Ukweli usiosemwa juu ya dini za Kiafrika

1.Umetoa mifano tofauti soka linasimamiwa na FIFA duniani , lakini katika kila ukristo wale walioanzisha ndio wasimamizi , kiufupi katoliki hawezi mwambia kitu protestant na kinyume chake , hivyo mfano wako umekurudia mwenyewe haufai,
2. Ancestors kiswahili ni MABABU ambao ndio waasisi , ndio maana ata watu weusi tunaomba kwa mizimu ya mababu zetu itusaidie pale penye uzito , sasa maswali yako yanashangaza sana kama hili ulijui
Lilianza soka kuchezwa kabla ya kufikiria kuanzisha Fifa,hivyo mie sijazungumzia habari za fifa,wazungu gani waliyoanzisha ukristo?

Unaweza kuniambia hao mababu(ancestors) ambao ndiyo mizimu mnayoiomba ni kipi walichoasisi?
 
1. Soka ulichezwa sehemu nyingi za dunia , na jamii tofauti tofauti , jeshini n.k, sasa basi hakuna anaeweza kusimama na kudai ameanzisha soka yeye, vile vile ukristo uko tofauti hakuna atakae dai kuanzisha yeye , hivyo kila mtu ameanzisha ukristo wake kwa faida na uelewa wake , FIFA wameufanya mchezo wa soka uwe wenye kufata taratibu moja kwa wote, lakini ukristo haiwezekani kwasababu ni imani tofauti

2. maisha yote waliyokuwa wanaishi kabla ya kuingia mkoloni ni urithi tosha , ndio maana leo tunawajadili kwanini watu waliacha taratibu hizi , nakufata miungu isioeleweka ya kigeni
 
1. Soka ulichezwa sehemu nyingi za dunia , na jamii tofauti tofauti , jeshini n.k, sasa basi hakuna anaeweza kusimama na kudai ameanzisha soka yeye, vile vile ukristo uko tofauti hakuna atakae dai kuanzisha yeye , hivyo kila mtu ameanzisha ukristo wake kwa faida na uelewa wake , FIFA wameufanya mchezo wa soka uwe wenye kufata taratibu moja kwa wote, lakini ukristo haiwezekani kwasababu ni imani tofauti
2.maisha yote waliyokuwa wanaishi kabla ya kuingia mkoloni ni urithi tosha , ndio maana leo tunawajadili kwanini watu waliacha taratibu hizi , nakufata miungu isioeleweka ya kigeni
Hahaha sawa twende hivyo hivyo.

Kama ni hivyo basi hakuna ajabu mtu kufuata dini au imani yeyote iwe uislamu,ukristo,hinduism au yeyote ile bila kujari yeye ametoka jamii gani. Sasa nashangaa wewe unapopinga waafrika kufuata ukristo au uislamu na kuleta habari za waanzilishi wa hizo dini wakati hizo dini sehemu tofauti tofauti duniani kama ilivyo soka. Ndiyo hata hiyo Hinduism ipo hadi katika jamii zisizo za wahindi.

Kama kuyaishi tu basi hata sisi hapa tunayaishi ila mie nazungumzia kuasisi,hebu katizame kamusi ujue hilo neno na maana yake.
 
Ukiona mtu ana acha kilicho chake ni mjinga kwa hiyo China na Japan wameendelea sana na wapo kwenye dini yao ya ubudha Israel wapo kwenye uyaudi wewe dini yako umeacha
Kaangalie data zako vizuri huo ubudha unashika namba mbili huko Japan na tunajua hiyo imani iko sehemu nyingi na ina asili ya india huko,huko china na Korea kusini wasio na dini ndio wanashika nafasi za kwanza.

Halafu waliyoendelea huwa mnapenda kutaja wa asia tu na kuacha Amerika na ulaya.
 
Huko ulaya ndio nchi zinazo ongoza karibia nusu yake hawana dini mpaka imefika hatua wanachukua mapadri na wachungaji kutoka Africa
 
Hahaha sawa twende hivyo hivyo.

