Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #21
Dogo umezaliwa lini?Kwamba walimuua? Jitokeze hadharani ulete ushahidi watu wakamatwe, kisha tumpe nchi palamagamba faster! Ili tukachukuwe 360trinioni zetu za Makinikia
mimi sio msukuma ila jamaa ksongea ukweliWasukuma kubalini kuwa mungu wenu ameshatangulia mbele ya haki ya Mungu Mkuu.... Mbele ya Mungu mkuu, wengine wanamwita Elshadai, wengine Allah, wengine Maulana,
Yule alikuwa binadamu kama sisi wengine.... alikuwa na mapungufu yake mengi na mazuri yake mengi pia.
Mwacheni mungu wenu apumzike kwa amani basi... Dah!
Siku ya hukumu Mungu mkuu ndio ataamua....
Kwanza mimi si kidampa wa Mbowe , bali ni Mfanyabiashara mwenzie Nje ya NchiWe Kidampa wa Mbowe huwa haupendi ukweli.
Kwa hiyo ukiwa criticised unaua?Hata ungekuwa wewe ungeruhusu watu wakukashifu mbele ya raia wako unaowaongoza?
Nenda katazame video za tundulisu namna alaivyokuwa anatoa kauli za madharau na kebehi kwa mkuu wa nchi.
Na alivyomloga tu akafa zake.Aliyekuloga ni mkatili sana ! maana kakufanya ndondocha .
Kuuza bajia hapo Tandika na kutandika vitanda Desderia?Kwanza mimi si kidampa wa Mbowe , bali ni Mfanyabiashara mwenzie Nje ya Nchi
Tatizo la kuishi nchi za kimaskini na zisizo na demokrasi, mkuu wa nchi sio mungu na kumkosoa au kumtukana sio kosa, acha watu waongee sio kuwaua kwa sababu hupendezwi na walichosemaHata ungekuwa wewe ungeruhusu watu wakukashifu mbele ya raia wako unaowaongoza?
Nenda katazame video za tundulisu namna alaivyokuwa anatoa kauli za madharau na kebehi kwa mkuu wa nchi.
Soma ibara ya 30 ya katiba ya JMT.Tatizo la kuishi nchi za kimaskini na zisizo na demokrasi, mkuu wa nchi sio mungu na kumkosoa au kumtukana sio kosa, acha watu waongee sio kuwaua kwa sababu hupendezwi na walichosema
Acheni ujinga, kama ni kweli ifutwe kwanza ni katiba ya kikoloni ya kulinda watawala, amkeni acheni ujingaSoma ibara ya 30 ya katiba ya JMT.
Ahaaa.Acheni ujinga, kama ni kweli ifutwe kwanza ni katiba ya kikoloni ya kulinda watawala, amkeni acheni ujinga
Uko sawa kweli wewe?Pamoja na hayati Julius kutawala kwa miaka 23 huwezi kulinganisha makubwa aliyofanya na yeye na hayati Magufuli. Hayati Julius aliacha nchi imechakaa kwa kila namna, miundo mbinu hovyo, ajira hovyo na hata taifa halikuwa na pesa kabisa.
Huyu Mwinyi ndio alizingua maana hakuna alichofanya cha maana zaidi ya kusaidia watu wasivae masempele.
Mzee Mkapa(RIP) alijitahidi lakini naye hakutufanyia makubwa sana.
Jakaya ndio alituharibia nchi kabisa. Ufisadi ukawa ni heshima kwa watumishi wa umma.
Hayati Magufuli kwa miaka mitano tu alijenga miundo mbinu, shule mahospitali na zahanati kuliko marais waliomtangulia.
Hospital ya rufaa mkoa Mara ilianza kujengwa wakati hayati Nyerere mwaka 1972 lakini ni hayati JPM alihakikisha inakamilika akiwa madarakani.
Wanyonge mkashangiliaNa atakumbukwa daima, hata yeye alijua hilo akasema "mtanikumbuka"
Wasukuma hawataki kabisa kuamini kama mungu wao kafaWasukuma kubalini kuwa mungu wenu ameshatangulia mbele ya haki ya Mungu Mkuu.... Mbele ya Mungu mkuu, wengine wanamwita Elshadai, wengine Allah, wengine Maulana,
Yule alikuwa binadamu kama sisi wengine.... alikuwa na mapungufu yake mengi na mazuri yake mengi pia.
Mwacheni mungu wenu apumzike kwa amani basi... Dah!
Siku ya hukumu Mungu mkuu ndio ataamua....
Kizuri chajiuza ila kibaya chajitembeza, sasa wewe hapa uko unajitembezaHayo mazuri huyaoni kuwa yanamtetea?
Hilo suala la kabila linaingiaje hapo wewe kibwengo?Wasukuma kubalini kuwa mungu wenu ameshatangulia mbele ya haki ya Mungu Mkuu.... Mbele ya Mungu mkuu, wengine wanamwita Elshadai, wengine Allah, wengine Maulana, ...
Wanaolialia kwa sasa ni Sukuma gang pekee, Watanzania wanafanya yao kwa sasaHilo suala la kabila linaingiaje hapo wewe kibwengo?
Huo upuuzi unapatikana ufipa tu.Wanaolialia kwa sasa ni Sukuma gang pekee, Watanzania wanafanya yao kwa sasa
Stupidity is not a crimeNa alivyomloga tu akafa zake.