanda au ajira zitaongezeka ni just for madaraka
Nisome kwenye #101Tell me kitu ambacho kinakugusa moja Kwa moja kwenye maisha yako ambacho kinasababishwa na katiba mbovu