Kama ni hivyo basi hakuna ajabu mtu kufuata dini au imani yeyote iwe uislamu,ukristo,hinduism au yeyote ile bila kujari yeye ametoka jamii gani. Sasa nashangaa wewe unapopinga waafrika kufuata ukristo au uislamu na kuleta habari za waanzilishi wa hizo dini wakati hizo dini sehemu tofauti tofauti duniani kama ilivyo soka. Ndiyo hata hiyo Hinduism ipo hadi katika jamii zisizo za wahindi.

Kama kuyaishi tu basi hata sisi hapa tunayaishi ila mie nazungumzia kuasisi,hebu katizame kamusi ujue hilo neno na maana yake.
1. Yule alieacha chake na kufata cha mwenzake huyo ndio mjinga , lakini yule aliefatwa ndio muelevu maana amekushawishi ukaacha chako na kufata cha mwenzako , huu ni utumwa wa kifikra na kutokujiamini , ndio maana nikakwambia watu wameendelea kufata imani za kiasili na wamefanikiwa kipi kinakupeleka kwenye imani za kigeni ni ushamba au kufata mkumbo ? inasikitisha sana.

2. Ancestors ( ni mababu ), kwenye ibada zetu tunawaomba mababu zetu wafanye baraka zimiminike,
 
Huko ulaya ndio nchi zinazo ongoza karibia nusu yake hawana dini mpaka imefika hatua wanachukua mapadri na wachungaji kutoka Africa
Hata china na korea kote wengi hawana dini na wana maendeleo sasa nyie mnataka kutuambia waafrika hatuna maendeleo kisa tumeacha kuabudu mizimu.
 
Yule alieacha chake na kufata cha mwenzake huyo ndio mjinga , lakini yule aliefatwa ndio muelevu maana amekushawishi ukaacha chako na kufata cha mwenzako , huu ni utumwa wa kifikra na kutokujiamini , ndio maana nikakwambia watu wameendelea kufata imani za kiasili na wamefanikiwa kipi kinakupeleka kwenye imani za kigeni ni ushamba au kufata mkumbo ? inasikitisha sana.
2. Ancestors ( ni mababu ), kwenye ibada zetu tunawaomba mababu zetu wafanye baraka zimiminike,
Kila kitu kina kilipoanzia kwahiyo waliyoacha michezo yao asili na kufuata mchezo wa soka ambao si mchezo wao wa asili nao pia ni wajinga?

Sawa waombe ila sio kwamba wao ni waasisi,jiulize hao mababu wakati wa uhai wao walikuwa wanamuomba nani au walikuwa wanakiomba wenyewe?
 
Nani kakwambia wameacha mpaka kesho watu wanacheza wakiwa kwenye tamaduni zao , wewe ndio umeacha zile ni tamaduni , FIFA atafanya maboresho kivyake wala watu wa utamaduni hawana shida nazo , kila watu kwa nafasi yao , Ancestors(mababu) ndipo kwenye mizizi taratibu zinapotengenezwa kwajli ya vizazi unataka wamuombe nani zaidi ya mizimu ambayo ilikuwa inaleta amani kwa watu
 
Yani mtu aliyekufa na kutukamzika wenyewe halafu tena sisi ndio twende kumuomba mambo yetu mtu tuliyemlaza chini huko!!!!

Vitu vyengine hata akilini tu haviingii.
 
Wachangiaji wengi ambao hawakubaliani na mtazamo wa mada hii,hoja hii wamejikita kwenye mizimu. Naomba nifahamishe kwamba mizimu ni jina la MTU yeyote wa taifa lolote na Rangi yoyote aliyekufa na kuaminika bado anaishi katika hali ya gesi(invisible&intangible).
GHOST : the soul of a dead person thought of as living in an unseen world or asappearing to living people.

Hivyo basis neno MIZIMU(GHOST) lisitumike tu negatively kuponda watu waliokufa Afrika.
Pia Milima, Miti mikubwa, Mapango etc kwa Afrika ilikuwa teknolojia pekee kwa wakati huo kama ikon&symbol (alama) ya watu kukutana na sio walikuwa wanaabudu hivyo vitu vilivyotajwa hapo na vifananavyo.

Watu walikuwa wanaomba Mungu kupitia waliotangulia kwani kwa nyakati hizo walikuwa kioo na dira pekee na walikuwa wanafanikisha kwa imani hiyo.
 
Back
Top Bottom