Ukweni moto unawaka baba mkwe kaniita, naombeni ushauri

Hii kitu naipinga sana, kwa sababu zipi binti alipiwe mahari tena kubwa hivyo, ukute she's not even sealed...aagr!
 
Mahari (si mahali, mahali ni sehemu, mahari ni kinacholipwa ili kupata mke) ni jambo la kijima linalomfanya mwanamke awe kama bidhaa.

Yani, inamfanya mke awe ana bei kama ng'ombe.

Inamvunjia mwanamke utu wake, na inajenga mfumodume kwamba mwanamme anammiliki mke wake.
 
Usitoe inatosha hiyo
Tafuta mtu anaejua kuongea, wewe hautakiwi kwenda
 
Nenda kaseme tu, jamani wazee wangu mimi sitaweza kuoa tena, jambo limekuwa gumu hili.

Alafu potea kweli kweli.
 
Tafuta mwanamke mwingine
 

Yaani mahari milion 7 [emoji23] aise watu tumeoa kwa laki 6 na hatuja maliza yote sahiz miaka 13 tunaishi maisha raha mustarehee na ndoa ina aman raha na udambwidambwi mix vicheko
 
Kwan kikawaida mahali intakiwaga i range kwanzia wap mpka wap mweny uzoefu jamniiii [emoji120]
Bei elekezi kwa watoto wakiislamu ni msahafu ama tsh.3OOK-1M.

Kwa watoto wa kikristo ni kati ya 1M-3M hapo.

Zaidi ya hizo tarakimu jua unakuwa umepigwa sababu mbunye nyingi sikuhizi ni refurbs.
 
Bei elekezi kwa watoto wakiislamu ni msahafu ama tsh.3OOK-1M.

Kwa watoto wa kikristo ni kati ya 1M-3M hapo.

Zaidi ya hizo tarakimu jua unakuwa umepigwa sababu mbunye nyingi sikuhizi ni refurbs.
3 m unauziwa Nini?
Na bikira alitolewa kwa chipsi za 2000?
Kwenye Biblia mahari hutolewa kwa mwanamke bikira.
Hawa wengine tulipaswa kupewa Bure tu.
 
Siyo kweli, unapotosha.
Toa ufafanuz
Binafs kwny suala la migogoro na wife
siwez kuitwa ukweni nikaenda.

Kiutaratibu,
Nikigombana na wife,
Anapaswa akanishitaki kwa wazazi wangu
Wao ndo waniite na wanikanye na kunambia wapi nmekosea.

Wakwe zangu kunikanya na kunambia nmekosea, huko ni totally kunidharau na kunikosea heshima.

Kiutaratibu,
Wao wanapaswa kumkanya binti Yao na sio kunikanya mimi.
 
Mkwe hapaswi kuniita nyumbani kwake kwa kunilazimisha.

Yaani hata kwenda kuwasalimia tu ni shughuli. Sembuse waniite ghafla!!!
Sahii kabisa
Jamaa Inaonekana wakwe zake wanamdharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…