Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Mungu haonekani kwa macho ni Nafsi Tukufu iliyo hai ndiyo maana Musa aliongea na Moto kwa niaba ya Mungu.
Wewe utajuaje kama ni kweli musa aliongea na mungu? Kwasababu wewe haukuwepo labda kwenye biblia walikudanganya ili wakushike ujinga.
 
Mungu hayupo kama kweli mungu angekuwepo mimi ningemjua automatically toka nazaliwa
Kwasababu mimi toka nizaliwe najua mungu hayupo nilipo fika darasa la nne kuna mtu ndio alikuja kuniambia mungu yupo na akaanza kuniaimulia hadithi zake. Na mpaka leo nasikiaaga ni hadithi tu. Hadithi zenyewe ziliandikwa na wazungu kwa maslahi yao wao.
 
Mkuu Muumba, Mungu yupo ila napingana na wewe kusema hakuna afahamuye mambo ya Mungu wakati yeye amejidhihirisha kwetu kama roho ni UELEWA MDOGO WA KIBINADAMU KUTAKA KILA KITU TUGUSE NDIO TUAMINI., Kama aliongea na Musa kwa njia ya moto kwanini asiwe yeye Mungu si Kitu cha kushikika kama Akili za BINADAMU ZINAVYOFIKILI MUNGU NI ROHO TUKUFU TAKATIFU HAISHIKIKI NDIO MAANA ALIONEKANA KWA NJIA YA MOTO.
 
Wewe utajuaje kama ni kweli musa aliongea na mungu? Kwasababu wewe haukuwepo labda kwenye biblia walikudanganya ili wakushike ujinga.
Mkuu ukiangalia mpangilio wa Ulimwengu wetu ukatumia akili hata ya kuzaliwa si mpaka uende shule utaamini uwepo wa Mungu nani aliye pangilia haya yote yakawa ktk utaratibu.?
Kwahiyo kama uzima wa huyo mungu upo kwenye nyota za juu, siku hizo nyota zikifa na yeye ndio chali
Mimi nimesema Hakuna Mungu

Sasa wewe ndiye unayepaswa kunikosoa mimi,kwa kuleta Ushaidi unaothibitisha Uwepo wa Mungu.

Kitu ambacho mimi nitafanya ni kuonyesha contradiction zinazomuhusu huyo Mungu.

Mkuu,wewe ni muumini wa dini gani,tuanzie hapo?
Mungu yupo Je umewahi kujiuliza kwanini Ulimwengu upo kwe mpangilio sahihi? Nani amepangilia vizuri bila kuwa na Madhara kwa viumbe wadogo kama mimi na wewe? Matunda ya mwembe yakiwa katika mti wake yanadondoka na kugongana Magari yanagongana ? Kwanini Sayari zinazunguka bila athari kwa zingine ?
 
Mkuu Mungu si kiumbe kama fikila zako zinavyo kutuma Mungu ni Roho Takatifu (Tukufu) Usitegemee utamuona kama mlima au Tembo VIPI ULIWAHI KUONA UCHAWI AU MAJINI? Je unaamini Majini na Uchawi?
 
Nimekuwa nakufuatilia sn. Maswali yako huwa ni magumu mno kwa watu wa upande wa pili,,,,. Atheists. Safi sn kwa matumizi sahihi ya akili

Sent from my TECNO P6 using JamiiForums mobile app
 
nataka kujua kama kuna mungu kama yupo nataka kujua yupi ni wakweli maana hapa duniani kuna miungu wengi mno na kila mtu anakwambia kwamba mungu wake ndo wakweli.
Uko tayari kumjua Mungu wa kweli na mmoja kupitia vitabu vyake vinne? Taurat, Zaburi, Injili ya kweli na Qur'an?

Sent from my TECNO P6 using JamiiForums mobile app
 
Akijisibitisha dhahili naweza kuamini kuwa yupo.
Anajithibitisha kupitia Taurat, Zaburi, Injili ya kweli na Qur'an. Upo tayari ajithibitishe kupitia vitabu vyake hivi vitukufu?

