Ukweli usiosemwa juu ya dini za Kiafrika

Ungeweka na rwference ya vitabu kusapoti argument yako ili kutupanua uelewa mkuu.Vinginevyo hii ni story tuu kama ile ya gazeti la Tanzanite
Dogmas wa received beliefs ,Christian and Islam mmefika kupinga vitu vya msingi kabisa hebu mjitambue mtoke kwenye mental slavery .
 
Anglican ya ulaya imejirudi na kuwa na msimamo wa biblia baada ya kuona Anglican ya Africa imejitenga nao.Sababu ilikuwa ishu ya ndoa hizo haramu,,leo msimamo wao ni kama wa Africa Kwamba ndoa halali ni ya mke na mme fullstop...

Tutu ni mnafki tu ambae amebase kwenye siasa na uanaharakati.
Na ili asionekane mbaya akaonyesha zaidi unafki wake kwa kujidai kutetea huo upumbavu mkubwa..

Kwa hio South Africa wasingehalalisha jinai hio ya jinsia moja na yeye angekuwa na msimamo kwamba jinsia moja ya ndoa si sahihi...

Na hayuko peke yake,,wako na wengine pia,,kwamba ili heshima yake isipungue kwa watu hata mwenyewe anaweza akashikishwa ukuta.
Nielewe ndugu, ukristo mpaka umefika hapa umepitia marekebisho mengi sana, hata dini zetu za asili zingepitia marekesho tungeendana na wakati tu, tatizo tuliaminishwa vyekwetu ni upuuzi mtupu wakati kulikua na mazuri mengi tu. Matekeo yake tumekuaa watumwa wa kifikra na kitamaduni. Halafu ndoa za jinsia moja ziko kanisani sio kwa wapinga ukristo. Askofu Tutu mwanae msagaji na hakuwahi kumsema vibaya. Anglikan wameruhusu au wao sio wakristo? Ishu ni kwamba dini zetu zilikua na maana na kama zingepitia marekebisho kama RC na Uprotestant tungekua poa tu. siukatai Ukristo ila usiwe zana ya kuhukumu utu wangu kihistoria.
View attachment 1115967
 
Hayupo mtu hata mmoja Duniani ambaye huwa anabisha kuwa Yesu hakuwahi kuwepo. Angalia Kalenda tunayotumia mapak leo Dunia nzima
Calendar gani Gregory au? Yesu alikuwepo kwa stori za Asia tu ila ukienda uchina, japani, korea Africa hakuwepo. Wanaokubali dini za asia ndio wanaosema Yesu alikuwepo. Ila kumbuka kama alikuwepo basi alikuwa asia na kwa ajiri ya Asia tu. Kwa hiyo nawe unaamini walimuulia msarabani ili ww upate kusamehewa mazambi? Basi kama unaamini katika hili Basi pole Sana ndugu. Yaani nyie eti tukimuua Basi ss tutasamehewa dhambi zetu kwani yy ndie aliyekuwa anasababisha madhambi?.
 
Afrika ina dini ambazo ni nyingi sana kuliko bara lolote lile Duniani. Dini hizi nyingi zimepigwa ban na watu wa nje(whites) kwa sababu tu ya inferior ya mtu mweusi wa zamani. Kuishi kwa kumtegemea mzungu kwa kila kitu hadi ikapelekea hadi sasa watu wanategemea pia dini za kizungu.

Hakuna kabila hata moja Afrika ambalo limepoteza imani ya dini yao, ndio maana hata waendao makanisani hutembelea kwa mababu zao kupata kinga. Dini zote Afrika zilikuwa hazihusiani na uchawi ila mtu mweupe ndiye aliempa mtu mweusi uchawi kwa mafunzo maalumu akimdanganya ya kiimani.

Uchawi Afrika uliletwa na mzungu na ukweli huu haupingiki. ukiachana na hayo lakini pia upande wa maadili hapa nianze kwa salamu

U hai? ndugu hata kama haupo hai ila ukweli ukifikie huko huko ulipo. Nani aliyekuambia kuwa Afrika watu walikuwa wanavaa nguo full mwili mzima? Angalia wamasai japo na hao pia wamejaribu kubadilika. Ila hali ilikuwa mbaya sana zamani.

