Hii topic ni kichefuchefu kitupu.
Nilitaka nipite bila Ku comment lkn mate yamenijaa mdomoni ndio maana nika comment.
Kwanza sitaki kujua Puf puf inarangi gani wakati hiyo kitu haipo
hakuna alie wahi iona zaidi ya kuisikia tu.
Wengine anaishi kwenye moto, wengine juu ya mbingu ya saba!
Mukiulizwa mumemuona? hapana "ni vitabu vinasema"
Vitabu hivyo vimeletwa na nani ? "Muhammad/Yesu"
Je , kuna mmoja wapo kati ya hao aliepata bahati hata ya kumuona tu "hapana"
Sasa ikiwa hao walie waletea hivyo vitabu wao wenyewe hawajawahi kuwaona wewe unapata wapi ujasiri na mapovu kua Mungu yupo?
NB: Mungu hayupo kama nadharia zetu zinavyo tutuma.
Hayupo kwenye jua wala hajajificha juu ya mbingu ya saba.
Na kama angekuepo basi duniani kusingekua na imani nyingi zinazo kinzana mahali alipo lkn zinakubaliana uwepo wake.