Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Kwani mnatawaliwa?
Hawa maraisi vibaraka Waliowekwa madarakani kawaweka Nani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mnatawaliwa?
Wamechaguliwa na wananchi wa Zenji.....Kama ni vibaraka basi ni vibaraka wa Wazanzibari.Hawa maraisi vibaraka Waliowekwa madarakani kawaweka Nani ?
Bado kuna mpumbavu mmoja atasema waarabu walikuwa ni marafiki zetu walituletea arua.Ukiachana na historia ya kwenye vitabu, nimepata bahati ya kufika Zanzibar na kutembelea Soko la zamani la watumwa. . .niliyojifunza pale hakika nilisikitika, ndipo nilipoamini Waarabu (wa zama hizo) hawakuwa na utu kabisa, kuanzia kuwachukua watumwa bara na kisha kuwaleta Zanzibar,(enzi hizo bandari ipo Mangapwani) kuwafunga kwenye mti na kuwachapa mijeledi na mtumwa ambae halii ndio anaonekana mkakamavu...
kisha wanapelekwa mpaka sehemu ya kutunzia watumwa (ipo mpaka leo) ambako wanafungiwa kwa siku 3 bila chakula wala maji!!!,(kumbuka minyororo mizito bado mmefungiwa nayo mikononi, miguuni na shingoni) kisha ndio mnatolewa ambao atakutwa amekufa anatupwa na waliobaki wanaenda kuuzwa.
Ikitokea katika kundi la watumwa wa kike wanaouzwa tajiri akitaka “kuonja" alikuwa anachagua mmoja na kumfanyia hiko kitendo hapo hapo hadharani. (kama ambavyo mnafahamu wanaume tulivyo , mwenzako akifanya kitu nawe unataka kufanya, mfano katika kundi mmojà akisogea pembeni na kufungua zipu ili achimbe dawa utakuta wawili watatu wanaungana naye kufanya hivyo, hata walipokuwa wanatwaa mtumwa mmoja wa kike na kumfanyia ushenzi, basi wengine nao waliungana kufanya ufedhuli huo kwa wengine kwenye kundi hilo)
Watumwa waliteswa sana, sana , sana!!! na hao waarabu ambao leo hii watoto wao tunaishi nao kwa amani.
Cha kusikitisha zaidi ni kitendo cha kuwahasi watumwa kiume waliosafirishwa kwenda Arabuni( walienda maelfu lakini mpaka leo hii jiulize kwanini hakuna masalia ya weusi kama sio ukatili wa waarabu ambao waliwahasi bila taratibu za kitabibu, yaani wanakata hizo gololi kisha unapakwa chumvi nyingi, na kutokana na kuvuja damu nyingi wengi walikufa, wachache waliobahatika kupona waliuzwa arabuni kwa hela nyingi, walivyoona wakubwa wanakufa sana basi wakawa wanawahasi watoto).
Bado ambao walikataa utumwa na kuleta uasi njianwaligeuzwa na kuf**lwa mbele ya watoto na wanawake, ili kuwafanya wajisikie majuto, na hata waoivyokuwa wanasafiri na majahazi ilikuwa ni desturi ya waarabu kuwachukua watumwa wa kiume na kuwageuza ili kukidhi haja zao.
hivi vyote vilifanyika na historia ipo fika Zanzibar au hata Bagamoyo soko la watumwa uone historia picha na vithibitisho vingine kuhusu ufedhuli huo.waliofanyiwa mababu zetu (leo hii tunacheka nao hakika mababu zetu wakifufuka watasikitika sana).
Dini hizi hizi tulizoletewa tunafundishwa kusamehe waliotukosea, ilhali waliotuletea hizo dini walitufanyia ukatili huku tukishuhudia nasi tunachekelea kama mazombi. Tuishi kwa amani, tupendane na tusonge mbele tukitaka kuleta habari za historia na tuzibebe chuki za mababu zetu basi tutachukiana daima na tutauana.
Japo Muingereza alikomesha utumwa wa waarabu lakini naye alitesa manamba mashambani, Mbelgiji aliua watu wengi kongo,na mkaburu aliangamiza vizazi Afrika kusini, Huu ushenzi tuliofanyiwa waafrika ni mkubwa lakini tumesamehe na tuishi kwa amani bila kubaguana ili tusisahau na tuwaeleze vizazi vijavyo namna ambavyo mababu zao walipitia mateso ya wadhalimu waliokuja ili kutimiza haja za nafsi zao.
Haya mkimaliza kujenga hayo majumba na bandari muondoke kwetu mkazaana mkajaze kanchi kenuWaarabu na Wazanzibari ni ndugu wa damu na wa asili kabisa maana Waarabu ndio walioleta ukombizi kwa Taifa la Zanzibar.
Waarabu ndio watu walioweza kuishi kijamii pamoja na Wazanzibari kwa miaka mingi hadi kuchanganya damu na Wazanzibar walio wengi na kuishi km jamii moja tena kwa upendo kabisa.