Watu walikuwa wanazuii tupu tu, Vikande vyote vya nyuma vilikuwa wazi na hakukuwa wa kushangaa katika hili kwa sababu ndiko tulikotoka. Ujio wa white man ukatibua hali ya hewa wakabadili,mtindo wa mavazi,dini, elimu, lugha, biashara na kila kitu.

Sasa katika mambo waliobadili pamoja na nidhamu na kusema nchi za Afrika hawajastarabika kwa sababu wanatembea uchi, wanaabudu madudu, wanaongea lugha chafu n.k. Watu wa Afrika walilazimishwa kukopi mila na mitindo yote ya Kizungu.

Unaposema vijana wetu hawana maadili ni kutukana wazee wetu wa zamani ambao walikuwa wanawinda,na kupiga ngoma uchi.

Hawa wapuuzi wa kizungu ndio walioita matabibu wetu kwa jina baya eti Matabibu wa kichawi(witch doctor) na wao kujiita Doctors, physician mara sijui wakemia n.k. Wakasema kupiga ngoma ni ushamba ila tupige miziki ya kisasa n.k.

Sioni jema la wazungu katika imani, wala tamaduni na wala technology kwa sababu naamini tungepigana na hali zetu. Wale wanaoenzi mababu zetu siku hizi wanajiita TIBA MBADALA sijui ndio nini. Wajiite wauguzi na wataalamu wa tiba na magonjwa mbalimbali.

Afrika without White's countries is possible, hatujachelewa sana tuanze ku uphold vya kwetu ili vitusaidie na sisi kwa masilai yetu. Hivi vya kuletewa havitufai kwani "NGUO YA KUAZIMA HAISITIRI MA**KO" na ndio mana mambo hayaendi kama ilivyotakiwa.

Nawachukia wa Asia na dini zao i.e Christian and Muslims. Ww ndugu yangu mtoto na mjuu wa Likangamai hayo mambo utayaweza? Ndio maana kulikuwa na mabala na aina ya watu na mila tofautitofauti, sasa ya nje ya nn na kuona kama vile ulichelewa kuvipata?

Kwani wao walikuwa hawajui kama Afrika kuna watu? mbona wamefika baada ya manyanyaso mauaji na dhulma kwa ndg zetu? Nini za Asia ni dini za ukweli kwa Asia na dini za Afrika ni za kweli kwa Afrika tu?

Jambo gani jema limewahi semwa na hao watu juu ya mababu zetu? wamewatukana sana kupitia imani zao na leo wamefanikisha kutufanya ndg,jamani tunaenda wapi na ilihali tunakotoka tunakudharau?

NAIPENDA AFRIKA SANA NA HATA NIKIWA JIRANI NA MZUNGU WOTE WE FEEL DIFFERENCES ON EACH AND EVERYTHING.RELIGION, LANGUAGE, STYLES,CUSTOMS, COLOUR, AWARENESS, ASSERTIVENESS STATUS, RECOGNITION e.t.c.

Ukweli haupingiki hata mniue hadi nife
Naungana na wewe mkuu.Dini zetu waafrika ndio dini bora kabisa zilizowahi kutokea katika uso wa dunia.

Kwanza ndio dini kongwe kwa sababu binadamu wa kwanza waliishi Afrika.

Mtu anae fuata uislamu na ukristo na kuukataa uafrika huyo ni mbumbumbu na asie jua umuhimu wa hesabu katika maisha yake.

1. Uislamu umeanza miaka 1500 iliyopita.

2. Ukristo umeanza miaka 2000 iliyopita.

3. Dini za kiafrika zilikuwepo miaka Bilioni mbili iliyo pita.

IT IS ONLY A FOOL WHO CAN EXCHANGE HIS 2BILLIONS WITH 1500 OR 2000!!!

WAKE UP FELLOW AFRICANS. LETS GO BACK TO OUR ROOTS.
 
