pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Nimebahatika kufika omani,Kweli Elimu yako ndogo sana au hukupata ukabahatika tu ya Ilimu dunia
huko Arabuni kuna ukoo wa Waafrika km huko Marekani?
umeshaambiwa waarabu walikuwa wakiwalawiti watumwa na kuwaua, au wanawaHASI ili kizazi kisiendelee.
wale wanawake walikuwa wanapelekwa Pemba na kuzalishwa. Vijana wa kiarabu wanakuja na kupewa kina mama wakishamaliza haja wanaondoka na kuwaachia mimba dada zetu, ndio hao sasa waarabukoko hwaruhusiwi kufika arabuni kudai ukoo zao , ila tu hapa watatafuta asili kama ni waYemen au Oman au Bahrain utatajiwa asili yenu na walikuwa na ofisi zao huko Temeke, km ni wa Mahra, wagunya wanajuana
Watu weusi kibaoooooo
Utafikiri upo kizimkazi