Waarabu ndio walioipa Nchi ya Zanzibar hadhi na heshima kimataifa na kujulikana kama ni nchi, bila ya Waarabu hata hao Vibaraka CCM-ZANZIBAR wasingeweza kupata nyadhifa mbali mbali za utawala hapo Zanzibar badala yake wangekua tu ni watu dhalili kwenye mkoa wa Tanganyika.
Kwahiyo ni wazi kuwa Waarabu walikuja Zanzibar kwa ajili ya ukombizi na kuwasaidia Wazanzibari waweze kuwa watu wenye hadhi na kuheshimika dunianiani kote.
Mwarabu hivi sasa ndio anaeijenga Zanzibar sijamuona Mtanganyika akija kuekeza Zanzibar sekta muhimu kama bandari kujenga majumba viwanja vya ndege naona mikataba imetiwa na waarabu sijamuona hata mtanganyika mmoja au.
Tusisahau fadhila kwa Uchu wa Madaraka na Njaa. WENYE AKILI WAMESHANIELEWA!!
Na anaebisha Abishe kwa Hoja na sio Porojo
Wamechaguliwa na wananchi wa Zenji.....Kama ni vibaraka basi ni vibaraka wa Wazanzibari.
Arua ni kitu gani hicho ?Bado kuna mpumbavu mmoja atasema waarabu walikuwa ni marafiki zetu walituletea arua.
Mwarabu hakuwa Na serikali , iliyovamiwa ni Zanzibar chinir ya Waziri Mkuur Shamte.Ndo maana Bibi was uingereza aliamua kuipundua serikali ya mwarabu.ndo hayo yanaitwa mapinduzi ya Zanzibar baadae ukazaliwa muungano mzee karume akataka kujivua akawa amechelewa.
"The rest is history"
Bado kuna mpumbavu mmoja atasema waarabu walikuwa ni marafiki zetu walituletea arua.
Tatizo lako umejibu kwa kukurupuka, na umesoma kana kwamba unakimbizwa, sasa mtu kama wewe sina cha kujibu zaidi ya kukwambia soma tena alichosema mtoa mada, kisha soma nilichojibu. . .ila kwa kuwa elimu ni shida basi nitarudie tena. Mleta mada Kazungumzia waarabu wa Zanzibar, nami nimegusia kuhusu historia ya waarabu wa ZanzibarKwa akili yako unadhani Biashara ya utumwa Duniani ilifanywa na waarabu pekee?
Wale watumwa black Americans kutoka West Africa kwenda America walipelekwa na waarabu?
Tena wazungu walivyowadharau waafrika mpaka walikuwa wakiwabadilisha surnames zao kuwa za kwao mpaka wamepoteza uasili na majina yao ya kiafrika. Unakuta mtu anaitwa Lebron James, Michael Jackson, Chris Curter, Mike Tyson.. etc ila ni Pure African..!
Asante kwa majibu yako , bila kunikatisha nimesoma maelezo yako nami nachelea kusema nimejibu kadri alivyoeleza mleta mada, Yeye kazungumzia waarabu nami nimegusia hao hao kupitia nilichojifunza Zanzibar!! ( hata wewe unaweza kwenda ili ujifunze historia yetu!!) tena nimeenda mbali na kugusia hao wengine ambao mleta mada hajawalenga (Waingereza, wajerumani, makaburu n.k) hawakuwa na upendo na watu weusi hata kidogo. . .Labda ungelienda na kule marekani ukajifunza utumwa ulikuwa na makalai gani kwa watu weusi. Halafu ndio urudi hapa uje utuelezee nani zaidi. Sema nikukatishe tuu utumwa sio historia nadhani mtu yoyote anaweza kujivunia uwe wa kabila lolote lile mweusi / mweupe n.k.Kwa bahati mbaya dunia ilipitia muda huo and it can not be undone.
Sidhani kama kinachoendelea baina ya Zanzibar na Tanganyika kinatokana na utumwa au makali ya utumwa. Nadhani ni pure power and money issue, ambapo upande mmoja unafaidika zaidi kuliko mwengine. Kwa bahati mbaya nadhani waliopoteza kingi ni wazanzibar.
Tumepoteza utambulisho wetu kama wazanzibari, tumepoteza uchumi na fedha nyingi kwa kufunikwa kawa la Tanganyika n.k. Keep in mind miradi yote inahitaji mikopo ambayo inaekewa mkono Tanganyika. Hasara ni nyingi kuliko faida, japo zipo ambao wengi wanazijua vitunguu na mbatata za urojo kutoka kwa wakulima wa Tanganyika ... not so sure kama hii ni faida ... maana hata Kenya vinapatikana fedha yake tuu mtu .😀
Nitamalizia hapo kwa sasa, lakini wewe kama mtanganyika unatakiwa kujua faida na hasara za muungano. Na kama mzanzibari vile vile unatakiwa kupima na kuanza harakati za kusimamia kile kilicho sahihi kwa vizazi vijavyo. Upo tayari kujitambulisha kama mtanzania sawa na mtu mwengine alietoka Bara hususan asie muislamu ? Muungano huu una faida yoyote kwa uislamu wetu ? Jibu likiwa hakuna basi una sababu za msingi za kuhoji uhalali na uwepo wa muungano!