Pamoja sana
 
Nlipofika hapo kwenye 'wazungu wakabadili hali ya hewa.... ' nimeshindwa kuendelea kusoma
Like how MF?..
Jmn sijui na sisi tuilaumu ccm kwa huu uandishi pia..#confused
 
Usinichagulie cha kujibu bali mimi ninajua ninachokijibu na kukiamini na kukiandika.

Kama wewe ulishindwa kumkingia kifua Mungu wako wa Afrika na ukakiri ya kuwa humjui sio mimi,kwani mimi nilianza kwanza kusomeshwa ndio nikaamini.

Nakariri tena na tena "MIMI NINA MJUA MOLA WA ULIMWENGU NA VYOTE VILIVYOMO"
Basi huyo umjuaye wewe umemsoma katika lugha ipi, hija yake wafanyia kijijini kwenu au unavuka bahari ,

Najaribu kuwaza na kukuelewa, nashindwa! Wajitapa kwa kumjua Mungu wa jirani yako, tena Mungu huyu sio wa babu wala bibi zako kule kijijini!?
 
Nini kifanyike?
Afrika ina dini ambazo ni nyingi sana kuliko bara lolote lile Duniani. Dini hizi nyingi zimepigwa ban na watu wa nje(whites) kwa sababu tu ya inferior ya mtu mweusi wa zamani. Kuishi kwa kumtegemea mzungu kwa kila kitu hadi ikapelekea hadi sasa watu wanategemea pia dini za kizungu.

Hakuna kabila hata moja Afrika ambalo limepoteza imani ya dini yao, ndio maana hata waendao makanisani hutembelea kwa mababu zao kupata kinga. Dini zote Afrika zilikuwa hazihusiani na uchawi ila mtu mweupe ndiye aliempa mtu mweusi uchawi kwa mafunzo maalumu akimdanganya ya kiimani.

Uchawi Afrika uliletwa na mzungu na ukweli huu haupingiki. ukiachana na hayo lakini pia upande wa maadili hapa nianze kwa salamu

U hai? ndugu hata kama haupo hai ila ukweli ukifikie huko huko ulipo. Nani aliyekuambia kuwa Afrika watu walikuwa wanavaa nguo full mwili mzima? Angalia wamasai japo na hao pia wamejaribu kubadilika. Ila hali ilikuwa mbaya sana zamani.

Watu walikuwa wanazuii tupu tu, Vikande vyote vya nyuma vilikuwa wazi na hakukuwa wa kushangaa katika hili kwa sababu ndiko tulikotoka. Ujio wa white man ukatibua hali ya hewa wakabadili,mtindo wa mavazi,dini, elimu, lugha, biashara na kila kitu.

Sasa katika mambo waliobadili pamoja na nidhamu na kusema nchi za Afrika hawajastarabika kwa sababu wanatembea uchi, wanaabudu madudu, wanaongea lugha chafu n.k. Watu wa Afrika walilazimishwa kukopi mila na mitindo yote ya Kizungu.

Unaposema vijana wetu hawana maadili ni kutukana wazee wetu wa zamani ambao walikuwa wanawinda,na kupiga ngoma uchi.

Hawa wapuuzi wa kizungu ndio walioita matabibu wetu kwa jina baya eti Matabibu wa kichawi(witch doctor) na wao kujiita Doctors, physician mara sijui wakemia n.k. Wakasema kupiga ngoma ni ushamba ila tupige miziki ya kisasa n.k.

Sioni jema la wazungu katika imani, wala tamaduni na wala technology kwa sababu naamini tungepigana na hali zetu. Wale wanaoenzi mababu zetu siku hizi wanajiita TIBA MBADALA sijui ndio nini. Wajiite wauguzi na wataalamu wa tiba na magonjwa mbalimbali.

Afrika without White's countries is possible, hatujachelewa sana tuanze ku uphold vya kwetu ili vitusaidie na sisi kwa masilai yetu. Hivi vya kuletewa havitufai kwani "NGUO YA KUAZIMA HAISITIRI MA**KO" na ndio mana mambo hayaendi kama ilivyotakiwa.

