Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Tunarudi pale pale.Ulimwengu na hususani Dunia yetu ni uthibitisho tosha wa uwepo Mungu,
Unafahamu Dunia imekuwepo au imeumbwa?
Ulimwengu ambao una mabaya mengi hauwezi kuwa umetokana na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Maisha yenye mabaya, dhiki na kifo kinachotenganisha wapendanao pia hayawezi kuwa yametokana na Mungu huyo.
Ulimwengu huu na maisha haya havitibitishi kwamba Mungu huyo yupo.
Vinathibitisha kwamba Mungu huyo hayupo.