Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauli ya kwamba Mungu anaishi katika mojawapo ya nyota za jua inaonesha dhahiri jinsi elimu yako ilivyo ndogo...narudia tena elimu yako ndogo na sijui hata Hiyo research umefanyaje mana sioni research Bali naona hypothesis with very weak proofs...naomba ukasome kwanza jua na nyota ni nini then uje upya kuleta mjadala wako...na usilitumie vibaya neno research..
Hongera sana na pole kwa kazi nzito ya muda mrefu. Sasa, hebu tuambie Supervisor wako alikuwa nani katika Utafiti wako ili tujiridhishe kwamba hujachakachua Takwimu ulizokusanya kwa miaka 16 na Ulitumia Tools of Analysis zipi kufikia uamuzi wako bila kusahau Level of Significance.Kuanzia 1999 mpaka sasa zaidi ya miaka 16 nimekuwa nikifanya utafiti wapi yalipo makazi ya Mwenyezi Mungu Kisayansi na Kutumia Vitabu vitakatifu hasahasa Biblia Takatifu nimepata majibu pasina shaka kila mumoja wetu atakubaliana nayo.
Utafiti huu haulengi kumchafua mtu mtu yeyote kwa imani yake naomba atakayeshindwa kuelewa asiwe na jaziba maana ni utafiti wangu binafsi.
KISAYANSI; Mpangilio na Usanifu wa muundo wa Ulimwengu wetu ni mpangilio uliofanywa kwa usahihi ndio maana kila kitu kipo katika sehemu yake bila kuathiri kingine kwa mfano; Dunia na Sayari zote katika mfumo wa Jua letu zinalizunguka Jua kwa kasi lakini haziwezi kugongana Na katika Anga yetu kuna Nyota mamilioni na pia Kuna Majua Mengine yametengeneza mifumo mifumo ya Sayari kama tuliyo nayo katika Jua letu, Vitu hivi vinaonekana kwa mbali na haviwezi kufikika kwa urahisi kwa akili za Kibinadamu.
Nina hakika Mwenyezi Mungu anaishi katika mojawapo ya Nyota za Jua kwa kuwa hakuwezi kufikika kwakua kuna joto {moto} kali sana hakuna chochote kinaweza kukaribia hata kwa kilometa milioni moja.
Katika Jua ndimo kulimo uhai Jua ndicho kitu ambacho hakiwezi kusogelewa wala kuchunguzwa na kitu chochote hata kama utatumia kiona mbali utaishia kuvaa miwani ya kuzuia mwanga ili macho yako yasipofuke kwa miale mikali ya Mwanga wa jua.
Hata Uhai wa viumbe wote hai hutegemea Jua ndiyo maana katika Bara Antaktika uwezekano wa viumbe hai kuishi ni mdogo kwa sababu hupata kiasi kidogo cha jua katika msimu wa mzunguko wa Dunia Ni aina Flani ya Bakteria huweza kuishi katika eneo hilo na Samaki wanaositahimili baridi kari INAYOPELEKEA MAJI KUGANDA NA KUWA BARAFU, NA ENEO LOTE LA BARA ANTAKTIKA NI BARAFU NA MVUA INAYONYESHA NI KWA MARA MOJA KATIKA msimu wa Mwaka.
Jua haliwezi kukalibiwa na kitu chochote kwa maana hiyo Jua linatunza Nafsi Takatifu iliyo hai hakuna chochote chenye mwili au Kitu kinacho weza kusogelea jua kikawa salama kitaungua na kunasa katika Jua.
JUA ndio kitu Kitukufu ambacho mwanadamu kwa uelewa wake hawezi kufikia wala kujaribu kufanyia utafiti.
Katika utafiti wangu nimejifunza kwa kuwa Jua ndilo lina Uhai kwa Viumbe basi kuna uwezekana mkubwa wa 94.6% Muumba anaishi katika Jua Sehemu Tukufu isiyoweza kusogelewa na uchafu wa aina yoyote ya mwanadam.
BIBLIA TAKATIFU (UTAFITI)
Katika vitabu Agano la kale Mwenyezi Mungu anatolewa Sadaka za kuteketezwa, Wanafukiza ubani katika sehemu walizojenga Nyumba za Ibada kwaajiri ya MWENYEZI MUNGU.
Kwanini aunguziwe vitu apokee sadaka kwa moshi?
Kwanini asipewe ng'ombe au Kondoo mzima mpaka achomwe aunguzwe? Ni kwasababu Nafsi ya Mungu inaishi katika moto na Inapokea katika moto.
Kwanini makanisa Mengi yanachoma Ubani katika Nyumba zao za Ibada, Kwanini wasitengeneze Marashi yenye harufu ya Ubani?
Wanachoma kwa kuwa mlengwa Mtukufu anapokea Vitukufu katika moto mjue ya kuwa kila kitu kikichomwa kinatoka katika hali hali nzuri au mbaya hata Dhahabu ili Ing'ae ni lazima ichomwe katika moto.
Kutoka 19: 16-20 Inaelezea jinsi musa anapewa Amri 10 na Mungu na Mwenyezi Mungu anamwambia Musa watu wajitakase kabla ya kukalibia mlima na Mawinguni Kunatokea Radi, Ngurumo na Umeme na Mungu anashuka katika moto na kumpa amri Musa Mlima Sinai unatetemeka kwa utisho Unafuka moshi mkali kama moshi wa tanuu unafunika Mlima wote.
Kwanini Mungu atokee katika moto?
