Barikiwa Sana.Ni kweli mambo mengi dini zinatudanganya kwa ajiri ya maslahi yao binafsi ila ukijifunza ukaujua ukweli inasidia kumjua Mungu si kama wafia dini wanavyotufundisha njia zinazolenga sadaka kwa maslahi yao na family zao
Kukaa kwenye Nuru isiyokaribiwa Siyo kithibitisho kwamba ni jua...vipi kuhusu nyota nyingine zisizo karibiwa?...na kauli ya kukaribiwa inaweza kuwa inaelezea umbali au joto ya nuru hiyo, Hivyo basi reference hiyo pekee kwa upande wangu inaweza isiwe Kigezo kikuu kuamini ni jua a.k.a nearest star...16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.
1 Timotheo 6 :16
Kama unaamini bible tafakari hiyo aya
Asante, lakini tuone Nyota ndio Nuru maana sayari haina sifa ya kuwa nuru hata kama ingekuwa kubwa kiasi gani maana bado itaendelea kuwa na uhai kutokana na nguvu ya uvutani katika nyota iliyoisababisha hiyo sayari kuwa haiKukaa kwenye Nuru isiyokaribiwa Siyo kithibitisho kwamba ni jua...vipi kuhusu nyota nyingine zisizo karibiwa?...na kauli ya kukaribiwa inaweza kuwa inaelezea umbali au joto ya nuru hiyo, Hivyo basi reference hiyo pekee kwa upande wangu inaweza isiwe Kigezo kikuu kuamini ni jua a.k.a nearest star...
Shukrani pia kwa Jibu lenye reference nzuri,
Nadhani kuna sehemu haujanielewa au ni ubishani lakini elimu niliyonayo kuhusu geography inanitosha kabisa
Hii ni Jua kubwa katika mfumo wetu Milk away galaxy
Angalia pembeni yake nukta ya Jua letu hapo ufikiri na ujifunze kusoma na kuelewa
Lakini pia ndio challenge lazima tutofautiane kimutazamo
View attachment 861573
Rudia kusoma bandiko langu ujiridhishe vyema hakuna niliposema Mungu anaishi kwenye Jua letu
Nimesema Mungu anaishi katika moja ya majua (Nyota)
Na siku specify kuwa Nyota - Jua ipo Andromeda, Milk away galaxy, X6 maana galaxy zipo mabilioni
Hakika yeye ni mungu mmoja nasi twamuabudu hakuzaliwa wala hakuzaa wala hafanani chochoteMkuu, Mungu hajazaa wala hajazaliwa
Mungu siyo kiumbe
Wamwabuduo Mungu humwabudu kwa roho na kweli
Usijali ukifa utajuaHapana mkuu majua yapo mengi hatujui makazi maalumu ya Mungu ni yapi.
Mfano katika anga ambamo sisi tupo na nyota yetu ya Jua (milk away galaxy) kuna mabilion ya ma Jua nyota.
Bible
16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.
1 Timotheo 6 :16
View attachment 861569
Mkuu hakuna niliposema Mungu anaishi katika Jua letuNimekuelewa Mkuu. Haya tuambie Mungu ataishije kwenye Nyota ndogo kuliko zote ilihali zipo nyota kubwa?
Watu wengi hawajui kuwa Mungu haonekani, hagusiki, na hutakuja umuone Mungu kwani ndivyo alivyo. Hata huko mbinguni hao viumbe waliokuwa huko hawajawahi kumuona. Lusifa mwenyewe hajawahi kumuona. Watu wanasema Mungu yupo mbinguni, wakati si kweli. Mungu yupo pote.
Mkuu hakuna niliposema Mungu anaishi katika Jua letu
Nilisema anaishi katika moja wapo ya majua nyota ila sikubainisha ni katika milk away Galax, Andromeda, wala galaxy nyinginezo ila kwa sifa za Mungu zilivyo ambako hakufikiki lazima ni katika nyota
Kuita majua ni kutafta lugha nyepesi kufahamisha ili wengi wafahamu Jua ni NyotaUnaposema Majua unatoa tafsiri gani mkuu? Nini ulilenga? Jua ni jina la nyota yetu. Kila nyota inasayari zake. Kila sayari ina setilaiti zake. Sasa ukisema majua ulimaanisha huenda Mungu anaishi kwenye moja ya Nyota zilizopo angani?