Nawachukia wa Asia na dini zao i.e Christian and Muslims. Ww ndugu yangu mtoto na mjuu wa Likangamai hayo mambo utayaweza? Ndio maana kulikuwa na mabala na aina ya watu na mila tofautitofauti, sasa ya nje ya nn na kuona kama vile ulichelewa kuvipata?

Kwani wao walikuwa hawajui kama Afrika kuna watu? mbona wamefika baada ya manyanyaso mauaji na dhulma kwa ndg zetu? Nini za Asia ni dini za ukweli kwa Asia na dini za Afrika ni za kweli kwa Afrika tu?

Jambo gani jema limewahi semwa na hao watu juu ya mababu zetu? wamewatukana sana kupitia imani zao na leo wamefanikisha kutufanya ndg,jamani tunaenda wapi na ilihali tunakotoka tunakudharau?

NAIPENDA AFRIKA SANA NA HATA NIKIWA JIRANI NA MZUNGU WOTE WE FEEL DIFFERENCES ON EACH AND EVERYTHING.RELIGION, LANGUAGE, STYLES,CUSTOMS, COLOUR, AWARENESS, ASSERTIVENESS STATUS, RECOGNITION e.t.c.

Ukweli haupingiki hata mniue hadi nife
Frustration kama lote!!!
Mimi ninavyo jua chanzo cha binadamu ni kimoja yaani Mungu, chanzo cha uchawi wanasema ni Babel pale walipojenga mnara. Na kipindi hicho huu mgawanyo kuwa hapa ni Afrika ,kule ni ulaya havakuwepo. Uchawi kote upo ,hata kwa wazungu, hata kwa watu weusi. Kwa mtu aliyekulia kwenye hizi jamii hayo mambo yapo, ya uchawi na usifikiri uwepo wa uchawi unaondoa uwepo wa Mungu. Mungu hata kwenye jamii zetu wana lugha ambazo zinaonyesha walijua uwepo wake.
Mfano kwa wakurya Mungu anaitwa Enokwe, wajaluo wanaita Nyasae, wasukuma wanaita Sebha.....
Hata kwa waisrael uchawi ulikuweo na wapiga ramli walikuwepo.
Soma kisa hiki hapa utaona:
1Samwel28:1 Siku zile Wafilisti wakakusanya majeshi yao ili kupigana vita dhidi ya Israeli. Akishi akamwambia Daudi, “Lazima ujue kuwa wewe pamoja na watu wako mtafuatana nami kwenda vitani.”
2 Daudi akasema, “Ndipo wewe mwenyewe utakapojionea jambo ambalo mtumishi wako anaweza kufanya.”
Akishi akamjibu Daudi, “Vyema sana, mimi nitakufanya uwe mlinzi wangu daima.”
3 Wakati huo Samweli alikuwa amekufa, nao Israeli wote walikuwa wamemwombolezea na kumzika kwenye mji wake mwenyewe huko Rama. Sauli alikuwa amewafukuza waaguzi na wachawi.
4 Wafilisti wakakusanyika na kupiga kambi yao huko Shunemu, naye Sauli akawakusanya Waisraeli wote na kupiga kambi yao huko Gilboa. 5Sauli alipoona jeshi la Wafilisti, akaogopa; moyo wake ukajawa na hofu kuu. 6Ndipo Sauli akauliza ushauri kwa Bwana, lakini Bwana hakumjibu kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kwa njia ya manabii. 7Basi Sauli akawaambia watumishi wake, “Nitafutieni mwanamke mwaguzi ili nimwendee, nipate kuuliza kwake.”
Watumishi wake wakamwambia, “Yuko mwanamke mmoja huko Endori.”
8 Hivyo Sauli akajigeuza kwa kuvaa mavazi mengine, naye usiku akiwa amefuatana na watu wawili wakaenda kwa huyo mwanamke. Akamwambia, “Nibashirie kwa uaguzi, unipandishie yule nitakayekutajia.”
9 Huyo mwanamke akamwambia, “Wewe unajua lile alilofanya Mfalme Sauli. Amewakatilia mbali waaguzi, wapiga ramli wote na wachawi katika nchi. Mbona umenitegea maisha yangu ili wapate kuniua?”
