Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Ulimwengu na hususani Dunia yetu ni uthibitisho tosha wa uwepo Mungu,
Unafahamu Dunia imekuwepo au imeumbwa?
Tunarudi pale pale.

Ulimwengu ambao una mabaya mengi hauwezi kuwa umetokana na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Maisha yenye mabaya, dhiki na kifo kinachotenganisha wapendanao pia hayawezi kuwa yametokana na Mungu huyo.

Ulimwengu huu na maisha haya havitibitishi kwamba Mungu huyo yupo.

Vinathibitisha kwamba Mungu huyo hayupo.
 
Ukisema ni mpangilio wa Mungu na jibu analo mwenyewe kimsingi unasema humuelewi huyo Mungu na huwezi kumuelezea.

Kama humuelewi na huwezi kumuelezea Mungu unayemuamini unaweza kuwa unaamini Mungu ambaye hayupo.

Kipi kinakufanya uamini kwamba yupo wakati hata huwezi kumuelezea?
Tatizo una maswali yasiyo zingatia itifaki, unapoongelea Mungu kuwa na heshima.

Uhai wetu viumbe na ulimwengu ni kielelezo cha muumba wa vyote.

Dunia imeumbwa au imekuwepo?
 
Uhai wenye mabaya utatokaje kwa Mungu asiye na mabaya mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Ukisema ni mpangilio wa Mungu na jibu analo mwenyewe kimsingi unasema humuelewi huyo Mungu na huwezi kumuelezea.

Kama humuelewi na huwezi kumuelezea Mungu unayemuamini unaweza kuwa unaamini Mungu ambaye hayupo.

Kipi kinakufanya uamini kwamba yupo wakati hata huwezi kumuelezea?

Tarehe 17,October,2016 Nilipokea sms kutoka Stockholm kwa rafiki yangu sikuifurahia message hiyo.
Message inasema hivi.

Rafiki nimekuwa nikijifunza mambo mengi yananipa changamoto lakini kuanzia sasa sitaki kufahamu kuhusu Mungu kwa

SABABU HIZI.

1.Dunia yetu ktk Ulimwengu ni kama punje ngano katika mabillion ya nyota na sayari na vitu vingi vinavyoelea ktk anga.

2.Nimetafakari ukubwa wa mwanadamu ktk Ulimwengu nisawa na bakteria asiyeonekana Mungu kama ndiye muumba ameumba sayari na nyota si binadamu ambae itamlazimu Mungu kuvaa miwani ili kuona bacteria binadamu.

Aliendeleza barua yake kwa mambo mengi sijaandika.

Lakini ukweli Mungu ndie muumba vyote uthibitisho ni uhai wetu.

Uthibitisho ni Ulimwengu wetu pamoja na kuwepo billion za sayari zinazozunguka katika anga kwanini hazigongani, kwanini vimondo havifikii kudondokea Dunia na kuleta madhara ?

Nini kinatukinga na majanga makubwa?

Watu wa aina yako wanatumia elimu vibaya na kuwapotosha watu

Kiranga Mungu yupo uhai na akili ni kielelezo tosha cha uwepo HAYO MASAYARI NA NYOTA BILLION NA BILLION YAPO KWA KUILINDA DUNIA YENYE VIUMBE HAI
 
Unasema nini kinatukinga na majanga makubwa wakati wa Haiti 900 wamekufa hivi karibuni kwa hurricane Amdrew. Hamna kilichowakinga na janga hilo.

Kama kuna Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote swali la kuuliza si nini kinatukinga na majanga makubwa ila ni kwa nini Mungu kama huyo kaumba ulimwengu ambao majanga yoyote yanaweza kutokea wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao majanga yoyote hayawwzi kutokea?

Hujajibu hili swali, umesema Mungu mwenyewe ndiye anajua, which means hata wewe unayemuamini huyu Mungu humuelewi na huwezi kumuelezea, which means unaweza kuwa unaamini Mungu ambaye hayupo.

Kwa nini uamini Mungu huyu yupo wakati ana contradictions kibao?
 
Lazima ukubali uwepo wa Mungu yanayotokea Haiti ni madogo sana fikir kama kingedondoka kimondo (astroid) kikubwa pengine kinaweza kuingamiza Dunia nzima.
Mkuu unavoongea angalia watu 2000 au 900 kati ya watu zaid ya billion 10 na ni wachache ni kama demo ya kutushitua tusijisahau.

Tetemeko la watu 20 au 10 ni wachache sana Mungu anatulinda na msjanga.
 
Kama angekuwepo Mungu hata mtu mmoja asingeumia.

Imekuwaje Mungu akaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kabisa?
 
malizia mkuu; mtu akifa anaenda kwenye jua
Mkuu Mimi kufanya utafiti kuhusu Jua hakuleti jawabu kuwa MTU akifa anaenda kwenye Jua.

Majua (Nyota) yapo mengi katika Ulimwengu huu ila naamini mojawapo ya nyota majua ndiko kuna muumba wetu.

Soma 1Timotheo 6:16 Yeye peke yake hapatikani na umauti amekaa katika nuru ya mbali isiyoweza kukaribiwa hakuna mwanadamu aliye mwona wala awezaye kumwona utukufu una yeye
 
Kama angekuwepo Mungu hata mtu mmoja asingeumia.