Sent from my TECNO P6 using JamiiForums mobile app
 
Anajithibitisha kupitia Taurat, Zaburi, Injili ya kweli na Qur'an. Upo tayari ajithibitishe kupitia vitabu vyake hivi vitukufu?

Sent from my TECNO P6 using JamiiForums mobile app
Injili ya kwelii ndo ipi hiyoo...
 
Kama kweli mungu anaishi kwenye jua kabla hajaumba hilo jua alikua anaishi wapi?
Na Kama kweli yeye aliviumba vitu vyote vinavyo onekana na visiivyo onekana kwanini hivyo vitu vyake alivyo mwenyewe amevikimbia na kwenda kuishi kwenye jua kali sana.
 
 
nikisema hakuna afahamuye mambo ya Mungu,...
namaanisha kwamba hawa jamaa wanaopingauwepo wa MUNGU wanataka kuchunguza Mungu anapoishi,.
na kwanini alituumba then atuhukumu,...
kwahiyo hapo kuna vitu vya Mungu HAVICHUNGUZIKI MKUU,..thats all what i mean,
SIO KWAMBA matendo yake anayotutendea ndo niseme hivyo,,.
no naamini Mungu hufanya mambo baadhi wanadamu tuzidi kuamini uwepo wake,..
na hufanya mambo ambayo kwa akili za kiinadamu huwa vmakubwa,,,,,,,,,,,
got me?????
 
vCTRMA said:
nikisema hakuna afahamuye mambo ya Mungu,...
Kama hakuna anayefahamu mambo ya Mungu,wewe umejuaje kama huyo Mungu yupo?

Ukishasema kuwa Mungu yupo,hapo tayari umeshafahamu mambo yake

Huwezi kusema z ipo halafu usijue chochote kuhusu 'z',umejuaje kuwa 'z' ipo?
namaanisha kwamba hawa jamaa wanaopingauwepo wa MUNGU wanataka kuchunguza Mungu anapoishi

Mtu anayesema hakuna Mungu hana haja tena ya kujua huyo mungu anakaa wapi,kwa sababu hayupo
kwahiyo hapo kuna vitu vya Mungu HAVICHUNGUZIKI MKUU,..thats all what i mean,

Hebu nipe mfano mmoja wa kitu ambacho hakichunguziki?

Does god is really undetectable?

Do you know what rules of Logic say to such undetectable entity?

If he is undetectable,then you've no authority to claim that he exist
Because there is no means to confirm your claim!
 
Injili ya kwelii ndo ipi hiyoo...
Majibu yangu kwa mrengo uutakao,,, yatabadili kabisa maudhui ya huu uzi...
Injili ya kweli ni ile iliyokuwepo kabla ya "Mtume" Paul hajaichakachua... Nalenga agano la kale la Biblia
 
Anajithibitisha kupitia Taurat, Zaburi, Injili ya kweli na Qur'an. Upo tayari ajithibitishe kupitia vitabu vyake hivi vitukufu?

Sent from my TECNO P6 using JamiiForums mobile app
Sasa hivyo vitabu vinamthibitishaje Mungu zaidi ya kutuletea hadithi za kusadikika tu
 
Sasa hivyo vitabu vinamthibitishaje Mungu zaidi ya kutuletea hadithi za kusadikika tu
Ms Jimena,,,, tenga muda wa kujifunza kupitia vitabu hivi, kuna faida utapata
 
Kama faida gani kwa mfano?
Utapata muda wa kutambua uwepo wa Mungu na pengine ukafa ukiwa na mwisho mwema kiimani juu ya Mungu wa kweli

Sent from my TECNO P6 using JamiiForums mobile app
 
Wewe unaposema mungu yupo kwa sababu ulimwengu upo kwenye mpangilio, nashindwa kukuelewa unapojipinga mwenyewe kwa kusema mungu hana nwanzo wala mwisho ilihali yeye pia yupo kwenye mpangilio.

Je? Mimi nikikwambia ulimwengu pia hauna nwanzo wala mwisho utakubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…