Ukweli Usemwe: Uongozi wa Rais Samia ni Changamoto

Ukweli Usemwe: Uongozi wa Rais Samia ni Changamoto

Hapa ndo huwa tunaonesha ni kiasi gani hatuna focus juu ya serikali,

Tunakubali kuhalalisha kuwa CCM itaendelea kuongoza milele,tutoke usingizini
Kila jambo lina faida na hasara, hapa ndio tunaona hasara ya umoja usiokuwa na reasoning!

Ukitoka uwanja wa ndege Nairobi kuelekea katikati ya mji kumejaa mabango ya makampuni yanayolipa kodi yakitangaza bidhaa lakini hapa kwetu inashangaza zinatumika kodi kuweka mabango ya kumsifia na kumtangaza mtu!
 
Sikiliza bro,usiongee bila kuweka mifano ili kulinganisha,unaposema kitu hiki kule ni nafuu kuliko kwetu,weka hizo bei na pia wrka thamani za sarafu za hiyo nchi kwa kulinganisha na tanzania,vinginevyo utakuwa unaongea porojo tu
Acha uwendawazimu mkuu.

Mfano mzuri ebu ulizia bei ya katon ya rim paper hapo.

Unapooambiwa vitu come vimepanda bei usikaze ubongo kisa unakula bure na kulala bure.

Sisi tunaonunua vitu tunajua. Rim pepar ilikuwa 38 had 43 hapo ikipanda sana. Leo hii rim paper 75 had 80.

Na hazipatikani
 
Sikiliza bro,usiongee bila kuweka mifano ili kulinganisha,unaposema kitu hiki kule ni nafuu kuliko kwetu,weka hizo bei na pia wrka thamani za sarafu za hiyo nchi kwa kulinganisha na tanzania,vinginevyo utakuwa unaongea porojo tu
Thamani ya pesa sio kipimo cha unafuu wa bei..

Mfano chips kuku south Africa ni Rand's 60 RSA.

(Sawa na 9000 tz sh)

Tanzania chips kuku ni 4000 sh..
Unataka kusema maisha Tanzania ni mepesi kuliko south Africa?

60Rsa is nothing in South Africa.
 
Kabla ya vita vya Ukraine petrol ilikuwa ikiuzwa litre 1 meticais 67, juzi kati imepanda mpaka 77 meticais kwa majimbo ya kusini na kufika mpaka 83 meticais kwa majimbo ya kaskazini.

Mafuta ya kula yamepanda bei, 5L ni zaidi ya meticais 800+ wakati bei ilikuwa 600+.

Mikate nayo imeongezeka 1 metical,ilikuwa 10mt sasa hivi ni 11 mt.

Gharama za maisha na huku Msumbiji zinapanda kutokana na hao mabeberu kuiwekea Urusi vikwazo .
Ukraine apigwe tu

Z
 
Tanzania itaendelea kuwa mbovu kama CCM akibaki madarakani - Afu kuna watu wanajidanganya eti tusubiri uchaguzi ,utafnya nn kwenye uchaguzi upige kura usipige sirikali itashinda tu.

Katika nchi yenye wajinga wengu Africa ni Tz ,hata kuandaamana kupata haki ya msingi watu hawawezi ,ni uoga mwanzo mwisho

mimi naombea maisha yaendeleee kuwa worse ili tukome vizuri .alaaaa
Haya yako ya mwisho ndio ombi langu tena.

Wakati wa Magu sikuwa mfuasi wa kuandamana ila sasa natamani sana kuandamana.

Acha maisha yagonge ndio watu watie akili vizuri labda wanaweza kuingia barabarani
 
Kabla ya vita vya Ukraine petrol ilikuwa ikiuzwa litre 1 meticais 67, juzi kati imepanda mpaka 77 meticais kwa majimbo ya kusini na kufika mpaka 83 meticais kwa majimbo ya kaskazini....
Wafuasi wa marehemu magufuli wanakuambia Samia ndio kapandisha Bei ya petroli na mafuta ya kupikia na bidhaa zingine,,

Sukuma gang Ni matahila
 
Nawashangaa nyie wafuasi wa dikteta, yaani mnaona Bora utawala wa muuaji mwenye roho mbaya,kuliko utawala wa mtu muungwana,

Chini ya dikteta bwana yule ajira mpya zilikuwa hamna Wala kupandishwa madalaja kwa watumishi, no increment kwa watumishi, no democracy, Uhuru wa vyombo vya habari aliuua kabisa,matukio ya hovyo ilikuwa kawaida, yeye furaha yake ilikuwa wananchi wote waishie jela uraini abakie yeye na bashite sijui,

Mmepata Rais muungwana wa Sasa mnamletea dhihaka, watz Nyie baadhi yenu ni matahila kweli kweli, na mtaongozwa na chama kilichopo Hadi mwisho wa dunia, stupid
 
Na kwa sababu hizohizo mbovumbovu huku kwetu hatulali kwa amani tena, vibaka vibaka vibaka na ni maeneo yaliyokuwa yametulia na amani ya kutosha.
 
Mkuu,hivi kila mara watu wakisema katiba ya sasa ina mapungufu huwa unasikiliza kwa makini?Ya sasa ina walakini.Inatakiwa mpya na imara.Kwa nini unang'ang'ania tu kwamba ya sasa ipo poa?Kuanzia Nyerere mwenyewe,hadi leo hii watu wengi tunakuambia hii katiba ni mbovu.

Kwamba Sisi ni maskini because ya katiba?

Nyie mnataka mpya sio because ya kwamba uchumi utapanda au ajira zitaongezeka ni just for madaraka
 
Mkuu,hivi kila mara watu wakisema katiba ya sasa ina mapungufu huwa unasikiliza kwa makini?Ya sasa ina walakini.Inatakiwa mpya na imara.Kwa nini unang'ang'ania tu kwamba ya sasa ipo poa?Kuanzia Nyerere mwenyewe,hadi leo hii watu wengi tunakuambia hii katiba ni mbovu.

Tell me kitu ambacho kinakugusa moja Kwa moja kwenye maisha yako ambacho kinasababishwa na katiba mbovu
 
Kwamba Sisi ni maskini because ya katiba?

Nyie mnataka mpya sio because ya kwamba uchumi utapanda au ajira zitaongezeka ni just for madaraka
Kwa akili ya madaraka?Kuna mengi.Uwajibikaji kama jamii,haki,usawa,uchumi,uongozi,mgawanyo katika nyanja za uongozi,matumizi ya rasilimali,mahusiano ya kimataifa,misimamo ya nchi nk.Ukiishia kwenye madaraka tu,

Tena kwa kuwaza kwa nini wale wapate hayo madaraka,unakuwa umeshindwa kukifikirisha kichwa chako/ubongo wako.
 
Back
Top Bottom