Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Utafiti wa Kitoto sana.

pengine elimu ya jiografia imekupita mkuu. Jua ni moja ya nyota ndogo katika Galaxy yetu. Iweje Mungu aishi kwenye Nyota ndogo ilhali kuna mamilion ya nyota kubwa
 


Jamaa kaonyesha jinsi alivyo na elimu ndogo ya Anga. Hajui jua ni nyota ndogo kabisa iliyopo katika Galaxy yetu. Jamaa kaprove hana uelewa wa mambo ya jiografia. Pia dai lake la kusema eti mtu hawezi fika kwenye Jua kutokana na moto anasahau pia zipo Sayari ambazo kutokana na umbali wake kutoka kwenye jua huwezi karibia hata maili milioni moja kutokana na baridi kali
 
Hongera sana na pole kwa kazi nzito ya muda mrefu. Sasa, hebu tuambie Supervisor wako alikuwa nani katika Utafiti wako ili tujiridhishe kwamba hujachakachua Takwimu ulizokusanya kwa miaka 16 na Ulitumia Tools of Analysis zipi kufikia uamuzi wako bila kusahau Level of Significance.
 
Astaghafirullah mm pia nadhani hivo sbb hata nabii musa alikumbana na mwanga mkali usiotazamika alipoomba amuone
 
C vzr kumchunguza mungu
 
C vzr kumchunguza mungu
Ametupa akili ili tuchunguze, na kuijua kweli ndio maa watu wengi wamekuwa waabudu na sanamu kwasababu hudanganywa kuwa ukichunguza ukweli dhambi kwa mantiki hii Mungu angetuumba na akili za mbuzi tu
 
Mkuu unanituhumu kutokujua lakini umeshindwa hata kuwa na uelewa mdogo kuhusu Jua.

Jua letu ni mojawapo ya nyota katika mfumo wa anga yetu (milk away galaxy) na mimi hakuna nilipo aminisha kuwa Mungu anaishi katika Jua letu ninachosema utafiti wangu umeonyesha Mungu anaishi katika nyota isiyoweza kukaribiwa maana katika sayari unaweza kufika kama tuonavyo katika sayari ya Mass kuna vifaa vipo katika sayari vikifanya uchunguzi lakini katika Jua nyota hakuna kifaa kinaweza kutua maana hakuna aridhi ni mlipuko wa myeyungano wa knuklia unaoendelea.
 
16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.
1 Timotheo 6 :16

Kama unaamini bible tafakari hiyo aya
 
16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.
1 Timotheo 6 :16

Kama unaamini bible tafakari hiyo aya
 
Nshakuelewa unataka nasisi tuabudu JUA
Hapana mkuu majua yapo mengi hatujui makazi maalumu ya Mungu ni yapi.

Mfano katika anga ambamo sisi tupo na nyota yetu ya Jua (milk away galaxy) kuna mabilion ya ma Jua nyota.


Bible
16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.
1 Timotheo 6 :16


 

Ni kweli mambo mengi dini zinatudanganya kwa ajiri ya maslahi yao binafsi ila ukijifunza ukaujua ukweli inasidia kumjua Mungu si kama wafia dini wanavyotufundisha njia zinazolenga sadaka kwa maslahi yao na family zao
 
Utafiti wa Kitoto sana.

pengine elimu ya jiografia imekupita mkuu. Jua ni moja ya nyota ndogo katika Galaxy yetu. Iweje Mungu aishi kwenye Nyota ndogo ilhali kuna mamilion ya nyota kubwa
Rudia kusoma bandiko langu ujiridhishe vyema hakuna niliposema Mungu anaishi kwenye Jua letu
Nimesema Mungu anaishi katika moja ya majua (Nyota)
Na siku specify kuwa Nyota - Jua ipo Andromeda, Milk away galaxy, X6 maana galaxy zipo mabilioni
 
Nadhani kuna sehemu haujanielewa au ni ubishani lakini elimu niliyonayo kuhusu geography inanitosha kabisa

Hii ni Jua kubwa katika mfumo wetu Milk away galaxy
Angalia pembeni yake nukta ya Jua letu hapo ufikiri na ujifunze kusoma na kuelewa
Lakini pia ndio challenge lazima tutofautiane kimutazamo
 
Usiabudu chochote kilicho angani wala aridhini ,hiyo ya jua kuwa mungu unaturudisha 3000 yrs ago wakati huo wagiriki walikuwa wanaabudu sana jua
 
Mm haniingii akilini kua mungu Ana mtoto kama ni hivo basi Ana baba na babu na wajukuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…