inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Unadhani mkapa angempokea nyerere kijiti angefanya hizo reforms alizofanya!?..mwinyi kakuta hazina patupu,alifanya reform toka centralized economy kwenda free market,alichofanya mkapa ni kuuza mashirika ya umma na migodi kwa Bei za kutupa,pakiwa na harufu ya rushwa ndani yake,najua unaamini mkapa alianzisha TRA,mkapa hakuanzisha TRA Bali mwinyiKatika rais Tanzania aliyefanya reforms kubwa na kazi kubwa sana na marais karibu wote walimkubali ni MKAPA. Hata Mwinyi, JK, JPM walilikiri. Mkapa was no match ingawa na yeye alikuwa na downsides zake.
Haya ni malalamiko?So what? Badala ya kuangalia mbele ni kulalama kila siku
Anatukumbusha wasiojulikana baadae wengine wakaunganisha doti iliwaweze kuwatambua hahaha 'a world in a nut shell'Ni kweli kabisa, amempoteza ben saanane, amempiga risasi tundu lissu, ameiba uchaguzi, aliliweka bunge na mahakama mfukoni, alikuwa anajua kila kitu. nk
We una umri gani, inaonekana ni vitoto vya miaka ya 2000 hakuna unachokijua zaidi ya mahaba kwa huyo JPM wako. Kwa taarifa yako JPM hakuna mradi alioukamilisha zaidi ya kuanzisha miradi mingi badala yake mama ndiyo anhangaika kuikamilisha. Niambie hata mradi moja aliouanzisha na kuukamilisha. Kweli unaweza kumlinganisha baba wa Taifa na Magufuli? Km siyo utoto unakusumbua basi una tatizo la msingiPamoja na hayati Julius kutawala kwa miaka 23 huwezi kulinganisha makubwa aliyofanya na yeye na hayati Magufuli. Hayati Julius aliacha nchi imechakaa kwa kila namna, miundo mbinu hovyo, ajira hovyo na hata taifa halikuwa na pesa kabisa.
Huyu Mwinyi ndio alizingua maana hakuna alichofanya cha maana zaidi ya kusaidia watu wasivae masempele.
Mzee Mkapa(RIP) alijitahidi lakini naye hakutufanyia makubwa sana.
Jakaya ndio alituharibia nchi kabisa. Ufisadi ukawa ni heshima kwa watumishi wa umma.
Hayati Magufuli kwa miaka mitano tu alijenga miundo mbinu, shule mahospitali na zahanati kuliko marais waliomtangulia.
Hospital ya rufaa mkoa Mara ilianza kujengwa wakati hayati Nyerere mwaka 1972 lakini ni hayati JPM alihakikisha inakamilika akiwa madarakani.
Kwa kifupi sana...We una umri gani, inaonekana ni vitoto vya miaka ya 2000 hakuna unachokijua zaidi ya mahaba kwa huyo JPM wako. Kwa taarifa yako JPM hakuna mradi alioukamilisha zaidi ya kuanzisha miradi mingi badala yake mama ndiyo anhangaika kuikamilisha. Niambie hata mradi moja aliouanzisha na kuukamilisha. Kweli unaweza kumlinganisha baba wa Taifa na Magufuli? Km siyo utoto unakusumbua basi una tatizo la msingi
Mi sidhani kama kuna mtu anaweza kupinga hiliPamoja na hayati Julius kutawala kwa miaka 23 huwezi kulinganisha makubwa aliyofanya na yeye na hayati Magufuli. Hayati Julius aliacha nchi imechakaa kwa kila namna, miundo mbinu hovyo, ajira hovyo na hata taifa halikuwa na pesa kabisa.
Huyu Mwinyi ndio alizingua maana hakuna alichofanya cha maana zaidi ya kusaidia watu wasivae masempele.
Mzee Mkapa(RIP) alijitahidi lakini naye hakutufanyia makubwa sana.
Jakaya ndio alituharibia nchi kabisa. Ufisadi ukawa ni heshima kwa watumishi wa umma.
Hayati Magufuli kwa miaka mitano tu alijenga miundo mbinu, shule mahospitali na zahanati kuliko marais waliomtangulia.
Hospital ya rufaa mkoa Mara ilianza kujengwa wakati hayati Nyerere mwaka 1972 lakini ni hayati JPM alihakikisha inakamilika akiwa madarakani.
Uendelee kupumzika kwa Amani Dr Magufuli, J.PPamoja na hayati Julius kutawala kwa miaka 23 huwezi kulinganisha makubwa aliyofanya na yeye na hayati Magufuli. Hayati Julius aliacha nchi imechakaa kwa kila namna, miundo mbinu hovyo, ajira hovyo na hata taifa halikuwa na pesa kabisa.
Huyu Mwinyi ndio alizingua maana hakuna alichofanya cha maana zaidi ya kusaidia watu wasivae masempele.
Mzee Mkapa(RIP) alijitahidi lakini naye hakutufanyia makubwa sana.
Jakaya ndio alituharibia nchi kabisa. Ufisadi ukawa ni heshima kwa watumishi wa umma.
Hayati Magufuli kwa miaka mitano tu alijenga miundo mbinu, shule mahospitali na zahanati kuliko marais waliomtangulia.
Hospital ya rufaa mkoa Mara ilianza kujengwa wakati hayati Nyerere mwaka 1972 lakini ni hayati JPM alihakikisha inakamilika akiwa madarakani.
JPM ni nani?! Hatukumbuki. Hebu fafanua kidogo. Hayo mambo makubwa ni yapi?! Au wewe unaishi nchi nyingine?!Pamoja na hayati Julius kutawala kwa miaka 23 huwezi kulinganisha makubwa aliyofanya na yeye na hayati Magufuli. Hayati Julius aliacha nchi imechakaa kwa kila namna, miundo mbinu hovyo, ajira hovyo na hata taifa halikuwa na pesa kabisa.