Ukweli Usemwe: Uongozi wa Rais Samia ni Changamoto

Ukweli Usemwe: Uongozi wa Rais Samia ni Changamoto

Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.

Ni majuzi tu nilisafiri kwenda Mozambique...
Wewe ni mjinga,uongozi unapimwa kwa bei ya mafuta ya kula kupanda?

Samia ndio kapandisha bei? Kwamba hujui sababu za kupanda au?

Na ukiona bei zinapanda na watu wananunua basi jua tuu pesa ipo kwa hiyo sio tatizo.

JamiiForums-443627714_375x463.jpg
 
Dawa ni kumkataa kwenye sanduku la kura. Wakiamua kufosi kwa dhulma kama kawaida ya CCM wafanye hivyo.

Lakin sisi kama wananchi tumemkataa. Rais gani haguswi na maisha ya watu wa chini wa nchi yake.

Yupo pale for her own personal glory..na sio kutetea watu
 
Sie tuliishapewa majukumu yetu na Mwenyezi Mungu Baba tokea zamani.

Haya ya nyongeza ona yanavyotupiga.
Umenena swai mama imagine kauli kama hizi 'Oh nikiwasema wananuna na kuhoji huna imani na vyombo vyako'.

Wacha wanune wapasuke fukuzia mbali huko wameshindwa kazi watimuliwe haraka sana unawabembeleza walevi wa madaraka kwa gharama ya watz milioni 60 kweli????!!!!!!
 
Mama akili yote inawaza 2025 mengine hana habari nayo!
 
Back
Top Bottom