Ukweli usiosemwa juu ya dini za Kiafrika

lakini pia upo sahihi kwa kila ulichokisema maana kila bara lina asili yake, kwa nini sisi Afrika sana sana ndiyo tumepoteza asili yetu? Afrika ndiyo tumechukua kila tabia, asili, na mienendo ya mabara mengine kwa nini? ili swali la msingi sana...
 
lakini pia upo sahihi kwa kila ulichokisema maana kila bara lina asili yake, kwa nini sisi Afrika sana sana ndiyo tumepoteza asili yetu? Afrika ndiyo tumechukua kila tabia, asili, na mienendo ya mabara mengine kwa nini? ili swali la msingi sana...
Mkuu asia kumeathirika na utamaduni wa magharibi hata afrika hatufikii,ukitaka kubaki na asili yako bako inabidi ujitenge na wengine hakuna kwenda wala kutoka kwenye taifa lako.
 
Mkuu umenena sana shukrani mno
 

Mkuu umeandika facts tupu ila napenda kutoa angalizo la kutochanganya au "confuse" vitu viwili...1. "Utamaduni" na 2. "Ukale" Wewe au Mimi kuwa waafrika wa kweli kindakindaki tunaotukuza utamaduni wetu haituzuii kuvaa Suti au Jeans!
Kwa watakaonielewa sawaa na ambao hawajanielewa Poaa
 
INDIA kuna dini nyingi za Asili japo WAHINDU ni wengi , hivyo hakuna haja ya kujitangaza kwasababu itanyima uhuru wengine ambao pia waamini dini asili ya pale pale INDIA , ndio maana kwenye hoja yangu ya msingi wenzetu wamekumbatia ASILI na wala ASILI haijawaangusha wanasonga mbele , hivyo kuacha asili na kuparamia madini ya watu ni ushamba tu
 
1. Yesu ameondoka hakuna Ukristo , madhehebu ndio ukristo wenyewe watu walioamua kuutengeneza kwa maslahi yao.

2. Kuhusu mababu , Ukishasema wewe ni mgogo maana yake unawaasisi wako hao ndio chimbuko lako wewe , hivyo ukikataa kufata imani zao wewe umejitoa kwenye ugogo tafuta kabila jingine sawasawa, Ata huo uislamu kuna muislamu wa kwanza huyo ndio muasisi sasa iweje useme wewe fulani bila kujua waasisi waliishije !!!
 
Nimekwambia hakuna jambo lisilo na madhara , lakini tunachoangalia faida na hasara zipi nyingi , nikakwambia maelfu na maelfu wamezaliwa duniani na hawa hawa mabinti , waliokufa ni wachache sana hivyo , kipimo cha balehe ndio kipimo sahihi sio miaka , miaka ni mambo ya kubahatisha
 
Sizungumzii habari za Yesu nimekuuliza ukristo ulianza wapi huko ?

Makabila nao yana waasisi?
 
Sizungumzii habari za Yesu nimekuuliza ukristo ulianza wapi huko ?

Makabila nao yana waasisi?
Kuna ukristo ulioanzia Roma na ukristo ulioanzia ujerumani , wote huu ni ukristo , sawa na dini za kiafrika ziko tofauti kidogo lakini zote za kiafrika , ni suala la mfumo tu, hakuna kabila ambalo halina waasisi (Ancestors) duniani
 
Soma post yangu #398 nikisema : "Ukweli ni kwamba dini ni nyingi pale India na hawakutaka dini moja ipewe nafasi maalum, ndio maana katiba ikasema nchi haina dini' Lakini bado nini iliwazuia kusema kwenye katiba yao India ni nchi ya watu wenye dini zote za kiasili tu - all indigenous religions only? Ushamba unaonyesha wewe - huna la kujitetea iliyo based kwenye facts lakini bado unajitokeza! Totally hopeless!
 
Sizungmzii miaka ukubwa wala udogo,haya maneno nishaacha kuyatumia bali nazungumzia hao mabinti waliyobalehe.

Nimeeleza hapa athari zake kwa hao mabinti kupata ujauzito na nimesema ni madhara ambayo yaweza kuepukwa maana si kitu ambacho kina ulazima wa kukifanya kama mfano wa chakula kwamba hata kama unaweza kupata madhara ila mtu lazima ale huwezi kuepuka kula. Sasa wewe hujaeleza hizo faida za kuwajaza mimba hao mabinti ni zipi na ulazima wake ni upi hadi tushindwe kuziepuka ili tuepushe madhara yanayowakumbuka hao mabinti?

