One of the best asee, filamu na tamthilia nyingi tunazoangalia mkono wake umepita
Kama wewe ni mdau wa filamu basi utakua unaikumbuka filamu ya I, Robot aliyoigiza Will Smith; source material ya filamu ilikua ni kitabu cha huyu Mwamba, kuna Tamthilia inaitwa Foundation nayo mawazo ya kuumiza kichwa