10Sauli akamwapia huyo mwanamke kwa Jina la Bwana, akasema, “Kwa hakika kama Bwana aishivyo, hutaadhibiwa kwa ajili ya jambo hili.”
11Ndipo yule mwanamke akauliza, “Je unataka nikupandishie nani?”
Sauli akasema, “Nipandishie Samweli.”
12 Yule mwanamke alipomwona Samweli, alipiga yowe kwa sauti kuu, naye akamuuliza Sauli, “Mbona umenidanganya? Wewe ndiwe Sauli.”
13 Mfalme akamwambia, “Usiogope. Unaona nini?”
Yule mwanamke akasema, “Naona mungu unapanda kutoka ardhini.”
14 Sauli akamuuliza, “Ni mfano wa nini?”
Yule mwanamke akasema, “Ni mwanaume mzee amevaa joho anayepanda.”
Ndipo Sauli akatambua kwamba ni Samweli. Sauli akasujudu kifudifudi, uso wake hadi ardhini.
15 Samweli akamuuliza Sauli, “Kwa nini unanitaabisha kwa kunipandisha juu?”
Sauli akasema, “Mimi ninasumbuka sana, kwa maana Wafilisti wanapigana vita dhidi yangu, naye Mungu ameniacha. Hanijibu tena wala kwa njia ya manabii wala kwa ndoto. Kwa hiyo nimekuita wewe ili unijulishe la kufanya.”
16Samweli akamuuliza, “Kwa nini uniulize mimi, maadamu Bwana amekuacha na kuwa adui yako? 17Bwana ametenda lile alilotangulia kusema kupitia kwangu. Bwana ameurarua ufalme kutoka mikononi mwako, naye amempa mmoja wa jirani zako, yaani Daudi. 18Kwa sababu wewe hukumtii Bwana, wala hukumtimizia ghadhabu yake kali juu ya Waamaleki, Bwanaamekutendea mambo haya leo. 19Zaidi ya hayo, Bwanaatawatia Israeli pamoja na wewe mikononi mwa Wafilisti, na kesho wewe na wanao mtakuwa pamoja nami. Bwana pia atalitia jeshi la Israeli mikononi mwa Wafilisti.”
20 Papo hapo Sauli akaanguka chini, akajinyoosha, akiwa amejawa na hofu kwa ajili ya maneno ya Samweli. Nguvu zake zikamwishia kwa maana alikuwa hajala chochote mchana ule wote na usiku.
21 Yule mwanamke alipomwendea Sauli na kumwona amepatwa na hofu, akamwambia, “Tazama, mimi mtumishi wako mwanamke nimekutii. Nimeweka maisha yangu hatarini kwa kufanya kile ulichoniagiza nifanye. 22Sasa tafadhali isikilize sauti ya mtumishi wako, uniruhusu nikupatie chakula kidogo ule ili uwe na nguvu za kurejea ulikotoka.”
23 Akakataa, akisema, “Mimi sitaki kula.”
Lakini watumishi wake wakaungana na yule mwanamke wakamsihi ale, naye akakubali. Basi akainuka hapo chini, akaketi juu ya kitanda.
24 Yule mwanamke alikuwa na ndama aliyenona hapo nyumbani, akamchinja mara moja. Akachukua unga, akaukanda, akatengeneza mkate usio chachu. 25Ndipo akamwandalia meza Sauli pamoja na watu wake, nao wakala. Usiku ule ule wakainuka na kwenda zao.
Katika hali kama hii ni Muhimu kuchagua Mungu wa kweli na kumtumikia
 
kuendelea kung'ang'ania dini za wegeni na kudharau vya kwetu ni sawa na kuendelea kujifedhehesha TU, kuwa mtu msomi ila bado una udini, hapo hakuna maana ya kile ulichonacho(elimu).
 
Mkuu
Tutakaokuelewa ni wachache sana humu, watu wengi walishafanyiwa kitu ninachookiita " kuuwawa kwa tabia zao halisi" Yaani karibu kila kitu hapa Afrika kimeharibiwa. Angalia maisha yetu, mathalani lugha zetu, mavazi yetu, sayansi yetu, dini zetu, usomaji wetu, majina yetu n.k hadi unajiuliza hivi sisi watu weusi tutaacha alama gani hapa duniani!!!???

