SI KWELI Ulaji wa Ugali husababisha udumavu wa akili

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Mbona naonaga wanigeria wana ugali fulani hivi mweusi
Sio Nigeria tu, nchi zote za West, Central, East, na Southern Afrika wanakula ugali. Tofauti ni namna wanayouandaa na majina wanavyoyaita. Mtoa mada anashindwa kuelewa kuwa lengo kuu la nafaka zote ni kuupa mwili nguvu, na si kuupatia protini, wala madini, wala vitamini.
 
The moment umeandika "Mikoa Duni" nikalabel huu uzi as Pumba. Technically and statistically Tanzania nzima ni duni wewe fala. Haya ndio madhara ya kutokula ugali, unakosa akili ya kuchanganua simple facts badala yake unatumia hisia bata.

PUMBA.
 
Baadhi ya members wa JF wamejaa upumbavu, uelewa mdogo, na ujuaji mwingi.
 
Maugali ndiyo yamekukuza,,Halafu pesa kidogo za mshahara umeshaona ugali mbaya .
 
Wewe sema tu msikoboe mahindi kwani mnaondoa virutubisho. Mimi nimelelewa kwenye dona na mpaka leo ninadunda. Basi sema sumu ya ugali ni nini kisayansi! Ukitaka kuwa na nguvu mwilini, kula dona.
 
Mtoa mada wewe ni miongoni mwa mambumbumbu wakubwa kabisa, hujui hata kazi kuu za nafaka, viazi, mihogo, na pia ndizi. Hujui kabisa kuwa hakuna nchi isiyotumia miongoni mwa vyakula hivyo kama chanzo cha nishati za mwili. Unajichanganya kuwa mahindi ni sumu. Unashindwa kujua kuwa eating habit ni sehemu ya tamaduni za jamii husika. Kazi kweli kweli
 
Sema umeandika kishabiki japo kuna mantiki ndani yake.

Mimi pia ni mdau mzuri wa ugali dona ila kikuweli siwezi kuupa credit kuwa ni chakula bora zaidi, kutokana na ukweli kwamba baada ya kula tu mwili unapata ka uchovu fulani hivi.
 
Mimi nakubaliana na wewe kwa 100%.
 
Natamani kujua umri wako
 
Ugali ni Bio-Weapon. Hivi kwanini mtu ujaze tumbo na takataka inayoitwa ugali? Just unga wa sembe usiokuwa na nutrients zozote unalijaza kwenye maji, unakula?
 
The moment umeandika "Mikoa Duni" nikalabel huu uzi as Pumba. Technically and statistically Tanzania nzima ni duni wewe fala. Haya ndio madhara ya kutokula ugali, unakosa akili ya kuchanganua simple facts badala yake unatumia hisia bata.

PUMBA.
Madhara ya kula ugali moja wapo ni kutukana ovyo hata watu usiowajua

Badilisha mlo
Kula viazi,ngano, mihogo
Kwanini ufakamie hayo madawa ya kulevya yaitwayo ugali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah wabongo bana,🤣 tatizo sio ugali... tatizo ni umaskini. Ugali mbona mzuri ukiupatia mboga saba..
 
Mbona kama unateseka sana?
Hujaambiwa usile ugali, kama unaona ni mchongo we fakamia tu.... ila ukae ukijua unakula chakula cha mufugo.
Mimi sipendi sana ugali, wasiokula ugali nawa support ila sio sababu ya kukandia wanaokula. Kila mtu ale anachopenda bila kukandia cha mwingine. Halafu cha ajabu na kweli, huwezi kukuta mtoto wa kishua anakandia ugali hata kama hapendi. Hapa mnaokandia ugali mmejaa watoto wa maskini tu wenye asili ya shida. Mmefanikiwa kidogo tu mbwembwe kibao.
 
Huenda Tanzania ikapata Rais wa ajabu siku za usoni. Rais atakaye kataza kula ugali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…