Ukweli usiopingika: Katika marais waliotumikia taifa letu ni hayati JPM pekee aliyefanya makubwa kwa muda mfupi kuliko marais wote waliotutawala

Ukweli usiopingika: Katika marais waliotumikia taifa letu ni hayati JPM pekee aliyefanya makubwa kwa muda mfupi kuliko marais wote waliotutawala

Hata ungekuwa wewe ungeruhusu watu wakukashifu mbele ya raia wako unaowaongoza?

Nenda katazame video za tundulisu namna alaivyokuwa anatoa kauli za madharau na kebehi kwa mkuu wa nchi.
Rais anayefuata hisia zake binafsi kutawala hawezi kuwa mentally balanced. Simple

Rais anapaswa kutawala kwa kufuata katiba na sheria. Ukiona Rais anafanya huo upumbavu, jua hakuna pia utawala wa sheria.
 
Hata ungekuwa wewe ungeruhusu watu wakukashifu mbele ya raia wako unaowaongoza?

Nenda katazame video za tundulisu namna alaivyokuwa anatoa kauli za madharau na kebehi kwa mkuu wa nchi.
Tundu bovu alijitakia kula umeme
 
Yapi?
Hebu pika chakula kizuri na ukitenge mezani.
Halafu chukua katone kadogo sana cha mavi ukitupie kwenye hicho chakula uone kama kitaliwa.

JPM nakubali alikuwa mchapa kazi lkn alijiharibia kwa kutoheshimi utu wa watu.
Ubabe wa kijinga na kudhalilisha watu hadharani.

Kuiba uchaguzi wazi wazi.

Mauaji nk
Kiukweki binafsi sioni alichofanya zaidi ya wizi.

Ukichunguza ujenzi wa miundombinu utagundua kilikuwa ndo kichaka chake cha ufisadi na alikipenda kwelikweli.

Tanzania kupata Rais bora iwe kwa CDM au CCM kwa katiba hii ni mtihani kwelikweli.
 
Rais anayefuata hisia zake binafsi kutawala hawezi kuwa mentally balanced. Simple

Rais anapaswa kutawala kwa kufuata katiba na sheria. Ukiona Rais anafanya huo upumbavu, jua hakuna pia utawala wa sheria.
Hata Nyerere pia alifata hisia binafsi, raisi ni icon huwezi kumletea kejeli za kipumbavu eti kisa una uhuru wa kuongea. Tumeyasikia ya Tulia Ackson juzi kuwa anayemdiss mama ajiandae kushughulikiwa. Huo ndio utawala wa sheria?
 
Tatizo la kuishi nchi za kimaskini na zisizo na demokrasi, mkuu wa nchi sio mungu na kumkosoa au kumtukana sio kosa, acha watu waongee sio kuwaua kwa sababu hupendezwi na walichosema
Hata baba yako huwa mnamteta na mama yako mkiwa kifichoni. Kamwe huwezi kumropokea ujinga akiwa amepozi sebleni.
 
Hata Nyerere pia alifata hisia binafsi, raisi ni icon huwezi kumletea kejeli za kipumbavu eti kisa una uhuru wa kuongea. Tumeyasikia ya Tulia Ackson juzi kuwa anayemdiss mama ajiandae kushughulikiwa. Huo ndio utawala wa sheria?
Kaka,

Haya mambo yapo kwenye nchi zisizostaarabika tu, ambazo Rais ni mungu mkora.

Binafsi Nyeyere sijawahi kumweka kwenye kundi la Marais bora nchini kwa sababu kededeke.

Ingawa Tanzania tumekuwa na viongozi wa ajabuajabu kutokana na katiba mbovu, at least kwenye hiyo list Rais mwenye afadhali kidogo alikuwa MKAPA, na hili lipo wazi.

Tanzania si kichaka, bali inajifungamanisha na nchi zingine pamoja na mifumo mbalimbali duniani, na hasa kuiga yaliyobora huko nje na kuleta nyumbani. Hata sheria yetu ya ndoa kwa sehemu kubwa tume-adopt kutoka Indian succession act, na baadhi ya mifumo ya kiutawala tumeiga kwa wakoloni.