Kuna jamaa mmoja nilimponda tukiwa wengi kwa kumwita mtoto wake mchanga jina la kiingereza la ajabu ajabu kisa tu eti ni zuri (si ni la kizungu bwana) nilipomwambia kuwa asiendekeze utumwa wa fikra aliniita mimi mshamba yaani akasema sijaelemika! Nikamtazamaaaa, nikamwambia waziwazi mimi naitwa TATA MKURIA na najisikia fahari kuwaita watoto wangu majina yao kama Bhoke, Ghati,Marwa, Mwita n.k.

Mkuu Frustration hakuna bara linadharauliwa kidini kama Afrika! Yaani ni aibu, halafu waafrika hawa wa sasa tena wasomi wanaendelea kuwatumikia wale jamaa wakidhani wapo sahihi yaani waafrika tumeenda hatua zaidi ya wao kujiona hizi dini zao ni bora sana hadi zinatugombanisha! Zinafanya tuuwane! Ni aibu.

Ukienda mabara mengine, huwaambii kitu kuhusu dini zao! Kama hujui nenda nchi za Ulaya, nenda nchi za Uarabuni, nenda Uhindini, nk. Ila sasa njoo Afrika! Yaani akili zetu ni nyepesi nyepesi mno. Kila kitu kinaaminika kirahisi tu, tumesoma sasa lakini bado tunaendekeza yale yale yaliyotuletea madhila siku za nyuma. Tumelala fofofo tunadhani kila kitu kipo sawa. Yaani hadi nimewakumbuka Prof Ngugi wa Thiong'o na maelekezo yake katika kitabu cha "Decolonizing the Mind" pamoja na Okoth p'Bitek na vile vitabu vyake pendwa (najua wengi mlisoma kile maarufu Song of Lawino na Song of Ocol) hawa waafrika wenzetu wametuandikia tushtuke kidogo lakini bado tupo ziii!

Wale wenzangu wanaopenda dini zetu, tuendelee nazo ingawa tunaitwa washirikina mi nasema ni sawa tu nitaendelea kutambika ila siyo kwa kafara za watu kama hawa washenzi wa baadhi ya dini hizi za kisasa wanavyofanya!

Najua tupo wengi tu ingawa makanisani na misikitini pia tunaingia mara kwa mara ila mioyoni mwetu tunaujua ukweli na pia tumeisha enda wapi na wapi kupata tiba zetu za kujikinga na mabalaa. Ukituona kwa nje tuna heshima lukuki katika jamii ila kiundani tunaamini dini za Kiafrika kimya kimya.

Tata mkuria.
Africa jamani hii laana itatuandama hadi hadi lini.. maana imefikia hatua hadi mtu kusafisha kaburi la nduguye anaonekana ni anawanga... daah mzungu rudi tena ututoe giizani.
 
kuendelea kung'ang'ania dini za wegeni na kudharau vya kwetu ni sawa na kuendelea kujifedhehesha TU, kuwa mtu msomi ila bado una udini, hapo hakuna maana ya kile ulichonacho(elimu).
Labda kwa kuwa elimu ni ya huko huko .
 
Africa jamani hii laana itatuandama hadi hadi lini.. maana imefikia hatua hadi mtu kusafisha kaburi la nduguye anaonekana ni anawanga... daah mzungu rudi tena ututoe giizani.
Na akisema kuzika ni dhambi basi watu wataacha na kulaani kuzika, wao ni Mastermind kwetu.
 
