1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Haya Katika kuinyoosha Nchi iliyojaa majizi ni lazima yatokee.Ni kweli kabisa, amempoteza ben saanane, amempiga risasi tundu lissu, ameiba uchaguzi, aliliweka bunge na mahakama mfukoni, alikuwa anajua kila kitu. nk
Mara nyingine majizi yanatengeneza matukio ya kutisha Ili kudhoofisha juhudi za Kiongozi za kupambana na ufisadi.
Kule Zanzibar Mwinyi analeta Maendeleo chanya Lakini kitakachofuata ni matukio ya Ugaidi kutengenezwa Ili kudhoofisha juhudi za kupeza Maendeleo.