Rais wa Marekani kwa mfano, na manguvu yote yale, angekuwa na uwezo wa kuuwa raia kwa jinsi wanavyomtukana hadharani, US yote ingejaa makaburi.

Mahakama za UK zilikubaliana na hoja kwamba kutukana inaweza kuwa some form of expression.

Of course ni some form of expression, kwan wewe mtu akifanya kitu cha kipuuzi si utamtukana? Huko kumtusi ndo expression yenyewe hiyo, na mtu hapangiwi jinsi ya kuji-express kwenye democratic system ambayo inaamini watu wote ni sawa chini ya sheria.

Rais hapaswi kuwa juu ya sheria hata kidogo.
 
Pamoja na hayati Julius kutawala kwa miaka 23 huwezi kulinganisha makubwa aliyofanya na yeye na hayati Magufuli. Hayati Julius aliacha nchi imechakaa kwa kila namna, miundo mbinu hovyo, ajira hovyo na hata taifa halikuwa na pesa kabisa.

Huyu Mwinyi ndio alizingua maana hakuna alichofanya cha maana zaidi ya kusaidia watu wasivae masempele.

Mzee Mkapa(RIP) alijitahidi lakini naye hakutufanyia makubwa sana.

Jakaya ndio alituharibia nchi kabisa. Ufisadi ukawa ni heshima kwa watumishi wa umma.

Hayati Magufuli kwa miaka mitano tu alijenga miundo mbinu, shule mahospitali na zahanati kuliko marais waliomtangulia.

Hospital ya rufaa mkoa Mara ilianza kujengwa wakati hayati Nyerere mwaka 1972 lakini ni hayati JPM alihakikisha inakamilika akiwa madarakani.
WAJINGA mnazidi kuongezeka ungesema Rais aliyetuharibia Nchi kwa Muda mfupi ni Yeye ningekuelewa
 
Pamoja na hayati Julius kutawala kwa miaka 23 huwezi kulinganisha makubwa aliyofanya na yeye na hayati Magufuli. Hayati Julius aliacha nchi imechakaa kwa kila namna, miundo mbinu hovyo, ajira hovyo na hata taifa halikuwa na pesa kabisa.

Huyu Mwinyi ndio alizingua maana hakuna alichofanya cha maana zaidi ya kusaidia watu wasivae masempele.

Mzee Mkapa(RIP) alijitahidi lakini naye hakutufanyia makubwa sana.

Jakaya ndio alituharibia nchi kabisa. Ufisadi ukawa ni heshima kwa watumishi wa umma.

Hayati Magufuli kwa miaka mitano tu alijenga miundo mbinu, shule mahospitali na zahanati kuliko marais waliomtangulia.

Hospital ya rufaa mkoa Mara ilianza kujengwa wakati hayati Nyerere mwaka 1972 lakini ni hayati JPM alihakikisha inakamilika akiwa madarakani.
Acha dharau nyerere ni namba nyingine.
 
Huwa sikioni alichokifanya magufuri.....daraja la busisi.....hospitali ya rufaa ya chato, uwanja wa ndege wa chato, vilijengwa kwa kodi za wananchi na bado kuna watu account zao zilifungwa kwa muda ili mwendazake achote pesa alizokuwa akizihitaji...NASEMA HIVI ACHENI KUMPA MAGUFURI SIFA ZISIZOKUWA ZA KWAKE MAGUFURI ALIKUWA NI RAIS WA HOVYOO KUTOKEA TANZANIA"..NIKO TAYARI KUTOA HOJA ZANGU 30 KUTHIBITISHA HIKI NILICHOKIANDIKA HAPA.
 
Hata ungekuwa wewe ungeruhusu watu wakukashifu mbele ya raia wako unaowaongoza?

Nenda katazame video za tundulisu namna alaivyokuwa anatoa kauli za madharau na kebehi kwa mkuu wa nchi.
Hizo ndizo sababu za kumpiga risasi?
 