Ni kwa sababu anataka watu wajue Nafsi Tukufu ya Mungu inaishi katika Moto ANAKUJA KWA STAILI YA MAISHA YAKE KWA MAZINGIRA ANAYO ISHI LAKINI WANADAMU WANASHINDWA KULIJUA HILO.
KAMA MUNGU ANALETA AMRI 10 KWA STAILI YA MOTO BASI YEYE ANAISHI KATIKA MOTO KWA HIYO UTUKUFU WA MUNGU HATUWEZI KUUFIKIA BILA MWILI KUFA IKABAKI NAFSI.
Kwa hiyo KIFO NI FAIDA NA NDIO STAREHE YA PEKEE ALIYOTUZAWADIA MWENYEZI MUNGU KWA KUWA TUTAISHI KATIKA UTUKUFU KAMA NAFSI ILIYO KARIBU NA MUNGU BILA KUFA WEWE NI MTUMWA WA DUNIA.
Uwe TAJIRI, uwe MASIKINI wewe ni MTUMWA wa DUNIA hakuna RAHA UTAKULA KWA JASHO, UTALALA KWA KUJIGEUZA GEUZA USIUMIZE UPANDE MMOJA WA MWILI,
Duniani hapa tupo kwa ajili ya kuandaa Maisha ya Utukufu wa milele kama nafsi Katika Jua.
Utafiti wangu unaendelea kadiri Mungu atakavyonijalia ntawaletea ninayoendelea kujifunza Pia ninajitahidi kutafuta njia ya Kitaalamu ya kuweka Video katika kiona mbali ili niweze kuwashirikisha kwa yale ambayo mimi naendelea kuyavumbua kwa kutumia kiona mbali Ninazunguka sehemu mbali mbali kujifunza jinsi Dunia yetu ilivyo na ni kazi ngumu ila ninapata michango ya mawazo kwa watu wengi sana ambao ninawashirikisha sehemu mbalimbali za Dunia.
KARIBUNI KWA MAONI NA USHAURI..
Hahahaaaa....Siyo kosa lao mkuu hawajui utafiti ni andiko la aina gani.Hatua na misingi yake ya uandishi.Huu ndio utafiti wa miaka 16 ?
C vzr kumchunguza munguKuanzia 1999 mpaka sasa zaidi ya miaka 16 nimekuwa nikifanya utafiti wapi yalipo makazi ya Mwenyezi Mungu Kisayansi na Kutumia Vitabu vitakatifu hasahasa Biblia Takatifu nimepata majibu pasina shaka kila mumoja wetu atakubaliana nayo.

Mkuu unanituhumu kutokujua lakini umeshindwa hata kuwa na uelewa mdogo kuhusu Jua.Kauli ya kwamba Mungu anaishi katika mojawapo ya nyota za jua inaonesha dhahiri jinsi elimu yako ilivyo ndogo...narudia tena elimu yako ndogo na sijui hata Hiyo research umefanyaje mana sioni research Bali naona hypothesis with very weak proofs...naomba ukasome kwanza jua na nyota ni nini then uje upya kuleta mjadala wako...na usilitumie vibaya neno research..
16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.Kauli ya kwamba Mungu anaishi katika mojawapo ya nyota za jua inaonesha dhahiri jinsi elimu yako ilivyo ndogo...narudia tena elimu yako ndogo na sijui hata Hiyo research umefanyaje mana sioni research Bali naona hypothesis with very weak proofs...naomba ukasome kwanza jua na nyota ni nini then uje upya kuleta mjadala wako...na usilitumie vibaya neno research..

Hapana mkuu majua yapo mengi hatujui makazi maalumu ya Mungu ni yapi.Nshakuelewa unataka nasisi tuabudu JUA
Hususani kwa inchi za afrika kuna mambo nyuma ya pazia tunafichwa ila ukweli nikuwa dini zetu zinamuelezea Mungu tofauti na inavyotakiwa kwaajiri ya maslahi ya diniHongera sana Mkuu,sasa naanza kuunganisha dots naona kuna kitu bado wanadamu tunafichwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera Mkuu binafsi nimekuelewa ..... ......kuna watu wanapinga tu! Kwasababu ya hivi vitabu vyao wanavyoviabudu (Wanafikiri Mungu Anafungwa na Misingi ya Biblia na Quran)( Kumbe Mungu Mwenyezi Aweza Kujifunua Kwako kwa namna nyingne na kukujulisha mengine(Hongera Sana Mkuu)
Rudia kusoma bandiko langu ujiridhishe vyema hakuna niliposema Mungu anaishi kwenye Jua letuUtafiti wa Kitoto sana.
pengine elimu ya jiografia imekupita mkuu. Jua ni moja ya nyota ndogo katika Galaxy yetu. Iweje Mungu aishi kwenye Nyota ndogo ilhali kuna mamilion ya nyota kubwa
Nadhani kuna sehemu haujanielewa au ni ubishani lakini elimu niliyonayo kuhusu geography inanitosha kabisaJamaa kaonyesha jinsi alivyo na elimu ndogo ya Anga. Hajui jua ni nyota ndogo kabisa iliyopo katika Galaxy yetu. Jamaa kaprove hana uelewa wa mambo ya jiografia. Pia dai lake la kusema eti mtu hawezi fika kwenye Jua kutokana na moto anasahau pia zipo Sayari ambazo kutokana na umbali wake kutoka kwenye jua huwezi karibia hata maili milioni moja kutokana na baridi kali