Frustration kama lote!!! Mimi ninavyo jua chanzo cha binadamu ni kimoja yaani Mungu, chanzo cha uchawi wanasema ni Babel pale walipojenga mnara. Na kipindi hicho huu mgawanyo kuwa hapa ni Afrika ,kule ni ulaya havakuwepo. Uchawi kote upo ,hata kwa wazungu, hata kwa watu weusi. Kwa mtu aliyekulia kwenye hizi jamii hayo mambo yapo, ya uchawi na usifikiri uwepo wa uchawi unaondoa uwepo wa Mungu. Mungu hata kwenye jamii zetu wana lugha ambazo zinaonyesha walijua uwepo wake.
Mfano kwa wakurya Mungu anaitwa Enokwe, wajaluo wanaita Nyasae, wasukuma wanaita Sebha.....
Hata kwa waisrael uchawi ulikuweo na wapiga ramli walikuwepo.
Soma kisa hiki hapa utaona:
1Samwel28:1 Siku zile Wafilisti wakakusanya majeshi yao ili kupigana vita dhidi ya Israeli. Akishi akamwambia Daudi, “Lazima ujue kuwa wewe pamoja na watu wako mtafuatana nami kwenda vitani.”
2 Daudi akasema, “Ndipo wewe mwenyewe utakapojionea jambo ambalo mtumishi wako anaweza kufanya.”
Akishi akamjibu Daudi, “Vyema sana, mimi nitakufanya uwe mlinzi wangu daima.”
3 Wakati huo Samweli alikuwa amekufa, nao Israeli wote walikuwa wamemwombolezea na kumzika kwenye mji wake mwenyewe huko Rama. Sauli alikuwa amewafukuza waaguzi na wachawi.
4 Wafilisti wakakusanyika na kupiga kambi yao huko Shunemu, naye Sauli akawakusanya Waisraeli wote na kupiga kambi yao huko Gilboa. 5Sauli alipoona jeshi la Wafilisti, akaogopa; moyo wake ukajawa na hofu kuu. 6Ndipo Sauli akauliza ushauri kwa Bwana, lakini Bwana hakumjibu kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kwa njia ya manabii. 7Basi Sauli akawaambia watumishi wake, “Nitafutieni mwanamke mwaguzi ili nimwendee, nipate kuuliza kwake.”
Watumishi wake wakamwambia, “Yuko mwanamke mmoja huko Endori.”
8 Hivyo Sauli akajigeuza kwa kuvaa mavazi mengine, naye usiku akiwa amefuatana na watu wawili wakaenda kwa huyo mwanamke. Akamwambia, “Nibashirie kwa uaguzi, unipandishie yule nitakayekutajia.”
9 Huyo mwanamke akamwambia, “Wewe unajua lile alilofanya Mfalme Sauli. Amewakatilia mbali waaguzi, wapiga ramli wote na wachawi katika nchi. Mbona umenitegea maisha yangu ili wapate kuniua?”
10Sauli akamwapia huyo mwanamke kwa Jina la Bwana, akasema, “Kwa hakika kama Bwana aishivyo, hutaadhibiwa kwa ajili ya jambo hili.”
11Ndipo yule mwanamke akauliza, “Je unataka nikupandishie nani?”
Sauli akasema, “Nipandishie Samweli.”
12 Yule mwanamke alipomwona Samweli, alipiga yowe kwa sauti kuu, naye akamuuliza Sauli, “Mbona umenidanganya? Wewe ndiwe Sauli.”
13 Mfalme akamwambia, “Usiogope. Unaona nini?”
Yule mwanamke akasema, “Naona mungu unapanda kutoka ardhini.”
14 Sauli akamuuliza, “Ni mfano wa nini?”
Yule mwanamke akasema, “Ni mwanaume mzee amevaa joho anayepanda.”
Ndipo Sauli akatambua kwamba ni Samweli. Sauli akasujudu kifudifudi, uso wake hadi ardhini.
15 Samweli akamuuliza Sauli, “Kwa nini unanitaabisha kwa kunipandisha juu?”
Sauli akasema, “Mimi ninasumbuka sana, kwa maana Wafilisti wanapigana vita dhidi yangu, naye Mungu ameniacha. Hanijibu tena wala kwa njia ya manabii wala kwa ndoto. Kwa hiyo nimekuita wewe ili unijulishe la kufanya.”
16Samweli akamuuliza, “Kwa nini uniulize mimi, maadamu Bwana amekuacha na kuwa adui yako? 17Bwana ametenda lile alilotangulia kusema kupitia kwangu. Bwana ameurarua ufalme kutoka mikononi mwako, naye amempa mmoja wa jirani zako, yaani Daudi. 18Kwa sababu wewe hukumtii Bwana, wala hukumtimizia ghadhabu yake kali juu ya Waamaleki, Bwanaamekutendea mambo haya leo. 19Zaidi ya hayo, Bwanaatawatia Israeli pamoja na wewe mikononi mwa Wafilisti, na kesho wewe na wanao mtakuwa pamoja nami. Bwana pia atalitia jeshi la Israeli mikononi mwa Wafilisti.”
20 Papo hapo Sauli akaanguka chini, akajinyoosha, akiwa amejawa na hofu kwa ajili ya maneno ya Samweli. Nguvu zake zikamwishia kwa maana alikuwa hajala chochote mchana ule wote na usiku.
21 Yule mwanamke alipomwendea Sauli na kumwona amepatwa na hofu, akamwambia, “Tazama, mimi mtumishi wako mwanamke nimekutii. Nimeweka maisha yangu hatarini kwa kufanya kile ulichoniagiza nifanye. 22Sasa tafadhali isikilize sauti ya mtumishi wako, uniruhusu nikupatie chakula kidogo ule ili uwe na nguvu za kurejea ulikotoka.”
23 Akakataa, akisema, “Mimi sitaki kula.”
Lakini watumishi wake wakaungana na yule mwanamke wakamsihi ale, naye akakubali. Basi akainuka hapo chini, akaketi juu ya kitanda.
24 Yule mwanamke alikuwa na ndama aliyenona hapo nyumbani, akamchinja mara moja. Akachukua unga, akaukanda, akatengeneza mkate usio chachu. 25Ndipo akamwandalia meza Sauli pamoja na watu wake, nao wakala. Usiku ule ule wakainuka na kwenda zao.
Katika hali kama hii ni Muhimu kuchagua Mungu wa kweli na kumtumikia
Kumbuka wale waliosema Afrika hakukuwa na maendeleo hata tonye na ndio hao hao wanaosema Afrika hakukuwa na dini ila watu wagumu sana kuelewa,. Angalia mtu mweusi alivyoteswa na mzungu ila leo mmesahau eti kwa kuwa mnafadhiliwa katika ibada DINI, wanawachezea gap and hole buttock game hao.
 