Huwa sikioni alichokifanya magufuri.....daraja la busisi.....hospitali ya rufaa ya chato, uwanja wa ndege wa chato, vilijengwa kwa kodi za wananchi na bado kuna watu account zao zilifungwa kwa muda ili mwendazake achote pesa alizokuwa akizihitaji...NASEMA HIVI ACHENI KUMPA MAGUFURI SIFA ZISIZOKUWA ZA KWAKE MAGUFURI ALIKUWA NI RAIS WA HOVYOO KUTOKEA TANZANIA"..NIKO TAYARI KUTOA HOJA ZANGU 30 KUTHIBITISHA HIKI NILICHOKIANDIKA HAPA.
Nakubaliana na wewe kabisa. Huyu jamaa alipenda kujenga kwa sababu ndo mahali aliweza ku-facilitate wizi wake.

Kama hakuwa Mwizi, kwann alipoingia madarakani aliondoa uwazi wa matumizi ya serikali? Kwann vyombo vyote vya uwazi alipambana navyo kwa nguvu kubwa kama hakuwa mwizi? Daraja la Ubungo CAG aliliongelea kama ufisadi wa mchana kweupe.
 
Alipewa nchi haina ikulu, watumishi, jeshi, umeme, mifumo ya manunuzi na malipo, hospitali za mikoa, hakukuwa na barabara za lami, mashule n.k sababu waliopita hakuna walichofanya.
 
Alipewa nchi haina ikulu, watumishi, jeshi, umeme, mifumo ya manunuzi na malipo, hospitali za mikoa, hakukuwa na barabara za lami, mashule n.k sababu waliopita hakuna walichofanya.
Katika rais Tanzania aliyefanya reforms kubwa na kazi kubwa sana na marais karibu wote walimkubali ni MKAPA. Hata Mwinyi, JK, JPM walilikiri. Mkapa was no match ingawa na yeye alikuwa na downsides zake.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Katika rais Tanzania aliyefanya reforms kubwa na kazi kubwa sana na marais karibu wote walimkubali ni MKAPA. Hata Mwinyi, JK, JPM walilikiri. Mkapa was no match ingawa na yeye alikuwa na downsides zake.
Boss, Mkapa alitengeneza mifumo ambayo ndo msingi wa mambo yanayoendelea sasa kuanzia utumishi mpaka mapato.

Mwinyi nae alifanya sehemu yake, bila mwinyi na mfumo wake wa ruksa mkapa angeweza vipi kutengeneza mifumo ya ukusanyaji kodi? Angerithi raia wa nyerere wa kijamaa ambao kila kitu tulisubiri serikali ifanye asingeweza.

Nyerere alipigania uhuru na kuyaonganisha makabila ya TZ.

KWA UFUPI, MARAISI WOTE KATIKA HII NCHI WANA MCHANGO ULIOTEGEMEA ALICHOKIFANYA RAISI ALIYEPITA. NI MTU ASIYETUMIA AKILI TU NDO ANAWEZA SEMA NI RAISI MMOJA TU NDO ALIYEFANYA KITU.

KAMA NI LAZIMA KUWAPIMA BASI RAISI ALIYEUNDA MIFUMO YA AMANI NA JESHI PAMOJA NA USALAMA WA TAIFA HUYO NDO AMEFANYA KIKUBWA KULIKO WOTE, HAWA WALIOJENGA MABARABARA NA MADARASA WANAEGEMEA MIFUMO YA ULINZI, UTULIVU NA AMANI WALIYOIRITHI.

MTU KAPEWA NCHI NA MIFUMO YA JESHI LA KUMLINDA NA IKULU YENYE UMEME YA KUPANGA MIPANGO YAKE YA KUTUMIKIA WATANZANIA HALAFU CHAWA WAKE WANASEMA WALIOWEKA HIYO MIFUMO HAWAJAFANYA KITU. PUMBAVU.
 
Back
Top Bottom