Ukweli wazidi kujulikana. Dada aliyejitambulisha kama Mkatoliki ni Katibu wa UVCCM Tawi la Dovya

Kwani Ccm haina wakatoliki? Au Ccm ni dini, Nyumbu hamna akili na wewe umeona hii ni hoja ya maana sana kuileta.

Kweli nyumbu ni chakula cha mamba
Huyo dada sio makatoliki kwishaaaaa
 
Aibu kubwa sana kwa watanzania. Hivi hawa jamaa wanatuonaje raia wa hii nchi.
 
Jina; TAWFIQ MCHUMULA
dini; MUISLAM

Jana aliimba mwamba mwamba Yesu ni mwamba.
 

Attachments

  • Screenshot_20260106_123850_Chrome.jpg
    58.6 KB · Views: 17
  • Screenshot_20260106_123857_Chrome.jpg
    84.8 KB · Views: 19
Kanisa gani anasali huyo dada?
 
Hapa kuna swali nataka kuuliza kwani Mkatoliki hawezi kuwa CCM au ? Au anaruhusiwa kuwa CHADEMA tu ?
 
Clusters kibao kuthibitisha Hawa malofa Intents na Accusations zao ni za mchongo.
Njaa mbaya Sana.
 
Huyu anaijua Rc? Mpumbavu tuQUOTE="McLaren, post: 55515329, member: 799609"]
Wakuu,

Wakatoliki feki wazidi kuumbuka.

Huyu dada kama mlivyomsikia hapo kwenye video ni anaitwa Lucy Mikaeli, huyu ni Katibu wa UVCCM huko Yombo Dovya.

Hivi mlishindwa kabisa kuchukua watu wenye weledi waje kuwasemea?

Mtu ambaye hata alishindwa kutamka neno PETITION akasema PETROL STATION mlimuamini vipi mkampa hadi nafasi ya kuzungumza kwenye propaganda yenu?

Mwaka una siku 6 tu ila CCM msshaanza kujidhalilisha namna hii

[/QUOTE]
 
Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
 
When a mission fai

When a mission fail, the next is to clear your footprint. Adui mkubwa wa huyu dada kwa sasa ni yule aliemtuma.
 
Itakuwa Kuna Albadili au Kunuti imesomwa sehemu mana Sio PM Wala wanachama wote wakipewa maiki ni kutoa maboko tu
 
😁 😁 ila mboga mboga
 
huyo bwana anaitwa Taufik Mchumula jana nae alikua mkatoriki ila wao walijitambulisha kama "waroma"
 
Baki kwenye context we kuku mlemavu wa akili,reactions=kupuuzwa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…