Ukweli usiosemwa juu ya dini za Kiafrika

Yani mtu aliyekufa na kutukamzika wenyewe halafu tena sisi ndio twende kumuomba mambo yetu mtu tuliyemlaza chini huko!!!!

Vitu vyengine hata akilini tu haviingii.
Bora alieishi tukamuona kuliko ambaye ujamuona lakini umeshupalia mishipa kumuabudu
 
Ishu sio kumuona bali ishu kumuomba yule ambaye ameshajifia na sie ndio tuliyomfukia wala hakuwa akijiweza kwa chochote halafu tena huyo et ndio nimuombe.
 
Nimemwita mwanangu jina la kilugha watu wananijudge
 
Ishu sio kumuona bali ishu kumuomba yule ambaye ameshajifia na sie ndio tuliyomfukia wala hakuwa akijiweza kwa chochote halafu tena huyo et ndio nimuombe.
Amefanya makubwa tuna imani na bado yupo na sisi kiroho, ni bora zaidi kuliko kuamini kitu ambacho wala ujapata kukiona , zaidi ni stori za wabeba mitumbwi tu
 
Hiyo ni imani kama ulivyosema ila tukisema tupime hiyo imani hapo ndiyo palipo na tatizo,yani kwamba mtu akifa ndio anapata power kiasi kwamba anaweza kuwasaidia nyie ambao bado mpo mliomsaidis kumfukia!
 
Naam roho yake iko pamoja nasi mwili ndio mliofukia , kama alivyotusaidia kimwili ndivyo atakavyo tusaidia kiroho , na bahati nzuri mambo yanakwenda vizuri kabisa
 
Hakuna ambapo mambo hayaendi,aliyekwambia habari za roho ni nani?
 
Umeeleweka sana,kuna kitabu cha mama mmoja anaitwa hellen G white,alisema kila unachoamini ndicho huwa,kila ukionacho dhambi na kibaya hivyo vyote ni maruweruwe,ila usipoamini na haitokua
Ni vyema sana mleta mada alivyotokwa na yake ya moyoni na ni jambo zuri kama tutarudi tulikokua
 
Na imani ya kweli inapatikana kwa muongozo uliyo sahihi na hapo ndipo dini inapoingia.
Muongozo wa kweli ni UPI?.
Mungu hakuwahi leta dini ili watu wasali Bali alituumba ili tuishi kwa upendo na umoja. Makini cha ajabu hao unaowatetea hawana upendo wala umoja kwetu, wanatutenga na kutubagua kila siku kupitia rangi na mambo mengine mbalimbali
 
Umeeleweka sana,kuna kitabu cha mama mmoja anaitwa hellen G white,alisema kila unachoamini ndicho huwa,kila ukionacho dhambi na kibaya hivyo vyote ni maruweruwe,ila usipoamini na haitokua
Ni vyema sana mleta mada alivyotokwa na yake ya moyoni na ni jambo zuri kama tutarudi tulikokua
Ahsante hicho kitabu tunaweza kukipata?
 
Muongozo wa kweli ni UPI?.
Mungu hakuwahi leta dini ili watu wasali Bali alituumba ili tuishi kwa upendo na umoja. Makini cha ajabu hao unaowatetea hawana upendo wala umoja kwetu, wanatutenga na kutubagua kila siku kupitia rangi na mambo mengine mbalimbali
Wapi ambapo wewe umepata hayo maelezo ya kuhusu makusudio ya Mungu kutuumba? Kwa sababu kuna wengine wanasema Mungu hajaeleza makusudio ya yeye kutuumba sisi hivyo hatuwezi kujua Mungu anatutaka tuishi vipi ila wewe unasema Mungu katuumba ili tuishi kwa upendo na umoja ndio maana nakuuliza wewe mwenzetu una connection gani hadi umeweza kujua kusudio la Mungu kutuumba?
 
Back
Top Bottom