Basi huyo umjuaye wewe umemsoma katika lugha ipi, hija yake wafanyia kijijini kwenu au unavuka bahari ,
Najaribu kuwaza na kukuelewa, nashindwa! Wajitapa kwa kumjua Mungu wa jirani yako, tena Mungu huyu sio wa babu wala bibi zako kule kijijini!?
Na mitume yote imekuwa promoted kwao tu na ibada zao wanaangalia huko huko kwa mabwenyenye wao.
 
Dogmas wa received beliefs ,Christian and Islam mmefika kupinga vitu vya msingi kabisa hebu mjitambue mtoke kwenye mental slavery .
Huyo ataelewa tu na hapo alipo kapenda dini aliyoko sasa hivi. Mahaba tu yanamsumbua.Mpe mda ataelewa.
 
Calendar gani Gregory au? Yesu alikuwepo kwa stori za Asia tu ila ukienda uchina, japani, korea Africa hakuwepo. Wanaokubali dini za asia ndio wanaosema Yesu alikuwepo. Ila kumbuka kama alikuwepo basi alikuwa asia na kwa ajiri ya Asia tu. Kwa hiyo nawe unaamini walimuulia msarabani ili ww upate kusamehewa mazambi? Basi kama unaamini katika hili Basi pole Sana ndugu. Yaani nyie eti tukimuua Basi ss tutasamehewa dhambi zetu kwani yy ndie aliyekuwa anasababisha madhambi?.
Kabila kumi na mbili za israel
Reuben.Simeon.Levi.Judah.Zebulun.Issachar.Dan.Gad.Asher.Naphtali.Joseph.Benjamin, hawa ndo pepo inawahusu waafrica tuache viherehere jamani, .
Hatuhusiki tunajipendekeza .

Waambie mkuu .

Wakasome ufunuo ni watu wangapi wataiona pepo.

144,000
 
Back
Top Bottom