kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Tatizo alisifiwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mjinga,uongozi unapimwa kwa bei ya mafuta ya kula kupanda?Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.
Ni majuzi tu nilisafiri kwenda Mozambique...
Nisome kwenye #101
Wewe ni mjinga tu! Mauaji gani zaidi ya sasa kila kona mauaji na ajali!Alivuruga uchumi wa Nchi, na mauaji yalishamili huku yeye akifurahia na kina bashite
Ameumizaje?Ameumiza sn wananchi kupita kiasi
Wewe ni mjinga tu! Mauaji gani zaidi ya sasa kila kona mauaji na ajali!
Hivi mpo serious au mnapenda tu ujibiwe kadiri mnavyopenda?Ameumizaje?
Ulitaka uteuliwe wewe ndio angefaulu? 😂😂😂.Samia alifeli kwa kumteua Makamba na Mwigulu, sasa hivi naye amegundua madaraka ni matamu kaanza kuteleza tena kwenye ishu ya katiba.
Ccm hawana nia njema kabisa na mwananchi wa kawaida.
Mbona ni uzi huuhuu?Jibu swali hapa na watu wajifunze
Wewe huna akili,mauaji ya vitu gani? Ajali zinasababishwa na Rais?Wewe ni mjinga tu! Mauaji gani zaidi ya sasa kila kona mauaji na ajali!
Serious ya mambo gani hasa?Hivi mpo serious au mnapenda tu ujibiwe kadiri mnavyopenda?
Wapi ambako hakuna mfumuko wa bei? Sababu za mfumuko wa bei huzijui?mfumoko wa bei huoni?
Uliuliza swali gani?Serious ya mambo gani hasa?
Ulitoa jibu gani?Uliuliza swali gani?
Ulisoma kitu gani nilichojibu hadi nawe ukajibu?Ulitoa jibu gani?
Kipi ambacho hakijasimamiwa? Kitaje na utaje na sababuIshu sio katiba ishu ni usimamizi, katiba ya sasa ikitumika ipasavyo bado ni katiba Bora,
Katiba mpya kama haitotumika vizuri still itakuwa ni worse
NdioKwa hiyo na bei zitashukaa Tanzania baada ya Vita ya Ukrain kwisha!?
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Umenena swai mama imagine kauli kama hizi 'Oh nikiwasema wananuna na kuhoji huna imani na vyombo vyako'.Sie tuliishapewa majukumu yetu na Mwenyezi Mungu Baba tokea zamani.
Haya ya nyongeza ona yanavyotupiga.