Mkuu huyo tayari ameegemea upande fulani hivyo anachallenge tu bila mantiki, hataki ukweli lakini ni kitu ambacho kipo. Yule Kiongozi (RIP) aliesema tusome historia yetu alikuwa na maana kubwa sana ingesaidia kutujenga ili tujue wapi tumetoka na tunakwenda.Mbona kaeleza hao wazungu nk au bora kumchallenge tu kisa ameandika?.
Asante kwa majibu yako , bila kunikatisha nimesoma maelezo yako nami nachelea kusema nimejibu kadri alivyoeleza mleta mada, Yeye kazungumzia waarabu nami nimegusia hao hao kupitia nilichojifunza Zanzibar!! ( hata wewe unaweza kwenda ili ujifunze historia yetu!!) tena nimeenda mbali na kugusia hao wengine ambao mleta mada hajawalenga (Waingereza, wajerumani, makaburu n.k) hawakuwa na upendo na watu weusi hata kidogo. . .
Historia yetu ni muhimu kujifunza, hata kama hatuutaki lakini ukweli ni kuwa mtu mweusi alinyanyasika na kuteseka lakini yaliyopita si ndwele tugange yajayo.
Historia yetu ipi hii iliyoandikwa Lumumba?Mkuu huyo tayari ameegemea upande fulani hivyo anachallenge tu bila mantiki, hataki ukweli lakini ni kitu ambacho kipo. Yule Kiongozi (RIP) aliesema tusome historia yetu alikuwa na maana kubwa sana ingesaidia kutujenga ili tujue wapi tumetoka na tunakwenda.
Kwamba alitaka kujitoa wahuni wakamuwahi..nasikia hata kwenye mapinduzi alijificha hakuwepo.Ndo maana Bibi was uingereza aliamua kuipundua serikali ya mwarabu.ndo hayo yanaitwa mapinduzi ya Zanzibar baadae ukazaliwa muungano mzee karume akataka kujivua akawa amechelewa.
"The rest is history"
Kwani aliekuwa anawahasi waafrika ni nani?? au unapinga kuwa watumwa walikuwa hawahasiwi?? unazungumzia Iraq wakati mtawala wetu alitoka Oman?? niambie kuhusu Oman ambako tunasema ni nchi yetu mamaAliyekudanganya uarabuni hakuna masalia wa kiafrika ni nani? Umewahi kufika Iraq?
Naomba waendelee kuzubaa, mm ntakuwa mtanganyika wakwanza kuwekeza Zanzibar. ..quote me people![emoji1692]Waarabu na Wazanzibari ni ndugu wa damu na wa asili kabisa maana Waarabu ndio walioleta ukombizi kwa Taifa la Zanzibar.
Waarabu ndio watu walioweza kuishi kijamii pamoja na Wazanzibari kwa miaka mingi hadi kuchanganya damu na Wazanzibar walio wengi na kuishi km jamii moja tena kwa upendo kabisa.
Waarabu ndio walioipa Nchi ya Zanzibar hadhi na heshima kimataifa na kujulikana kama ni nchi, bila ya Waarabu hata hao Vibaraka CCM-ZANZIBAR wasingeweza kupata nyadhifa mbali mbali za utawala hapo Zanzibar badala yake wangekua tu ni watu dhalili kwenye mkoa wa Tanganyika.
Kwahiyo ni wazi kuwa Waarabu walikuja Zanzibar kwa ajili ya ukombizi na kuwasaidia Wazanzibari waweze kuwa watu wenye hadhi na kuheshimika dunianiani kote.
Mwarabu hivi sasa ndio anaeijenga Zanzibar sijamuona Mtanganyika akija kuekeza Zanzibar sekta muhimu kama bandari kujenga majumba viwanja vya ndege naona mikataba imetiwa na waarabu sijamuona hata mtanganyika mmoja au.
Tusisahau fadhila kwa Uchu wa Madaraka na Njaa. WENYE AKILI WAMESHANIELEWA!!
Na anaebisha Abishe kwa Hoja na sio Porojo
Waarabu na Wazungu wote washenzi. Na mtu mshezi ni mshezi tu.Bora mzungu aliwachukua kwenda kuzalisha mali..mwarabu yeye aliamua kuwahasi kabisa..ndio mana huwezi kuta waafrika uarabuni kama ilivyo ulaya na marekani..waarabu ni savages.
#MaendeleoHayanaChama