Ukweli wasioupenda Watanganyika au Watanzania Bara

Ukweli wasioupenda Watanganyika au Watanzania Bara

Yule Waziri aliekua akihutubia kanisani chuki zake za wazi juu ya wazanzibari na waarabu Alikua Mzanzibari mweusi au?
Wazanzibar tatizo lenu ni kuwa mna ubinafsi. Mngeamua wote kuwa hamtaki muungano na bara au muungano uwe wa namna nyingine hakuna angeweza kuwazuia. Hebu ona kama sasa. Mpaka rais wa Jamhuri ni mzanzibar. Mnashindwa nini kutekeleza?
 
Elimu hata mleta mada anayo. Kibaya zaidi Ni Elimu ya dini.

Happ anachotafuta Ni kuwasafisha WAARABU ionekane walikuwa watu wema sana
Jambo gani la kheri alifanya Mtanganyika toka alipoivamia Zanzibar? Labda kuua watu , kunajisi wanawake, kuiba, Na kubambikis watu kesi Na kutia viboko
 
Halafu usichokijua mleta uzi hayo mabaki ya waarabu unao waona wamesalia hapo zenji wametokana na zinaa la ukoloni la kiarabu lililokua likiwabaka na kuwaingilia kinguvu wadada na wamama wenye asili ya kiafrica na wakipata uja uzito basi huzaa hao waarabu koko waliojaa telee hupo pemba na unguja mwarabu hata siku moja hajawahi kufikilia kufunga ndoa na nyani na hata hao waarabu vumbi na wao wana oana wao kwa wao wabaguzi

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Soma mleta mada kaandika nini, wacha jaziba

Tatizo mkiona Mwarabu mnadhani ndio MTUME.

Mnafumba macho, hamtaki kabisa kukubalika huu ukweli.
 
Kama zako za kwenye madufu.

#MaendeleoHayanaChama

Makanisa kazi Yao hii

Tatizo mkiona Mwarabu mnadhani ndio MTUME.

Mnafumba macho, hamtaki kabisa kukubalika huu ukweli.

Tatizo anayetuuwa tunamwona Na kutesa ni Mtanganyika ameweka jeshi lake kila kipembe Na Hakuna maendeleo yoyote kwetu
 

Tatizo mkiona Mwarabu mnadhani ndio MTUME.

Mnafumba macho, hamtaki kabisa kukubalika huu ukweli.

Lissu , hajapigwa risasi Na waarabu, Saanane , Mwangosi Na wengine waliookotwa Coco beach walishughulikiwa Na waarabu ?
 
Rais wa Tanzania ni Mzanzibari, ingekuwa unachosema ni ukweli asingevumilia hili.

Si alikuwa Na muuwaji kwenye system ileile ya Mtanganyika. Hao ndio watapia mlo. Vibaraka toka Day one
 
Kwahiyo hayati Abeid Aman Karume wewe unaona alikua mwehu sana kuongoza kuondoa utawala wa waarabu Zanzibar. Kwamba babu wa wazanzibar waliopoteza uhai kwenye vita ya 1964 walipoteza maisha yao bure. Kwamba wangeacha wakoloni wakiarabu waendelee kuwatawala kwasababu mwarabu kunufaika na mazao ya kilimo ya Zanzibar na kuuza pembe za ndovu kutoka Tanganyika kwa faida ya Oman ni jambo zuri tu wazanzibari wangeendelea kutumikishwa kwa manufaa ya Oman.
Hivi umeamua kuwapenda wakoloni kiasi hiki🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
Waarabu na Wazanzibari ni ndugu wa damu na wa asili kabisa maana Waarabu ndio walioleta ukombizi kwa Taifa la Zanzibar.

Waarabu ndio watu walioweza kuishi kijamii pamoja na Wazanzibari kwa miaka mingi hadi kuchanganya damu na Wazanzibar walio wengi na kuishi km jamii moja tena kwa upendo kabisa.

Waarabu ndio walioipa Nchi ya Zanzibar hadhi na heshima kimataifa na kujulikana kama ni nchi, bila ya Waarabu hata hao Vibaraka CCM-ZANZIBAR wasingeweza kupata nyadhifa mbali mbali za utawala hapo Zanzibar badala yake wangekua tu ni watu dhalili kwenye mkoa wa Tanganyika.

Kwahiyo ni wazi kuwa Waarabu walikuja Zanzibar kwa ajili ya ukombizi na kuwasaidia Wazanzibari waweze kuwa watu wenye hadhi na kuheshimika dunianiani kote.

Mwarabu hivi sasa ndio anaeijenga Zanzibar sijamuona Mtanganyika akija kuekeza Zanzibar sekta muhimu kama bandari kujenga majumba viwanja vya ndege naona mikataba imetiwa na waarabu sijamuona hata mtanganyika mmoja au.

Tusisahau fadhila kwa Uchu wa Madaraka na Njaa. WENYE AKILI WAMESHANIELEWA!!

Na anaebisha Abishe kwa Hoja na sio Porojo
 
Back
Top Bottom