Ukweli wasioupenda Watanganyika au Watanzania Bara

Umelewa mataputapu
 
Waarabu walianza kuita Zanzibar lini? Na watu weusi walivukaje bahari wenyewe na kufika Zanzibar?
 
Kaka usisahau, ukinyosha kidole cha shahada kwa mtu mwingine, vidole 3 vinaelekea kwako mwenyewe!
Waarabu waliofanya biashara ya watumwa (kitu kibaya!) kwa jumla hawakuwinda watumwa (najua kuna mifano ya kinyume, lakini haihusu idadi kubwa), walinunua.
Nani aliuza? Siyo machifu wa bara, "mashujaa" kama Mirambo (aliyekamata watumwa kati ya hao ambao hakuchinja na kuwaweka katika jeshi lake), hata watu binafsi walioenda kushika mabinti waliotembea kukusanya kuni au kuchukua maji mtoni, hadi watu binafi walioamua kumwuza jirani aliyekuwa na madeni? Nenda Bagamoyo , tembelea makumbusho, soma habari za watumwa zilizosimulia maisha yao na jinsi walivyokamatwa na kutendewa.

Tena ni dhahiri si Waarabu wote. Kushtaki kabila au taifa au kundi la watu kwa jumla kwa makosa ya wengine kati yake ni ujinga.
 
Ningeshauri Zanzibar irudishe somo la HISTORIA kwenye skuli zake
 
Hv kwanza ebu tuambie ww ni mwarabu au mkwea minazi?? Mana usikute ww n mkwea minazi unawatetea waarabu! Haha..shida ya mtu mweusi ni kichwani tu!! Tena nyie na hiyo dini yenu..woii..yaan ni sifuri kabisaa kichwaniii..na vile hampend kwenda shule..mkienda mnafundshwaa karetii..jinga kabisaaa
 
a pure product of Maruhubi
 


Ni kweli maneno yako siwezi kubadili historia lakini la kusikitisha historia tunaiona inajirudia kila baada ya miaka mitano . Tunawaona akina Mahita , Kikwete, Mwinyi nk.wanavyotufanyia . Sio wote lakini wengi wako hivyo . Wako wachache sana akina Ponda vitendo vyao tunaviona vya kupigania haki , na hao walipigwa risasi na kuwekwa jela na hao viongozi wa Kiislamu. Hayo mapenzi ni povu la mdomo na hapa kwenye kioo. ACTIONS SPEAK LOUDER THAN WORDS
 
Laiti ingekuwa tunapima marinda...kuna bara (silitaji) ambalo watu wake (si wanaume si wanawake) marinda yao yangekutwa yako at easy yaani mguu legeza.
Hayo ni mapenzi ya mzungu kwa muafrika
 

Nyinyi mliokwenda shule za jumapili sio sifuri mkienda ndio mnaolewa na wachungaji wazungu na kukwea minazi yao😛😛😛🤙🤙


 
Muungano uvunjwe
 
Kama mnacho sema ni kweli basi tumieni hii fulsa ya samia ili kuvunja muungano kabla ya 2025,ili tuone kama amjageuka somalia ,na kuanzisha misimamo mikali ya kidini na kuwa nchi ya kijeadi very soon ......ila kama mta nyamaza kimya kipindi hichi cha mama samia na kushindwa kukitumia kujipatia uhuru basi msije mkalia machozi ya damu kwa wabara maana tumesha wagudua kuwa mnatabia za wakenya za kutaka kuihalibu bara hata mwenendo wa huyu raisi samia mzenji unaonyesha wazi kuwa anafanya juu chini kuihalibu bara maana mzenji na mambo ya machifu wa bara wapi na wapi kwanini asianzishe huo upumbavu wa kichifu zenji ,kwanini ana acha kufanya na kuanzisha mambo ya muhimu kwa bara yeye ana angaika na uchifu wakati yeye siyo hata mbara .
 
Mtumwa ni mtumwa tu hana jina mbadala
 
Na hio miaka karibu 400 muarabu akimtumikisha mwafrika kama mtumwa sio chochote? Naona hapo umeongelea tu waarabu ukiwaita wakombizi sijui una maanisha nini na pia ukasifu waarabu kuchanganya damu na wenyeji. Kwa hiyo kwako waarabu na machotara ndio zanzibar inawahusu na hao waafrika ni watanganyika.😂
Kwa maelezo yako hao waarabu walikuja kumkomboa nani znz maana kama wao na machotara waliyowaasisi wao ndio wenye haki zanzibar ina maana walikuja kumkomboa yeyeto au kuja kumtia utumwani mtanganyika? Hao waafrika/watanganyika walio wengi kwa hiyo ni kitu gani kama kwa fikra zako ni watumwa tu.
Mkiandikaga mtumie akili sio kingine. Pia mjali hisia za watu wengine.
Tunavyoona sisi wawekezaji wa kiarabu zanzibar wanavutiwa na sera nzuri, na pia historia na utamaduni unaweka maelewano na kuaminiana kwa urahisi.
 
Niliwahi kwenda stone town nikaona pale watumwa walipokuwa wakihifadhiwa.

Ama kweli waarabu ni watu wema sana.

Waje tu kuwachukua ndugu zao waende nao Oman.
Waarabu wachache kuteka kijiji kizima na kuwachakua wanaume na wanawake utumwani inazua maswali mengi kuliko majibu. Kwanini wanakijiji hawakujihami na kuwafyeka wavamizi?Ukweli wa mambo machifu wa Tanganyika walivuta chao na kuwauza utumwani wanakijiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…