Kuna mambo kibao huko wazee wetu walikuwa wakiyafanya kutoka na uelewa wao kipindi hicho na hali iliyokuwepo wakati huo.
 
Kuna ukristo ulioanzia Roma na ukristo ulioanzia ujerumani , wote huu ni ukristo , sawa na dini za kiafrika ziko tofauti kidogo lakini zote za kiafrika , ni suala la mfumo tu, hakuna kabila ambalo halina waasisi (Ancestors) duniani
Nakuuliza nani kaanzisha ukristo unakuja kuniambia kuna ukristo uliyoanzishwa sijui wapi na wapi!!! sawa nakuuliza mchezo wa soka ulianzisha wapi we unakuja kusema kuna soka la brazir na soka uingereza.

Hivi ancestors na waasisi ni sawa? sijasema hakuna ancestors lakini sio waasisi,hebu nitajie wasisi wa makabila.
 
Wafuasi wa Yesu wa mwanzo ndo waanzilishi wa Ukristo..ingawa wao hawakujiita Wakristo ( wakristo ni jina walilopewa na warumi/wayahudi waliokuwa wanawawinda na kuwakamata wawaue after Yesu kuondoka) Wao walijiita "Wafuasi wa Kristo" . Kwahiyo Ulianzia huko Israel.
Baadae Waroma ndo wakaurasimisha kwao maana ulikiwa hauruhusiwi na wakauchanganya na upagani wakaita UKATOLIKI.
WAKATOLIKI SIO WAKRTISTO.
 
Hizo tofauti za madhehebu.
 
Yap
Kwani dini za waafrika kabla ya wageni zilikuwaje ?
Ndiyo ,na hadi Leo zipo .Ukitafakari utaona Africa tuna tembea na dini mbili 1.Za asili 2 , za kisasa na watu husema dini haiuwi Ila mila inauwa !!!! Ukisoma vitabu hususani agano la kale lina mafungamano makubwa na baadhi ya tamaduni na imani nyingi za kiafrica ,,,,kuna kabila nalifahamu ukiangalia mila na desturi zinakaribiana na old testament
 
Mbona unalazimisha mambo nimekwambia yale ndio maisha yao hakuna ulazima kwa sababu ndio maisha yao , unapolazimisha eti waseme " waseme watu wenye dini zote za kiasili " hapa ndio unachekesha kweli kweli angalia maisha yao ndio yanasadiki kwa namna gani dini za kiasili zimepewa thamani kubwa kuliko za kigeni , na kwakukumbatia asili yao wamefanikiwa bila tabu yeyote , sasa wewe lazimisha waandike wakati huku kwenye Field watu wanaishi maisha yao , Mama Gandi alishindwa kuwa waziri mkuu japo katiba ilimruhusu kwa sababu huku mtaani watu wanamaisha yao wayapendayo ,alikuwa si muhindi wa asili wa kuzaliwa , hivyo akajiweka pembeni , unapotaka kila kitu kiandikwe pole sana
 
Hizo tofauti za madhehebu.
Tofauti za madhehebu wakati ata Mungu wanatofautiana , ata kuowana awaoani mpaka huyu aje huku au yule aende kule , hizo ni dini tofauti kabisaaa , usidanganywe na maneno ya mtaani
 
1. Umetoa mifano tofauti soka linasimamiwa na FIFA duniani , lakini katika kila ukristo wale walioanzisha ndio wasimamizi , kiufupi katoliki hawezi mwambia kitu protestant na kinyume chake , hivyo mfano wako umekurudia mwenyewe haufai

2. Ancestors kiswahili ni MABABU ambao ndio waasisi , ndio maana ata watu weusi tunaomba kwa mizimu ya mababu zetu itusaidie pale penye uzito , sasa maswali yako yanashangaza sana kama hili ulijui
 
Tofauti za madhehebu wakati ata Mungu wanatofautiana , ata kuowana awaoani mpaka huyu aje huku au yule aende kule , hizo ni dini tofauti kabisaaa , usidanganywe na maneno ya mtaani
Mungu wanatofautiana kvp ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…