One of the best asee, filamu na tamthilia nyingi tunazoangalia mkono wake umepitaKama ni simulizi ya kubuni yupo vizuri
Duh kumbe Series ya foundatio imetokana na kitabu alicho andika jamaaOne of the best asee, filamu na tamthilia nyingi tunazoangalia mkono wake umepita
Kama wewe ni mdau wa filamu basi utakua unaikumbuka filamu ya I, Robot aliyoigiza Will Smith; source material ya filamu ilikua ni kitabu cha huyu Mwamba, kuna Tamthilia inaitwa Foundation nayo mawazo ya kuumiza kichwa
Nipo jehanamu inaitwa Dar es salaamukisoma kwa haraka ni stori tu!!👿 ila ukifikiria kwa umakini inaleta sense kwenye vitu kama "kwann niishi milele??, je kuishi milele hakuchoshi au kunachosha?? Vp km hakuna maisha baada ya kifo? Nini maana ya maisha?? Nk" shukrani sana mleta uzi nimepata stori ya kusogezea muda kwenye kijiwe cha kahawa!!! kama upo Masasi njoo tujumuike pamoja!!!