Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

unajua www umetokana na nini?
 
kaumba dunia.watu.wanyama..ndege.bahari n.k haya yote hauamini kwamba mungu yupo?
unataka niamini kuna mungu kwa kuwa kuna wanyama,bahari ndege n.k wakati huyo mungu mwenyewe sina hata chembe ya hisia nae kama yupo kwann ajifiche..?
kwann aniweke duniani penye mateso hivi kama kweli ananipenda..?
kuwepo kwa vitu hakunifanyi mimi kujua kama yeye yupo ila kujidhiilisha kwake kwangu kutanifanya mimi nijue mungu yupo
 
Mkuu Mungu ni nafsi hali wala hanywi siyo kiumbe Mungu Niafsi hai iliyotukufu inayoishi katika Jua.
 
Hata huyo mungu mwenyewe ni utata tu maana haonekani wala kumuhisi amekuwa wa kufikirika tu,Mara anakaa mbinguni mara anakaa kwenye jua...!!
hata mwanzo wake haujulikani.. tuamini kipi sasa..?
Mkuu huu ni utafiti siyo bla bla soma itaelewa
 
Kama umekua mtenda mema utauona ifalme
 
unajua www umetokana na nini?
Nimetokana na Shahawa.
Hiyo shahawa isingekuawepo kama kusingekua na aina flani ya vyakula
Najua unajua kua vyakula vinatoka ardhini na ili ardhi haiwezi kutoa chakula bila kua na mbolea.

Lakini kumbuka binaadamu akifa huzikwa ardhini na kuishia kuliwa na Ardhi.

Hiyo ni kuthibitisha kua uhai ni kitu kinachoendelea hakina mwisho yani ni mfano wa mduara flani hivi.
 
Unachekesha sana mtoa post,hakuna ajuaye makazi ya mungu,kwa kuwa mungu ndo muumba wa vyote usijeukashamgaa anaishi hata kwenye jua lenyewe,ila tu kwa kuwa ulipo mungu yupo,mungu anaishi nasi ulimwengu mzima
 
Mkuu Rudia kusoma post vizuri , Mungu anaishi katika moja wapo ya Nyota za Majua.
Umesema Mungu anakaa kwenye jua sawa labda kama umeedit..Mimi nimesema sizani kama Mungu akae kwenye nyota Jua ilioko karibu na dunia..Alfu nimekuonyesha picha hapo kuwa kuna mapande ya nyota si hako ka Jua kadogo sana...
 
Sikukatazi kujibu hoja zao juu ya kila kitu KUHUSIANA na Qur'an KWA Qur'an ila ni vyema Ukawa makini sn kutumia Qur'an kujibu hoja za Qur'an. Majibu yako yatakuwa msaada mkubwa sn kwa walio tayari kujifunza
 
Ni mbaya/aibu sn Ku- determine suala la Mungu na uwepo wake Bila kujifunza na kumjua kupitia vitabu vyake na Sayansi pia.
Nakushauri jifunze, mwisho wa ck hautajiuliza maswali Mepesi kiwango hiki
 
unataka kusema mwanamke akishapokea shahawa ndo bhs.mtoto anatokea hakuna chochote kinachoendelea?shahawa zile ni maji.mbona mtoto akizaliwa anakuwa kiumbe kamili?kwann asitoke maji.maana mule kwenye uke kumeingizwa maji tu
 
Kwanini asiwe na mwanzo wala mwisho..?
HUWEZ MPANGIA MUNGU.KWANI WEWE ULIMUOMBA AKUUMBE AU YEYE MWENYWE ALIAMUA AKUUMBE.KABLA YA WWW KUZALIWA UNAJUA ULIKUWA WAPI?HUO NI UWEZA WAKE.YEYE NI ALPHA NA OMEGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…