Imekuwaje Mungu akaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kabisa?
Tulipewa akili kutambua mema na mabaya kila jambo ni changamoto ktk maisha ila fahamu kuna maisha mengine baada ya kifo ni ukweli usiopingika
 
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao unawezekana kuwa na mabaya wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu usiowezekana kuwa na mabaya?

Hujajibu swali hili.
 
Je kweli mungu ni mkubwa kama vitabu vya dini vinavyosema?
Ukisema mungu mkubwa maana yake anafanana na kitu

Kama vile (mt everest) mt Kilimanjaro etc. vitabu vinasema mungu ana uwezo kuliko vitu vyote
Je anaweza kuumba kitu cha kumzidi yeye mungu na kama anaweza kuumba kitu cha kumzidi bac huyo mungu hana uwezo
Na kama hana uwezo wa kuumba kitu cha kumzidi yeye bas uwepo wa nguvu zake za kufanya kila kitu haupo

Na je huyohuyo mungu ilikuwaje mtu mweus akatokea na wakati aliumba mtu mweupe
Kwa mujibu wa vitabu vinavyoonesha?
Na kwann uvumbuz wa vifaa vyote unatoka kwa watu weupe je mungu aliwapendelea wao zaidi? Je ni kweli kwamba riziki hutoka kwa mungu bac km ni hivyo bac mungu ana upendeleo kampa mo kampa said barheresa mie kaninyima huyu mungu gani anaesimuliwa ktk vitabu?kunatoke misiba ajali watu husema kapanga mungu

Kwa nn huyu mungu awe wa matatzo je huyu ni mungu wa ukweli au matatizo?
 
We sikiliza umenichosha kwa barua yako isiyokuwa na mashiko huo utafit ulioufanya ni batili na hujielewi unachosimulia
Kwanza umesema mungu anakaa juani na binadamu yeyote hawez kufanya utafiti. Hata kwa kiona mbali

Je wewe ni nani au c binadamu uliosema hawawez kufanya utaft? Niambie sasa ww nani
Yaani umebunibuni tu kutulizisha napo ndo umeharbu kabisa bora unyamaza tu
Umesema jua lina moto mkali hata chochote hakiwezi kukaribia pale

Soma mwanzo sura 1, 26-27 inasema mungu akasema na tufanye mtu kwa mfano wetu akatawale wanyama ndege etc

27 mungu akamuumba mwanamume na mawanamke kwa mfano wake kwa sura yake.

Haya niambie mungu anafanana na binadamu anasikia maumivu anahisi njaa etc sasa huyu mungu ataaje kwenye joto hilo moto huo unaofikia matrion ya nyuz joto hizo?je haungui c anafanana na binadam acha hizo swaga zako.
 
Je kweli mungu ni mkubwa kama vitabu vya dini vinavyosema?
Ukisema mungu mkubwa maana yake anafanana na kitu

Kama vile (mt everest) mt Kilimanjaro etc. vitabu vinasema mungu ana uwezo kuliko vitu vyote
Je anaweza kuumba kitu cha kumzidi yeye mungu na kama anaweza kuumba kitu cha kumzidi bac huyo mungu hana uwezo
Na kama hana uwezo wa kuumba kitu cha kumzidi yeye bas uwepo wa nguvu zake za kufanya kila kitu haupo

Na je huyohuyo mungu ilikuwaje mtu mweus akatokea na wakati aliumba mtu mweupe
Kwa mujibu wa vitabu vinavyoonesha?
Na kwann uvumbuz wa vifaa vyote unatoka kwa watu weupe je mungu aliwapendelea wao zaidi? Je ni kweli kwamba riziki hutoka kwa mungu bac km ni hivyo bac mungu ana upendeleo kampa mo kampa said barheresa mie kaninyima huyu mungu gani anaesimuliwa ktk vitabu?kunatoke misiba ajali watu husema kapanga mungu

Kwa nn huyu mungu awe wa matatzo je huyu ni mungu wa ukweli au matatizo?
Hii ni nukuu ya kitambu kilichoandikwa na bwana mmoja anaitwa de bono
 
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao unawezekana kuwa na mabaya wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu usiowezekana kuwa na mabaya?

Hujajibu swali hili.
Mkuu, Mungu ndie aliye mbingu na inchi na kila kitu makusudi ya kuumba wema na ubaya nuru na Giza ni ktk kuwafanya viumbe waishi katika utayali wa kujua uwepo wa muumba wao.

Binadamu ana akili kufanya kosa ni hiari yake akijua kabisa ni uovu.

Maisha kutofautiana kati ya moja na ingine ni suala la kupangilia mamlaka za kiutawala kama Mungu alivyoona inafaa.
 
Utasemaje Mungu kafanya hili na lile wakati huwezi hata kuthibitisha kwamba yupo?

Kama hayupo atafanyaje hili na lile? Atakuwaje mbingu na nchi?

Unaweza kuthibitisha kwamba yupo na hizo si hadithi tu?
 
Back
Top Bottom