Kwa hiyo unaamini kukitokea machafuko ya kutumia silaha kati ya waznz na watanganyika kina sheikh ponda watashiriki na kuwa mstari wa mbele kuwauwa wanznz. Fanaudhu bilahi mindhalika.
Hivi maalim sefu alikuwa anaamini hivyo?! Sheikh wa uamsho wanaamini hivyo, au ni wainguja ndio huamini hilo, au wapemba wanaamini hivyo, au wale waliosoma dini wanaamini hivyo, au wale wasiosoma dini wanaamini hivyo.... Au wapenzi wa kisonge ndio wanaoamini hivyo.
Unaweza kutaja makundi yanayoamini unavyoamini hivyo, makundi ambayo nawe umo?!??
Hadi sasa bado siamini kama maneno haya yanatoka kwa mznz.
Kama ni kweli nitajua kupitia watakao kuunga mkono.