Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Mimi ni MnyamweziWewe Ni kabila gani nimependa mawazo yako ila Happ kwenye wasukuma mh sijakuelewa na sio haki kuhubiri ukabila katika Karne hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni MnyamweziWewe Ni kabila gani nimependa mawazo yako ila Happ kwenye wasukuma mh sijakuelewa na sio haki kuhubiri ukabila katika Karne hii
Rais anayefuata hisia zake binafsi kutawala hawezi kuwa mentally balanced. SimpleHata ungekuwa wewe ungeruhusu watu wakukashifu mbele ya raia wako unaowaongoza?
Nenda katazame video za tundulisu namna alaivyokuwa anatoa kauli za madharau na kebehi kwa mkuu wa nchi.
Lazima tumkumbuke maana sio kwa maovu yale, kwa miaka yake shetani alipumzika maana alipata msaidizi sahihi.Na atakumbukwa daima, hata yeye alijua hilo akasema "mtanikumbuka"
Tundu bovu alijitakia kula umemeHata ungekuwa wewe ungeruhusu watu wakukashifu mbele ya raia wako unaowaongoza?
Nenda katazame video za tundulisu namna alaivyokuwa anatoa kauli za madharau na kebehi kwa mkuu wa nchi.
Kiukweki binafsi sioni alichofanya zaidi ya wizi.Yapi?
Hebu pika chakula kizuri na ukitenge mezani.
Halafu chukua katone kadogo sana cha mavi ukitupie kwenye hicho chakula uone kama kitaliwa.
JPM nakubali alikuwa mchapa kazi lkn alijiharibia kwa kutoheshimi utu wa watu.
Ubabe wa kijinga na kudhalilisha watu hadharani.
Kuiba uchaguzi wazi wazi.
Mauaji nk
Hata Nyerere pia alifata hisia binafsi, raisi ni icon huwezi kumletea kejeli za kipumbavu eti kisa una uhuru wa kuongea. Tumeyasikia ya Tulia Ackson juzi kuwa anayemdiss mama ajiandae kushughulikiwa. Huo ndio utawala wa sheria?Rais anayefuata hisia zake binafsi kutawala hawezi kuwa mentally balanced. Simple
Rais anapaswa kutawala kwa kufuata katiba na sheria. Ukiona Rais anafanya huo upumbavu, jua hakuna pia utawala wa sheria.
Hata baba yako huwa mnamteta na mama yako mkiwa kifichoni. Kamwe huwezi kumropokea ujinga akiwa amepozi sebleni.Tatizo la kuishi nchi za kimaskini na zisizo na demokrasi, mkuu wa nchi sio mungu na kumkosoa au kumtukana sio kosa, acha watu waongee sio kuwaua kwa sababu hupendezwi na walichosema
Kaka,Hata Nyerere pia alifata hisia binafsi, raisi ni icon huwezi kumletea kejeli za kipumbavu eti kisa una uhuru wa kuongea. Tumeyasikia ya Tulia Ackson juzi kuwa anayemdiss mama ajiandae kushughulikiwa. Huo ndio utawala wa sheria?
Lazima tumkumbuke maana sio kwa maovu yale, kwa miaka yake shetani alipumzika maana alipata msaidizi sahihi.Na atakumbukwa daima, hata yeye alijua hilo akasema "mtanikumbuka"
WAJINGA mnazidi kuongezeka ungesema Rais aliyetuharibia Nchi kwa Muda mfupi ni Yeye ningekuelewaPamoja na hayati Julius kutawala kwa miaka 23 huwezi kulinganisha makubwa aliyofanya na yeye na hayati Magufuli. Hayati Julius aliacha nchi imechakaa kwa kila namna, miundo mbinu hovyo, ajira hovyo na hata taifa halikuwa na pesa kabisa.
Huyu Mwinyi ndio alizingua maana hakuna alichofanya cha maana zaidi ya kusaidia watu wasivae masempele.
Mzee Mkapa(RIP) alijitahidi lakini naye hakutufanyia makubwa sana.
Jakaya ndio alituharibia nchi kabisa. Ufisadi ukawa ni heshima kwa watumishi wa umma.
Hayati Magufuli kwa miaka mitano tu alijenga miundo mbinu, shule mahospitali na zahanati kuliko marais waliomtangulia.
Hospital ya rufaa mkoa Mara ilianza kujengwa wakati hayati Nyerere mwaka 1972 lakini ni hayati JPM alihakikisha inakamilika akiwa madarakani.
Acha dharau nyerere ni namba nyingine.Pamoja na hayati Julius kutawala kwa miaka 23 huwezi kulinganisha makubwa aliyofanya na yeye na hayati Magufuli. Hayati Julius aliacha nchi imechakaa kwa kila namna, miundo mbinu hovyo, ajira hovyo na hata taifa halikuwa na pesa kabisa.
Huyu Mwinyi ndio alizingua maana hakuna alichofanya cha maana zaidi ya kusaidia watu wasivae masempele.
Mzee Mkapa(RIP) alijitahidi lakini naye hakutufanyia makubwa sana.
Jakaya ndio alituharibia nchi kabisa. Ufisadi ukawa ni heshima kwa watumishi wa umma.
Hayati Magufuli kwa miaka mitano tu alijenga miundo mbinu, shule mahospitali na zahanati kuliko marais waliomtangulia.
Hospital ya rufaa mkoa Mara ilianza kujengwa wakati hayati Nyerere mwaka 1972 lakini ni hayati JPM alihakikisha inakamilika akiwa madarakani.
Hizo ndizo sababu za kumpiga risasi?Hata ungekuwa wewe ungeruhusu watu wakukashifu mbele ya raia wako unaowaongoza?
Nenda katazame video za tundulisu namna alaivyokuwa anatoa kauli za madharau na kebehi kwa mkuu wa nchi.
Nakubaliana na wewe kabisa. Huyu jamaa alipenda kujenga kwa sababu ndo mahali aliweza ku-facilitate wizi wake.Huwa sikioni alichokifanya magufuri.....daraja la busisi.....hospitali ya rufaa ya chato, uwanja wa ndege wa chato, vilijengwa kwa kodi za wananchi na bado kuna watu account zao zilifungwa kwa muda ili mwendazake achote pesa alizokuwa akizihitaji...NASEMA HIVI ACHENI KUMPA MAGUFURI SIFA ZISIZOKUWA ZA KWAKE MAGUFURI ALIKUWA NI RAIS WA HOVYOO KUTOKEA TANZANIA"..NIKO TAYARI KUTOA HOJA ZANGU 30 KUTHIBITISHA HIKI NILICHOKIANDIKA HAPA.
Katika rais Tanzania aliyefanya reforms kubwa na kazi kubwa sana na marais karibu wote walimkubali ni MKAPA. Hata Mwinyi, JK, JPM walilikiri. Mkapa was no match ingawa na yeye alikuwa na downsides zake.Alipewa nchi haina ikulu, watumishi, jeshi, umeme, mifumo ya manunuzi na malipo, hospitali za mikoa, hakukuwa na barabara za lami, mashule n.k sababu waliopita hakuna walichofanya.
Boss, Mkapa alitengeneza mifumo ambayo ndo msingi wa mambo yanayoendelea sasa kuanzia utumishi mpaka mapato.Katika rais Tanzania aliyefanya reforms kubwa na kazi kubwa sana na marais karibu wote walimkubali ni MKAPA. Hata Mwinyi, JK, JPM walilikiri. Mkapa was no match ingawa na yeye alikuwa na downsides zake.